Faida wanazopata AyoTV,Dizzim TV online,DAUDA TV na youtube channels za wasanii kama Diamond platnumz na wengine.

Mwl.RCT

Mwl.RCT

Verified Member
Joined
Jul 23, 2013
Messages
8,115
Points
2,000
Mwl.RCT

Mwl.RCT

Verified Member
Joined Jul 23, 2013
8,115 2,000
Gharama Zia YouTube kwa Tanzania endapo utakua unaripoti matukio ya kila siku kama mwandishi wa habari itakubidi ulipie milioni 2 hivi, uende ofisi za tcra utajaza fomu.

Endapo unatumia YouTube kutoa burudani kama msanii au kutumia YouTube kuelimisha Jamii, hakuna gharama
Ahsante kwa ufafanuzi.
 
M

Mr Easy

JF-Expert Member
Joined
Jan 16, 2016
Messages
872
Points
1,000
M

Mr Easy

JF-Expert Member
Joined Jan 16, 2016
872 1,000
Mmh unajua Millard ana camera zake na magari ka Hiace vile ya kutafuta Informations... Mshkaji kusema atakuwa na hela ya Kufungua radio yake hawezi ila kuendele kuwa Clouds kunampa nafasi ya kuzidi kujulikana hawezi acha clouds alafu abakie na video za you tube tu maana hukp youtube kwenyewe watu wanaenda kufatilia habari baada ya kuisikia clouds Millard akiisema na zingine hazitangazi..
Ile haisi naijua, si nyeusi! ila kama hayo mafanikio ni zao la youtube kwa hizo hesabu tunazopewa, nakataa, Labda uniambie ni zao la claus.
Kwani akiondoka clauds na kuwekeza nguvu kwa hiyo hesabu ataporomoka?
Mbona majizo aliacha ajira magic fm na akaanzisha efm na ikasimama! pia kuna yule jamaa jina limentoka alitoka bbc akaja kuanzisha radio zake dodoma na dar.
 
C

Chige

JF-Expert Member
Joined
Dec 20, 2008
Messages
8,584
Points
2,000
C

Chige

JF-Expert Member
Joined Dec 20, 2008
8,584 2,000
Kumbukumbuyatorati !!

Mahesabu uliyopigiwa juu yote hayo ni porojo tu! Sio kwamba huwezi kutengeneza 1B (TZS) kupitia Youtube, inawezekana sana lakini sio rahisi kiasi hicho!

Na wala mapato hayatokani na idadi ya views, kwa maana X Views = US$ Y, HELL NO, ingawaje pia ni kweli kadri unavyokuwa na Views wengi zaidi uwezekano wa kupiga zaidi unaongezeka!!

Aidha, YouTuber X wa Tanzania anaweza kuwa na Views 5M wakati YouTuber Y wa Japan akawa na Views 3 M na Viewers wa Japan wakawa wamengalia matangazo yale yale yaliyoangaliwa na Viewers wa Tanzania kwa urefu ule ule wa muda lakini at the end, usishangae YouTuber wa Japan akawa ameingiza mapata hata mara 3 ya YouTuber wa Tanzania!

Hapo juu inatokana na game of chance!

Kwamba, kama ni tangazo la iPhone X, basi kuna uwezekano wa kila 100 Views za Japan zikafanikisha ununuzi wa iPhone X hata 5 wakati zile Views 100 za Tanzania zikaishia kuangalia mapicha picha tu!

Kutokana na hapo juu, Advertizers wanaweka viwango tofauti vya thamani ya tangazo, na geographical position, ina-matter sana kwenye kufanya maamuzi!

Tuje kwenye swali la msingi! Unapata vipi mapato!

Njia ya kwanza ndo hiyo ya matangazo maarufu kama Google Adsense! Hapa kazi yako kubwa ni kuwa ni kutengeneza contents ambazo unaamini zitavutia watazamaji, and that's it!

Kwavile utakuwa na Adsense code, ina maana Viewer akifungua tu video yako, atakutana na tangazo... lile ambalo baadae unaambiwa SKIP!!

