Themagufulianz
JF-Expert Member
- Apr 15, 2017
- 4,548
- 1,990
Nice observation mkuu
Mwemyewe nimekuwa na wasi wasi na hizo details, Yaani tu ile $100k kibongo bongo ni parefu sana. Jamaa anatengeneza pesa ila sio kwa hizo number ulizoweka
Kwa hiyo kwa muda wote huo milladi atakuwa amaingiza bilioni hata zaidi ya mia!?tajiri namba moja bongo ana utajiri wa billion ngapi unajua!!msijiongelee tu!
Hawajui maana ya bilioni hawa wanalinganisha na vitumbua!!
ni kweli social media zmekua sana ila bado hazijaweza kua tishio kwenye media kama tv na redio haswa uku Africa: wengi sana bado wanatumia redio haswa vijijini, ukiangalia kwa tz mfano, vijiji ni vingi sana kuliko miji, bado hazijawa tishio kwa izi local radios
Naendelea kugongelea msumari, hapa tunazungumzia mapato kibongo bongo, hao kina pewdie pie na dude perfect wana viewers nyingi nchi za tier one na two ambako watangazaji wapo tayari kutoa hata dola elf 5 endapo tangazo litawafikia viewwers wa nchi hizo na wapo tayari kutoa hata cost per click ya dola 5 endapo mtu wa nchi hizo ata click tangazo.
Kwa hapa bongo kwa content za kibongo huwezei kufananisha na kina pewdie pie kwasababu makampuni ya huko marekani mfano mabenki yasiyo na mayawi hapa bongo huwa wanabana matangazo yao yasionekane bongo, kitachotokea ndio haya matangazo tunayoyaona ya makampuni ya tanzania ambayo na wahindi ambao wapo tayari kulipa dola 40 hadi 80 kwa views elf moja na cost per click ya dola 0.02(shilingi 40) endapo mtu ataclick tangazo.
Unachanganya mambo hapa, youtube na watangazaji ni tofauti, hela anayopokea mwenye channel ya youtube inaamuliwa na dau alilotoa amaehitaji bidhaa yake itangazwe, Youtube anawakutanisha hawa watu na kuseti mitambo matangazo yaonekane.
Huwezi kulipwa dola elf 5 kwa views milioni kama mtangazaji kaamua kutoa dola 70, hii ndio inapelekea watu wa hapa tz waanze kutengeneza video zitazopata watazamaji wa marekani na ulaya ili wapate mpunga mrefu.
Najuana na Youtubers wengi hapa bongo, na nimewah kuona live mapato yao kwa hio sijaropoka, nimefanya tahmini haya mambo.
Kwa masaa 24 yaliyopita millard kaweka videos 40 na hii bidii ndio matunda yake, inamfanya apate takribani viewers milioni 20 kila mwezi, kwa hizi views kaka yetu anavuta milioni 30 na zaidi, huyu ana watazamaji ]]wa ziada wanaoishi ulaya na marekani wanao busti mapato yake
Yaani nimemwajiri mtu dukani kwangu (mawingu) wakati huo huo nimemchukua kutoka duka la jirani (kwa Mengi) na amekuja kwangu kwa ajili ya kusaka maslahi na sio jina coz kama jina alilipata kwa mzee Mengi.
Kapata maslahi then kaanzisha biashara inayofanana na yangu na ni maarufu sana.
Halafu eti aendelee kufanya kazi kwangu kwa vile eti analipenda sana duka langu na ndio limdmwinua!
Kama hiyo hesabu ina ukweli, basi kuna siri kuhusu umiliki.
mzee hizi data unazipatia wapi? na mimi inbox basi kama huta mindbillion pesa ndogo sana kwa baadhi ya wadogo tz.... Hadi march mwaka huu mondi alipiga 4bl.... pespi peke yake 800ml
Tatizo tumesoma sasa TGS zinatubana...
mambo ya wako mtiifu...
plus tuna busara hatutaki kuwa wajinga
bila kusahau, kampuni ya youtube wanakwapua 45 % wanamwachia mwenye channel ya youtube 55%, ukipata hio dola 55 ujue youtube wamechkua dola 45.sikupingi boss... u might know something better than what i know... uko powa
Yaani hapo umeongea kitu ambacho nilikuwa nafikiria kuwa huenda kipokusaga aloshawahi kusema ameisaidia millard... possibly yumo humo
Abdallah Majura alianzisha radio hapo Mwenge hali imekuwa tete naona siku hizi inaunga mkono juhudi za mwamposa buldozer 24/7.boss tanzania inaongoza kwa bundle... matumizi ya internet yako juu sana... ntakutajia radio 10 zilizofungwa bongo... Tanga, akina Majura nk... hali mbaya... Clouds waliyumba na mabilions hakuna tena hadi walitaka kuzima mitambo....
Abdallah Majura alianzisha radio hapo Mwenge hali imekuwa tete naona siku hizi inaunga mkono juhudi za mwamposa buldozer 24/7.
inaonesha biashara ya radio imeathiriwa sana na social ntwrk.
bila kusahau, kampuni ya youtube wanakwapua 45 % wanamwachia mwenye channel ya youtube 55%, ukipata hio dola 55 ujue youtube wamechkua dola 45.
