Faida wanazopata AyoTV,Dizzim TV online,DAUDA TV na youtube channels za wasanii kama Diamond platnumz na wengine.

billion pesa ndogo sana kwa baadhi ya wadogo tz.... Hadi march mwaka huu mondi alipiga 4bl.... pespi peke yake 800ml

Tatizo tumesoma sasa TGS zinatubana...
mambo ya wako mtiifu...
plus tuna busara hatutaki kuwa wajinga
Kwa hiyo kwa muda wote huo milladi atakuwa amaingiza bilioni hata zaidi ya mia!?tajiri namba moja bongo ana utajiri wa billion ngapi unajua!!msijiongelee tu!
 
boss tanzania inaongoza kwa bundle... matumizi ya internet yako juu sana... ntakutajia radio 10 zilizofungwa bongo... Tanga, akina Majura nk... hali mbaya... Clouds waliyumba na mabilions hakuna tena hadi walitaka kuzima mitambo....
ni kweli social media zmekua sana ila bado hazijaweza kua tishio kwenye media kama tv na redio haswa uku Africa: wengi sana bado wanatumia redio haswa vijijini, ukiangalia kwa tz mfano, vijiji ni vingi sana kuliko miji, bado hazijawa tishio kwa izi local radios
 
sikupingi boss... u might know something better than what i know... uko powa
Naendelea kugongelea msumari, hapa tunazungumzia mapato kibongo bongo, hao kina pewdie pie na dude perfect wana viewers nyingi nchi za tier one na two ambako watangazaji wapo tayari kutoa hata dola elf 5 endapo tangazo litawafikia viewwers wa nchi hizo na wapo tayari kutoa hata cost per click ya dola 5 endapo mtu wa nchi hizo ata click tangazo.

Kwa hapa bongo kwa content za kibongo huwezei kufananisha na kina pewdie pie kwasababu makampuni ya huko marekani mfano mabenki yasiyo na mayawi hapa bongo huwa wanabana matangazo yao yasionekane bongo, kitachotokea ndio haya matangazo tunayoyaona ya makampuni ya tanzania ambayo na wahindi ambao wapo tayari kulipa dola 40 hadi 80 kwa views elf moja na cost per click ya dola 0.02(shilingi 40) endapo mtu ataclick tangazo.

Unachanganya mambo hapa, youtube na watangazaji ni tofauti, hela anayopokea mwenye channel ya youtube inaamuliwa na dau alilotoa amaehitaji bidhaa yake itangazwe, Youtube anawakutanisha hawa watu na kuseti mitambo matangazo yaonekane.

Huwezi kulipwa dola elf 5 kwa views milioni kama mtangazaji kaamua kutoa dola 70, hii ndio inapelekea watu wa hapa tz waanze kutengeneza video zitazopata watazamaji wa marekani na ulaya ili wapate mpunga mrefu.

Najuana na Youtubers wengi hapa bongo, na nimewah kuona live mapato yao kwa hio sijaropoka, nimefanya tahmini haya mambo.

Kwa masaa 24 yaliyopita millard kaweka videos 40 na hii bidii ndio matunda yake, inamfanya apate takribani viewers milioni 20 kila mwezi, kwa hizi views kaka yetu anavuta milioni 30 na zaidi, huyu ana watazamaji ]]wa ziada wanaoishi ulaya na marekani wanao busti mapato yake
 
kusaga aloshawahi kusema ameisaidia millard... possibly yumo humo
Yaani nimemwajiri mtu dukani kwangu (mawingu) wakati huo huo nimemchukua kutoka duka la jirani (kwa Mengi) na amekuja kwangu kwa ajili ya kusaka maslahi na sio jina coz kama jina alilipata kwa mzee Mengi.
Kapata maslahi then kaanzisha biashara inayofanana na yangu na ni maarufu sana.
Halafu eti aendelee kufanya kazi kwangu kwa vile eti analipenda sana duka langu na ndio limdmwinua!
Kama hiyo hesabu ina ukweli, basi kuna siri kuhusu umiliki.
 