Utakachopata kutokana na tangazo husika itategemea Viewer aliendelea ku-entertain hilo tangazo kwa muda gani! Na itoshe tu kusema kwamba, kuna formula tofauti tofauti hutumika hapa!

Aidha, usishahau suala la kila region kuwa na thamani yake kwa tangazo lile lile!

Njia ya pili ya mapato ni local contracts! Ukishakuwa na YouTube Channel ambayo inatembelewa sana, basi una uwezekano mkubwa wa kupata matangazo ya ndani (sio Adsense)

Hapo juu ni kama unavyoona mfano wa wimbo wa Diamond wa Utanipenda ambao video yake inatanguliwa na tangazo la Dr. Mwaka!

Matangazo ya aina hiyo hapo juu ni maarufu sana kwa mtu kama Millard Ayo!!

ALL IN ALL, kazi ngumu ya YouTube Channel ni content! Suala la content ukilichukulia poa, utaishia kuwa mtu wa copy and paste!!

Ujinga wa copy and paste ni kwamba, idadi ya views lazima iwe ndogo kwa sababu video moja inakuwa iko posted kwa channels zaidi ya 10!

Isitoshe, kadri watu wanavyoona umuhimu wa Adsense, ndivyo wanavyozi kufanya protection kwenye videos zao!!

Ndo hapo unakuta umepakia video saa 2, lakini ukija saa 7, Google wameiondoa kwa sababu kuna mtu ka-report copyright violation!
 
rikiboy

rikiboy

JF-Expert Member
Joined
Feb 19, 2017
Messages
10,789
Points
2,000
rikiboy

rikiboy

JF-Expert Member
Joined Feb 19, 2017
10,789 2,000
Ile haisi naijua, si nyeusi! ila kama hayo mafanikio ni zao la youtube kwa hizo hesabu tunazopewa, nakataa, Labda uniambie ni zao la claus.
Kwani akiondoka clauds na kuwekeza nguvu kwa hiyo hesabu ataporomoka?
Mbona majizo aliacha ajira magic fm na akaanzisha efm na ikasimama! pia kuna yule jamaa jina limentoka alitoka bbc akaja kuanzisha radio zake dodoma na dar.
Sasa Millard mtaji anao??? Kuanzisha Radio station inacost sh ngapi?? Maana millard kama jina analo aisee hata akikopa atailipa hiyo hela bila shidaa... Radio yake binafsi itamlipa sanaa sema na yeye awe anafanya vipindi asiwe boss
 
rikiboy

rikiboy

JF-Expert Member
Joined
Feb 19, 2017
Messages
10,789
Points
2,000
rikiboy

rikiboy

JF-Expert Member
Joined Feb 19, 2017
10,789 2,000
Kumbukumbuyatorati !!

Mahesabu uliyopigiwa juu yote hayo ni porojo tu! Sio kwamba huwezi kutengeneza 1B (TZS) kupitia Youtube, inawezekana sana lakini sio rahisi kiasi hicho!

Na wala mapato hayatokani na idadi ya views, kwa maana X Views = US$ Y, HELL NO, ingawaje pia ni kweli kadri unavyokuwa na Views wengi zaidi uwezekano wa kupiga zaidi unaongezeka!!

Aidha, YouTuber X wa Tanzania anaweza kuwa na Views 5M wakati YouTuber Y wa Japan akawa na Views 3 M na Viewers wa Japan wakawa wamengalia matangazo yale yale yaliyoangaliwa na Viewers wa Tanzania kwa urefu ule ule wa muda lakini at the end, usishangae YouTuber wa Japan akawa ameingiza mapata hata mara 3 ya YouTuber wa Tanzania!

Hapo juu inatokana na game of chance!

Kwamba, kama ni tangazo la iPhone X, basi kuna uwezekano wa kila 100 Views za Japan zikafanikisha ununuzi wa iPhone X hata 5 wakati zile Views 100 za Tanzania zikaishia kuangalia mapicha picha tu!

