Dr. Mariposa
JF-Expert Member
- Dec 2, 2014
- 5,334
- 17,586
Bamia pia ni dawa nzuri kwa wenye vidonda vya tumbo au gesi kujaa tumboni, katakata, chemsha kidogo lisiive kunywa chap au blend na maziwa kunywa (kama roho ndogo huwezi hii), wengine huzila mbichi kama snack