billion pesa ndogo sana kwa baadhi ya wadogo tz.... Hadi march mwaka huu mondi alipiga 4bl.... pespi peke yake 800ml

Tatizo tumesoma sasa TGS zinatubana...
mambo ya wako mtiifu...
plus tuna busara hatutaki kuwa wajinga
mzee hizi data unazipatia wapi? na mimi inbox basi kama huta mind
 
Ni kawaida kupata hata dola 300 kwa views milioni huku wengine wakipata hadi dola elf 3 kwa views milioni.....ila kibongo bongo tunapepea na dola 50 hadi 60 kwa wastani

 
boss tanzania inaongoza kwa bundle... matumizi ya internet yako juu sana... ntakutajia radio 10 zilizofungwa bongo... Tanga, akina Majura nk... hali mbaya... Clouds waliyumba na mabilions hakuna tena hadi walitaka kuzima mitambo....
Abdallah Majura alianzisha radio hapo Mwenge hali imekuwa tete naona siku hizi inaunga mkono juhudi za mwamposa buldozer 24/7.
inaonesha biashara ya radio imeathiriwa sana na social ntwrk.
 
vibaya sana mkuu.... inaifutilia mbali... Akina cnn na bbc wako social media kutwa nzima...
Abdallah Majura alianzisha radio hapo Mwenge hali imekuwa tete naona siku hizi inaunga mkono juhudi za mwamposa buldozer 24/7.
inaonesha biashara ya radio imeathiriwa sana na social ntwrk.
 
mkuu umesema kwel kabisa: lakini pia ata kwa bongo unaweza ukapata more than mtu aliepata japan, ni game of chances: kama leo umepata tangazo lenye ela ndefu mtu akakclick na kule japana mtu akaskip, unakua mbele kwa pointi nyingi sana
Na ndo maana nikasema kwa Japan na Tanzania kwa tangazo lile lile lililoangaliwa muda ule ule! Ina maana hilo tangazo limeangaliwa sehemu zote!
 
sasa kumbe social blade huwa ana underestimate basi.! Millard atakuwa anapiga zaid ya hiyo.hahaaa
Ukiona mtu ana-underestimate pia ana uwezekano mkubwa wa ku-overestimate!

Na issue kubwa hapa ni kwamba estimation yao inakuwa na range kubwa kupitiliza kwahiyo inakuwa ni kama wanabahatisha!!

Na kwa maana nyingine, estimation zao zinaweza kufanywa na mtu yeyote hata wewe! Huwezi kusema mtu anapata kati ya laki 5 - 100M, halafu mtu huyo akipata 30M ukasema umepitia estimations zako!!!

Estimation from science, kwa mtu anayepata 100M basi estimation zako zilitakiwa angalau zi-range kati ya 80M - 130M kiasi kwamba hata kitafuta average utapata 105M close na actual value!!
 
MUHIMU:YOUTUBE WANAKWAPUA 45 % WANAMWACHIA MTANGAZAJI 55%, UKIPATA HIO DOLA 55 UJUE YOUTUBE WAMECHKUA DOLA 45.
Hilo la 55%... hilo linafahamika na sidhani kama ndiyo hoja ya hapa!!
Naendelea kugongelea msumari, hapa tunazungumzia mapato kibongo bongo, hao kina pewdie pie na dude perfect wana viewers nyingi nchi za tier one na two ambako wenye tangazo wapo tayari kutoa hata dola elf 5 endapo tangazo litawafikia viewwers wa nchi hizo na wapo tayari kutoa hata cost per click ya dola 5 endapo mtu wa nchi hizo ata click tangazo.
Unaona sasa! Kama ulisoma post yangu ukailewa, nilizungumzia mazingira ya aina tofauti tofauti, na ndio maana nikasema kwa tangazo lile lile lililoangaliwa muda ule ule, thamani yake ni tofauti kati ya eneo moja na lingine!

Sasa ukisema eti akina PewDiePie wapo kwenye tier 1 & 2, bado unarudia kile kile kwa namna nyingine!!!

