Mnachihanguuu
JF-Expert Member
- Feb 10, 2023
- 5,936
- 9,012
Zinapunguza nguvu za kiumeKwanini mkuu
Zinapunguza nguvu za kiumeKwanini mkuu
Faida za kula bamia:
- Husaidia kudhibiti kiwango cha sukari mwilini (nzuri kwa wagonjwa wa kisukari)
- Ina nyuzinyuzi nyingi (fiber) zinazosaidia mmeng'enyo wa chakula na kuzuia choo kigumu
- Husaidia kupunguza lehemu (cholesterol) mbaya mwilini
- Ina vitamini C nyingi zinazoimarisha kinga ya mwili
- Ina vitamini K muhimu kwa kuganda kwa damu na afya ya mifupa
- Ina antioxidants zinazolinda seli za mwili dhidi ya uharibifu
- Husaidia afya ya moyo kwa kupunguza hatari ya magonjwa ya moyo
- Ina asidi ya folic muhimu kwa wajawazito (huzuia matatizo ya uti wa mgongo kwa mtoto)
- Kiwango kidogo cha kalori, hivyo nzuri kwa udhibiti wa uzito
- Ina madini kama potassium, magnesium, na calcium
- Husaidia kuboresha afya ya ngozi
- Ina uwezo wa kupunguza uvimbe mwilini (anti-inflammatory
Dume zimaa unaandika eti "unaambiwa" na nani?Unaambiwa siku hizi jamaa ndo amechukua tuition ya kujifunza
Nimeambiwa na mama yako mzazi, juzi usiku nilikuwa naeDume zimaa unaandika eti "unaambiwa" na nani?
Mxiiiiiu