Faida na madhara ya kuoga kwa maji ya moto

mi kilasiku naoga maji ya moto na nikosafi kila idara nashusha marighafi na kiwanda kinazaa nategemea mwezi wa kumi kupata mtoto wa sita. chezea majimotowewe
 
Habari gani wanajamvi?,kuna madhara gani kwa mwanaume kuoga maji ya moto kwa upande wa mfumo mzima wa uzazi? kwani inasemekana eti corodani hazitaki joto ndo maana ni organ iliyoko nje. naomba kuwasilisha.
 
Kwani mwanamume akioga maji ya moto anaziloweka korodani na kuziacha kwenye maji siku nzima??

Ni kweli korodani hazihitaji hali ya joto ili ziweze kuendelea na uzalishaji wa mbegu. Hii haina maana kwamba mtu akiwa kwenye mazingira ya baridi aziache korodani zifreeze. Na pia kwenye suala la kuoga, mtu anaoga maji ya moto kutegemeana na mahali alipo. Kwa mfano, ukiwa maeneo ya pwani kipindi kama hiki, hali ni joto sana kiasi kwamba hata maji ya bomba yanakuwa ya moto. Kwa hiyo suala la kuoga maji ya moto linategemea hali ya joto ya nje na haliwezi kuathiri utendaji kazi wa korodani!
 
Joto linaathiri uzalishaji wa mbegu za kiume haliathiri mfumo mzima wa uzazi. Kama unataka mtoto hapo ndio penye tatizo. Hata hivyo joto endelevu ndilo lenye madhara mfano kuota moto masaa mengi, kupakatia laptop mapajani kwa muda mrefu, kuvaa chupi za kubana sana kiasi kuwa korodani zinabanana ma mapaja hivyo kupata joto sana, nk. Lakini suala la kuoga ni dakika chache sana hakuwezi kuwa na madhara.
 
Umefafanua kwa uzuri sana...

Muda mungine munatoa ushaur wa maana ...........
Pia hata kwa wanawake yapo madhara .muwe makin na wake zenu........

.

Kuna madhara gani mkuu? Unaweza kutufafanulia?

Kwa sababu kama joto lingekuwa madhara kwenye utengenezaji wa mayai basi ovaries nazo zingekuwa zinaning'inia nje kama korodani.

Ila kama una maelezo ya kisayansi basi tuwekee ili tuelimike!
 
korodan zinatokota balb utapata ugwadu ile noma wengi huishia kupiga raund na wake zao masingle ndo utawasikia �� jaman aliekua karib anletee mafuta ya mgando""
 
Back
Top Bottom