Na nililazimika kuongea hilo mapema kwa sababu watu wengi wanapojaribu kuzungumzia how one can earn, reference zao ni online materials ambazo nyingi zinatokana na huko huko kwa akina PewPieDie!

Na ukifanya hivyo, LAZIMA UTACHANGANYA MADESA!!

But all in all, mara kwa mara unasema unazungumzia hesabu ni kibongo bongo! Nimekuambia nioneshe hizo hesabu za Kibongobongo ulizofanya, bado hujafanya hivyo!
Kwa hapa bongo kwa content za kibongo huwezei kufananisha na kina pewdie pie kwasababu makampuni ya huko marekani mfano mabenki yasiyo na mayawi hapa bongo huwa wanabana matangazo yao yasionekane bongo, kitachotokea ndio haya matangazo tunayoyaona ya makampuni ya tanzania ambayo na wahindi ambao wapo tayari kulipa dola 40 hadi 80 kwa views elf moja na cost per click ya dola 0.02(shilingi 40) endapo mtu ataclick tangazo.
Still umerudia kile kile! Au unataka kuniambia kuna mahali niliposema haya matangazo yana thamani sawa na kwamba matangazo YOTE yanaonekana duniani kote wakati tangia mwanzo nilisema:-
Kutokana na hapo juu, Advertizers wanaweka viwango tofauti vya thamani ya tangazo, na geographical position, ina-matter sana kwenye kufanya maamuzi!
Na hiyo hoja niliiweka kwenye post yangu ya kwanza kabisa but still unakosoa kwa kuongea kile kile ambacho nilishakiongea tangia awali.

Na hoja yako kwamba matangazo tunayoyaona ni ya kampuni za Tanzania as if ni ya Tanzania pekee, kauli yako SIO SAHIHI!

Yapo ya Tanzania na ya nje ya Tanzania kutegemeana na Advertizer's target audience!

Kwa kampuni au mtu ambae mathalani anatanganza Online University; huyu hata kama HQ ipo Mongolia, Tanzania anaweza kui-include as a target audience (na tena akai-exclude Mongolia yenyewe) provided anaamini anaweza kupata wateja!

Aatafanya hivyo kwa sababu mtu haihitaji kutoka Dar es salaam kwenda Mongolia ku-attend Online University Class!

Na hata hoja yako kwamba mabenki ya US yasiyo na matawi Bongo WANABANA matangazo; hakuna cha kubana hapo... nothing personal, it's all about a target audience!

CitBank ya US inaweza kui-exclude Tanzania as a Target Audience ingawaje Tanzania kuna CitBank Branch provided, bidhaa au huduma iliyowafanya watangaze through Google target yake sio Tanzania!

Kinyume chake, JP Morgan wanaweza kui-include Tanzania as a target audience hata kama hawana tawi Tanzania provided wanatangaza bidhaa au huduma ambayo sio lazima uwe mteja wao unayeishi US!!
Unachanganya mambo hapa, youtube na wenye tangazo ni tofauti, hela anayopokea mwenye channel ya youtube inaamuliwa na dau alilotoa amaehitaji bidhaa yake itangazwe, Youtube anawakutanisha hawa watu na kuseti mitambo matangazo yaonekane.
We jamaa sijui kama ulikuwa unasoma na kuelewa nilichoandika! Seriously unaamini naweza kuchanganya kati ya Advertiser na Youtube?! Do really believe that?!

FYI, pamoja na mambo mengine, mara kadhaa nisha-play advertiser role as well!

Na ndio maana hata wakati nazungumzia suala la geographical location, nimezungumzia basing on my own experience katika kuchagua target audience!!

Sasa itakuwa kiroja mtu ambae in one hand amesha-play an Advertiser Role halafu ashindwe kutofautisha kati ya Youtube na Advertizer, or even a publisher!!
Huwezi kulipwa dola elf 5 kwa views milioni kama mtangazaji kaamua kutoa dola 70, hii ndio inapelekea watu wa hapa tz waanze kutengeneza video zitazopata watazamaji wa marekani na ulaya ili wapate mpunga mrefu.
I mean no disrespect but to be honest, unachosha! Unachosha kwa sababu hoja unazoongea zipo out of context!

