Faida na madhara ya kuoga kwa maji ya moto

kama tukipata sababu za kisayansi itasaidia zaidi lakini nadhani hata kunywa yana madhara.....niliwahi kunywa sana maji ya moto wakati niko high schoo wakawa wananiita mahot....nadhani kuna athari nilipata
 
kwa mwanaume kuoga maji ya moto sana sio vzuri coz zile testies(mapu...) haztakiwi kupata joto sana coz ztashindwa kuzalisha mbegu ndo maana haziko ndani ya mwili coz ndan ya mwili joto huwa ni kubwa so ukiogea maji ya moto sana unaongeza external temperature ambayo inadestroy zile mbegu znazozalishwa na testies hope umenipata fresh.
 
Kuna madhara mtu anaweza pata kama akiwa anaoga maji ya moto mara kwa mara?
Na pia kuna faida gani ya kuoga maji ya moto?
 
Kuna mtaalamu mmoja alisema upungufu wa nguvu za kiume huchangiwa na uogaji wa maji ya moto mara kwa mara.
 
Mi ninajua faidatu.ujumbemwingi wa Afya husema chemsha maji ya kunywa manayake yatakayo ingia mdomoni je wakatiwa kuoga maji hayaingiimdomoni? maji ya kunawa asubuhi tunachemsha? hivyobasi we endelea kuoga maji ya moto yanaua vidudu
 
Mkuu kuna thread hapa imefafanua vizuri
jaribu kuutafuta lakini madhara hakuna.

Vp kule Ulaya kwenye baridi kali si wanaoga
ya moto na wanazaa kama kawaida.
 
Kuna madhara kweny utoaji wa mbegu zinakuwa weak haziwezi kuzalisha ndo mana unashauriwa uweke batafu kwny korodani kupunguza joto sasa maji ya moto ni kinyume chakee
 

thank bro, nimecheki majibu yake kwa mdau ila hajaliwekea sana mkazo suala la maji ya moto kuwa source ya jamaa kuwa na low sperm ktk semen,

anasema inawezekana ana azoospermia ambayo inasababishwa kwa kiasi kikubwa na:->
i) testicle kuto dev normaly
ii) kuziba kwa testicle
iii) kuziba kwa mrija wa usafirishaji sperm

na mwisho anasema wanaume wengi wanaoga maji ya moto au (saunas-ni nini hii kitu?) hawana matatizo ya uzazi,

ila point ya msingi ni kweli kwamba joto uwa linaathiri utengenezaji wa mbegu, lakini swali linakuja je mbegu uwa zinatengenezwa muda gani? Na pili kwa kuoga kwa mtindo wa kujimwagia maji iwe kwa kopo au shower, joto lake linaweza kutosha kuadhili utengenezaji wa mbegu?
Kwa kuoga kwenye jacuzi naweza nikasema sawa maana kwa muda mrefu testis zinakuwa kwenye maji,

daaaa still niko dilema ndugu.
 
Mi ninajua faidatu.ujumbemwingi wa Afya husema chemsha maji ya kunywa manayake yatakayo ingia mdomoni je wakatiwa kuoga maji hayaingiimdomoni? maji ya kunawa asubuhi tunachemsha? hivyobasi we endelea kuoga maji ya moto yanaua vidudu


asante mkuu, ila nina kaswali kidogo, unajua mara nyingi uwa tunachemsha kiasi fulani kwenye heater/sufuria ambapo hapa naukika vidudu vinakufa, lakini baada ya hapo tunayaweka hayo maji ya moto kwenye ndoo na kuyaongeza mengine ili kuyapoza kwa stahili hii vidudu vitakuwa vimekufa kweli kwa maji tunayoongeza?
 
Mkuu kuna thread hapa imefafanua vizuri
jaribu kuutafuta lakini madhara hakuna.

Vp kule Ulaya kwenye baridi kali si wanaoga
ya moto na wanazaa kama kawaida.

mwana naomba kama unaweza nisaidie harafu iweke hapa maana nimejaribu kuitafuta nimeshindwa, naletewa vitu tofauti kabisa,

kama kuna mdau anaweza pia atusaidie ndugu, maana huku kwenye mikoa ya baridi sie tuliozoea kukaa kwenye joto inatubidi kuoga maji ya moto,
 
Back
Top Bottom