Na ndo maana nikasema kwa Japan na Tanzania kwa tangazo lile lile lililoangaliwa muda ule ule! Ina maana hilo tangazo limeangaliwa sehemu zote!mkuu umesema kwel kabisa: lakini pia ata kwa bongo unaweza ukapata more than mtu aliepata japan, ni game of chances: kama leo umepata tangazo lenye ela ndefu mtu akakclick na kule japana mtu akaskip, unakua mbele kwa pointi nyingi sana
Ukiona mtu ana-underestimate pia ana uwezekano mkubwa wa ku-overestimate!sasa kumbe social blade huwa ana underestimate basi.! Millard atakuwa anapiga zaid ya hiyo.hahaaa
Hilo la 55%... hilo linafahamika na sidhani kama ndiyo hoja ya hapa!!MUHIMU:YOUTUBE WANAKWAPUA 45 % WANAMWACHIA MTANGAZAJI 55%, UKIPATA HIO DOLA 55 UJUE YOUTUBE WAMECHKUA DOLA 45.
Unaona sasa! Kama ulisoma post yangu ukailewa, nilizungumzia mazingira ya aina tofauti tofauti, na ndio maana nikasema kwa tangazo lile lile lililoangaliwa muda ule ule, thamani yake ni tofauti kati ya eneo moja na lingine!Naendelea kugongelea msumari, hapa tunazungumzia mapato kibongo bongo, hao kina pewdie pie na dude perfect wana viewers nyingi nchi za tier one na two ambako wenye tangazo wapo tayari kutoa hata dola elf 5 endapo tangazo litawafikia viewwers wa nchi hizo na wapo tayari kutoa hata cost per click ya dola 5 endapo mtu wa nchi hizo ata click tangazo.
Still umerudia kile kile! Au unataka kuniambia kuna mahali niliposema haya matangazo yana thamani sawa na kwamba matangazo YOTE yanaonekana duniani kote wakati tangia mwanzo nilisema:-Kwa hapa bongo kwa content za kibongo huwezei kufananisha na kina pewdie pie kwasababu makampuni ya huko marekani mfano mabenki yasiyo na mayawi hapa bongo huwa wanabana matangazo yao yasionekane bongo, kitachotokea ndio haya matangazo tunayoyaona ya makampuni ya tanzania ambayo na wahindi ambao wapo tayari kulipa dola 40 hadi 80 kwa views elf moja na cost per click ya dola 0.02(shilingi 40) endapo mtu ataclick tangazo.
Na hiyo hoja niliiweka kwenye post yangu ya kwanza kabisa but still unakosoa kwa kuongea kile kile ambacho nilishakiongea tangia awali.Kutokana na hapo juu, Advertizers wanaweka viwango tofauti vya thamani ya tangazo, na geographical position, ina-matter sana kwenye kufanya maamuzi!
We jamaa sijui kama ulikuwa unasoma na kuelewa nilichoandika! Seriously unaamini naweza kuchanganya kati ya Advertiser na Youtube?! Do really believe that?!Unachanganya mambo hapa, youtube na wenye tangazo ni tofauti, hela anayopokea mwenye channel ya youtube inaamuliwa na dau alilotoa amaehitaji bidhaa yake itangazwe, Youtube anawakutanisha hawa watu na kuseti mitambo matangazo yaonekane.
I mean no disrespect but to be honest, unachosha! Unachosha kwa sababu hoja unazoongea zipo out of context!Huwezi kulipwa dola elf 5 kwa views milioni kama mtangazaji kaamua kutoa dola 70, hii ndio inapelekea watu wa hapa tz waanze kutengeneza video zitazopata watazamaji wa marekani na ulaya ili wapate mpunga mrefu.
Na kabla ya hapo, ulisema:-[/QUOTE]Mkuu hesabu zilizopigwa ulikuwa ni kwa hapa tz na sio huko japan, kibongo bongo wastani ni dola 60 kwa views laki, hapo unaweza kuzidi
Unaweza kuonesha ni wapi niliongea suala la kiasi gani Mbongo anapata?!Mara nyingi kibongo bongo mtu unakuta dola 600 ( takribani milioni 1.4 ), hivyo kwa watu kama kina Millard ayo unaweza kuweka video zake kama 100 hivi, hizi video zote za mwezi zinaweza kupata views milioni 5 hivi kwa hio hapa uhakika wa milion 7 upo.
WOW!! Kumbe sio kwamba umewahi kufanya bali umeona LIVE MAPATO YA WANAOFANYA! You don't even know how these things work!Najuana na Youtubers wengi hapa bongo, na nimewah kuona live mapato yao kwa hio sijaropoka, nimefanya tahmini haya mambo.
Kwa masaa 24 yaliyopita millard kaweka videos 40 na hii bidii ndio matunda yake, inamfanya apate takribani viewers milioni 20 kila mwezi, kwa hizi views kaka yetu anavuta milioni 30 na zaidi, huyu ana watazamaji ]]wa ziada wanaoishi ulaya na marekani wanao busti mapato yake
Upeo wako ndo unakufanya uamini kila kitu!!...ukija kuwa na upeo mkubwa utakuja kuamini kuwa some billions ya manene ya kuambiwa ni tofauti na reality!!!billion ... kuna demu tz anauza unga... namuuliza unapiga milioni mia ngapi kasema some billions.... hivi nina tani 40 za unga nasambaza mashuleni..
mwana amkaaaaaa ahahahahah