Hivi hata kwa yule ambae hana uelewa hata kidogo bado unaamini anaweza kudhania kwa tangazo ambalo bajeti yake ni USD 70 bado Publisher anaweza kulipwa USD 5000?! Seriously?!

Ni point yangu ipi iliyokufanya uamini nadhani tangazo lenye bajeti ya $70 Publisher anaweza kulipwa maradufu ya bajeti ya tangazo husika?

Hivi kuna mahali popote niliposema Publisher wa Tanzania anapata kiasi fulani zaidi ya wewe mwenyewe kusema:-
Mkuu hesabu zilizopigwa ulikuwa ni kwa hapa tz na sio huko japan, kibongo bongo wastani ni dola 60 kwa views laki, hapo unaweza kuzidi
Na kabla ya hapo, ulisema:-[/QUOTE]
Mara nyingi kibongo bongo mtu unakuta dola 600 ( takribani milioni 1.4 ), hivyo kwa watu kama kina Millard ayo unaweza kuweka video zake kama 100 hivi, hizi video zote za mwezi zinaweza kupata views milioni 5 hivi kwa hio hapa uhakika wa milion 7 upo.
Unaweza kuonesha ni wapi niliongea suala la kiasi gani Mbongo anapata?!
Najuana na Youtubers wengi hapa bongo, na nimewah kuona live mapato yao kwa hio sijaropoka, nimefanya tahmini haya mambo.

Kwa masaa 24 yaliyopita millard kaweka videos 40 na hii bidii ndio matunda yake, inamfanya apate takribani viewers milioni 20 kila mwezi, kwa hizi views kaka yetu anavuta milioni 30 na zaidi, huyu ana watazamaji ]]wa ziada wanaoishi ulaya na marekani wanao busti mapato yake
WOW!! Kumbe sio kwamba umewahi kufanya bali umeona LIVE MAPATO YA WANAOFANYA! You don't even know how these things work!

Kwa kawaida huwa sipendi ku-judge mtu!

Hapo juu wakati nazungumzia issue ya ku-play role ya Advetizer nilitaka kukuambia kwamba "inawezekana una experience as a publisher but you don't have experience as advetizer! Nikaamua kukausha!

Lakini kwa point yako hiyo hapo juu umeonesha sio tu kwamba huna experience as an advertizer bali pia as a publisher!! That being said, I'M OUT!!

Lakini kabla sija-OUT, labda niseme jambo moja!

Ukiangalia ID yangu inaonesha Join Date ni 2008, lakini the same ID kama ungeiangalia 1 month ago, ungekuta Join Date 2016!

Hiyo ni kwa sababu, nilikuwa na ID niliyokuwa naitumia tangia 2008 but in 2011 ikapigwa permanent ban kwa mambo haya haya ya online stuff! Ban ilitokana na spamming!

And I mean not to act too proud of myself but to be honest, linapokuja suala la digital marketing, am TOO AGGRESSIVE na JF walikuwa na kila sababu ya kunipiga permanent ban!!

Hatahivyo, majuzi tu the Big Boss wa JF akaiunganisha my 2016 chige account na ile ya 2008 account!!!

I INSIST, by 2011 tayari watu tulikuwa tumeshaanza kucheza na haya mambo!! Na hata hiyo role as Advertizer nilianza kuicheza wakati huo baada ya kuona JF nimepigwa ban, nikalazimika kutafuta alternatiive!!

STAY BLESSED!!!
 
billion ... kuna demu tz anauza unga... namuuliza unapiga milioni mia ngapi kasema some billions.... hivi nina tani 40 za unga nasambaza mashuleni..
mwana amkaaaaaa ahahahahah
Upeo wako ndo unakufanya uamini kila kitu!!...ukija kuwa na upeo mkubwa utakuja kuamini kuwa some billions ya manene ya kuambiwa ni tofauti na reality!!!
 
3 Reactions
Reply
Back
Top Bottom