Kutokana na hapo juu, Advertizers wanaweka viwango tofauti vya thamani ya tangazo, na geographical position, ina-matter sana kwenye kufanya maamuzi!

Tuje kwenye swali la msingi! Unapata vipi mapato!

Njia ya kwanza ndo hiyo ya matangazo maarufu kama Google Adsense! Hapa kazi yako kubwa ni kuwa ni kutengeneza contents ambazo unaamini zitavutia watazamaji, and that's it!

Kwavile utakuwa na Adsense code, ina maana Viewer akifungua tu video yako, atakutana na tangazo... lile ambalo baadae unaambiwa SKIP!!

Utakachopata kutokana na tangazo husika itategemea Viewer aliendelea ku-entertain hilo tangazo kwa muda gani! Na itoshe tu kusema kwamba, kuna formula tofauti tofauti hutumika hapa!

Aidha, usishahau suala la kila region kuwa na thamani yake kwa tangazo lile lile!

Njia ya pili ya mapato ni local contracts! Ukishakuwa na YouTube Channel ambayo inatembelewa sana, basi una uwezekano mkubwa wa kupata matangazo ya ndani (sio Adsense)

Hapo juu ni kama unavyoona mfano wa wimbo wa Diamond wa Utanipenda ambao video yake inatanguliwa na tangazo la Dr. Mwaka!

Matangazo ya aina hiyo hapo juu ni maarufu sana kwa mtu kama Millard Ayo!!

ALL IN ALL, kazi ngumu ya YouTube Channel ni content! Suala la content ukilichukulia poa, utaishia kuwa mtu wa copy and paste!!

Ujinga wa copy and paste ni kwamba, idadi ya views lazima iwe ndogo kwa sababu video moja inakuwa iko posted kwa channels zaidi ya 10!

Isitoshe, kadri watu wanavyoona umuhimu wa Adsense, ndivyo wanavyozi kufanya protection kwenye videos zao!!

Ndo hapo unakuta umepakia video saa 2, lakini ukija saa 7, Google wameiondoa kwa sababu kuna mtu ka-report copyright violation!
Mzee baba umetoa shule nzitoo sanaa
 
Machozi ya Simba

Machozi ya Simba

JF-Expert Member
Joined
Feb 23, 2012
Messages
2,844
Points
2,000
Machozi ya Simba

Machozi ya Simba

JF-Expert Member
Joined Feb 23, 2012
2,844 2,000
c

Mkuu hesabu zilizopigwa ulikuwa ni kwa hapa tz na sio huko japan, kibongo bongo wastani ni dola 60 kwa views laki, hapo unaweza kuzidi

Copyright content ni kazi sana kupata kama unajali kazi yako, tukio mfano la Diamond kinaweza kutoka utachofanya ni kulielezea tu huku slide show ya picha za Instagram za Diamond zikiwa zinaendelea.

Views ukitegemea YouTube pekee kibongo bongo ni kazi, watu wana share sana kwenye groups za Facebook hadi video zinakuepo kwenye trending.

Ni kazi mtindo moja
 
glass amo

glass amo

JF-Expert Member
Joined
Aug 11, 2017
Messages
2,427
Points
2,000
glass amo

glass amo

JF-Expert Member
Joined Aug 11, 2017
2,427 2,000
Bado nasubiri nondo
 
T

Themagufulianz

JF-Expert Member
Joined
Apr 15, 2017
Messages
1,797
Points
2,000
T

Themagufulianz

JF-Expert Member
Joined Apr 15, 2017
1,797 2,000
iko kwenye mitandao ya wazungu sio ya wasukuma..data za youtube sio zangu boss.... i can inbox u screenshot.......
tatizo wenye milioni 20 wanatembelea kucha kwa maringo... mwenye 2bln yuko kama wa zamani hana mbwembwe
Huyu jamaa sidhani kama ni mkweli aisee,
Hizo hela ni nyingi sana kwa Millard,
Tungejua tu.
 
T

Themagufulianz

JF-Expert Member
Joined
Apr 15, 2017
Messages
1,797
Points
2,000
T

Themagufulianz

JF-Expert Member
Joined Apr 15, 2017
1,797 2,000
Redio zinafutwa na social media mkuu... mambo ya redio na mitambo na watumishi 200 yanapotea kabisa.... social media has taken over... yuko vizuri alipo making more money with less cost.... Hajikufungua redio yake never.... smartest kid in bongo
Wote mko sawa lakini Millard ayo atafungua radio yake inawezekana mda wake bado, pia wengine anapata pesa mahali nyingi tu bado Anakaa pale pale Labda kaweka mda wake pale au mkataba wake bado Kama tu harmonize asante
 
Kumbukumbuyatorati

Kumbukumbuyatorati

Senior Member
Joined
Jul 27, 2018
Messages
121
Points
250
Kumbukumbuyatorati

Kumbukumbuyatorati

Senior Member
Joined Jul 27, 2018
121 250
Kumbukumbuyatorati !!
Mahesabu uliyopigiwa juu yote hayo ni porojo tu! Sio kwamba huwezi kutengeneza 1B (TZS) kupitia Youtube, inawezekana sana lakini sio rahisi kiasi hicho!
Na wala mapato hayatokani na idadi ya views, kwa maana X Views = US$ Y, HELL NO, ingawaje pia ni kweli kadri unavyokuwa na Views wengi zaidi uwezekano wa kupiga zaidi unaongezeka!!
Aidha, YouTuber X wa Tanzania anaweza kuwa na Views 5M wakati YouTuber Y wa Japan akawa na Views 3 M na Viewers wa Japan wakawa wamengalia matangazo yale yale yaliyoangaliwa na Viewers wa Tanzania kwa urefu ule ule wa muda lakini at the end, usishangae YouTuber wa Japan akawa ameingiza mapata hata mara 3 ya YouTuber wa Tanzania!
Hapo juu inatokana na game of chance!
Kwamba, kama ni tangazo la iPhone X, basi kuna uwezekano wa kila 100 Views za Japan zikafanikisha ununuzi wa iPhone X hata 5 wakati zile Views 100 za Tanzania zikaishia kuangalia mapicha picha tu!
Kutokana na hapo juu, Advertizers wanaweka viwango tofauti vya thamani ya tangazo, na geographical position, ina-matter sana kwenye kufanya maamuzi!
Tuje kwenye swali la msingi! Unapata vipi mapato!
Njia ya kwanza ndo hiyo ya matangazo maarufu kama Google Adsense! Hapa kazi yako kubwa ni kuwa ni kutengeneza contents ambazo unaamini zitavutia watazamaji, and that's it!
Kwavile utakuwa na Adsense code, ina maana Viewer akifungua tu video yako, atakutana na tangazo... lile ambalo baadae unaambiwa SKIP!!
Utakachopata kutokana na tangazo husika itategemea Viewer aliendelea ku-entertain hilo tangazo kwa muda gani! Na itoshe tu kusema kwamba, kuna formula tofauti tofauti hutumika hapa!
Aidha, usishahau suala la kila region kuwa na thamani yake kwa tangazo lile lile!
Njia ya pili ya mapato ni local contracts! Ukishakuwa na YouTube Channel ambayo inatembelewa sana, basi una uwezekano mkubwa wa kupata matangazo ya ndani (sio Adsense)
Hapo juu ni kama unavyoona mfano wa wimbo wa Diamond wa Utanipenda ambao video yake inatanguliwa na tangazo la Dr. Mwaka!
Matangazo ya aina hiyo hapo juu ni maarufu sana kwa mtu kama Millard Ayo!!
ALL IN ALL, kazi ngumu ya YouTube Channel ni content! Suala la content ukilichukulia poa, utaishia kuwa mtu wa copy and paste!!
Ujinga wa copy and paste ni kwamba, idadi ya views lazima iwe ndogo kwa sababu video moja inakuwa iko posted kwa channels zaidi ya 10!
Isitoshe, kadri watu wanavyoona umuhimu wa Adsense, ndivyo wanavyozi kufanya protection kwenye videos zao!!
Ndo hapo unakuta umepakia video saa 2, lakini ukija saa 7, Google wameiondoa kwa sababu kuna mtu ka-report copyright violation!
Pongezi kwako mkuu
 
T

Themagufulianz

JF-Expert Member
Joined
Apr 15, 2017
Messages
1,797
Points
2,000
T

Themagufulianz

JF-Expert Member
Joined Apr 15, 2017
1,797 2,000
social media inafuta maredio.... you can have your own youtube tv now nk.
Sasa Millard mtaji anao??? Kuanzisha Radio station inacost sh ngapi?? Maana millard kama jina analo aisee hata akikopa atailipa hiyo hela bila shidaa... Radio yake binafsi itamlipa sanaa sema na yeye awe anafanya vipindi asiwe boss
 
becknature

becknature

Senior Member
Joined
Mar 9, 2017
Messages
141
Points
225
becknature

becknature

Senior Member
Joined Mar 9, 2017
141 225
Millard Ayo angekua tajiri mkubwa sana na wala asingekua anafanya kazi kwa Kusaga
nafikiri hyo pesa wanazopata hawajatoa Running Cost,wakito na hzo garama za kusafiri ulaya ,mikoani nafikiri ela inabaki ya kawaida tu, so lazma aendelee na kusaga
 
T

Themagufulianz

JF-Expert Member
Joined
Apr 15, 2017
Messages
1,797
Points
2,000
T

Themagufulianz

JF-Expert Member
Joined Apr 15, 2017
1,797 2,000
the boy a aweza kuwa na radio yake... ila haitaji... anakamua zaidi bila radio... cost ziko way less than kuwa na radio... smart mind
Mmh unajua Millard ana camera zake na magari ka Hiace vile ya kutafuta Informations... Mshkaji kusema atakuwa na hela ya Kufungua radio yake hawezi ila kuendele kuwa Clouds kunampa nafasi ya kuzidi kujulikana hawezi acha clouds alafu abakie na video za you tube tu maana hukp youtube kwenyewe watu wanaenda kufatilia habari baada ya kuisikia clouds Millard akiisema na zingine hazitangazi..
 
HARAKATI ZOTE

HARAKATI ZOTE

Member
Joined
Mar 6, 2016
Messages
55
Points
125
HARAKATI ZOTE

HARAKATI ZOTE

Member
Joined Mar 6, 2016
55 125
Mmh unajua Millard ana camera zake na magari ka Hiace vile ya kutafuta Informations... Mshkaji kusema atakuwa na hela ya Kufungua radio yake hawezi ila kuendele kuwa Clouds kunampa nafasi ya kuzidi kujulikana hawezi acha clouds alafu abakie na video za you tube tu maana hukp youtube kwenyewe watu wanaenda kufatilia habari baada ya kuisikia clouds Millard akiisema na zingine hazitangazi..
point, millard anaingiza mkwanja mrefu sana kupitia youtube yake na site coz nna jamaa zangu ambao wanachannel zao ambazo zinasubscriber chini ya laki mbili na huwa wanaweka video za kawaida naviewers hata laki hazifiki lakin kwa mwezi 1M tzs wanapata.
 
Mla vitumbua

Mla vitumbua

JF-Expert Member
Joined
Feb 23, 2019
Messages
250
Points
250
Mla vitumbua

Mla vitumbua

JF-Expert Member
Joined Feb 23, 2019
250 250
Mwemyewe nimekuwa na wasi wasi na hizo details, Yaani tu ile $100k kibongo bongo ni parefu sana. Jamaa anatengeneza pesa ila sio kwa hizo number ulizoweka
Millard Ayo angekua tajiri mkubwa sana na wala asingekua anafanya kazi kwa Kusaga
 
Forum statistics

Threads 1,334,886
Members 512,157
Posts 32,489,904
Top