Faida na hasara ya vitanda vya chuma

Wadau naandika hapa kutaka kujua changamoto ya vitanda vya chuma (faida au hasara zake) maana hiki kitanda changu cha mbao kina changamoto sana kila mara kinabonyea katikati.

Nabadili chaga baada ya muda kinarudi hivyo hivyo kiasi kwamba imekua kero kubwa na imenisababishia maumivu ya mgongo sasa nataka nibadili style ya kitanda je kuna mwenye uzoefu navyo anijuze tafadhari?
Chaga inabonyeaje, nunua godoro mkuu, tafuta kam 400ks upate godoro mujaranu
 
Miti yote hii kwanini uhangaike na Furniture za Chuma hata hao wanaotumia furniture za vyuma ni kwa vile tu ya shortage ya mbao maeneo waliopo sasa na sisi tuna iga eti, Ni kama leo Waislamu wanavyozika wapendwa wao bila majeneza wanasahau huo utamuduni ulikuwa kwa waarabu kwa vile kule miti ya mbao ni shida sasa Bongo hapa Mbao kibao utashindwa vipi kumstiri mpendwa wako katika jeneza
jambo la maziko katika uislamu ni ibada na ina utaratibu wake, sio jambo la kiakili wala shortage ya kitu fulani huko uarabuni n.k..

uislamu umefundisha maziko ni sanda pekee ndo inahusika popote utakapokuwa duniani..
 
Wadau naandika hapa kutaka kujua changamoto ya vitanda vya chuma (faida au hasara zake) maana hiki kitanda changu cha mbao kina changamoto sana kila mara kinabonyea katikati.

Nabadili chaga baada ya muda kinarudi hivyo hivyo kiasi kwamba imekua kero kubwa na imenisababishia maumivu ya mgongo sasa nataka nibadili style ya kitanda je kuna mwenye uzoefu navyo anijuze tafadhari?
Iwapo hujapata suluhisho, badili godoro!! u-mbao na u-chuma si hoja
 
Wadau naandika hapa kutaka kujua changamoto ya vitanda vya chuma (faida au hasara zake) maana hiki kitanda changu cha mbao kina changamoto sana kila mara kinabonyea katikati.

Nabadili chaga baada ya muda kinarudi hivyo hivyo kiasi kwamba imekua kero kubwa na imenisababishia maumivu ya mgongo sasa nataka nibadili style ya kitanda je kuna mwenye uzoefu navyo anijuze tafadhari?
Juu ya chaga weka marine board

Ova
 
Kipande changu cha mkeka is the best..
1. Kwanza nalala chali, nanyoosha uti wa mgongo,
2. ikitokea nimelibwanda(nimejikojolea usingizini) asubuhi naweza kuufua kabisa na omo ukanukia vizuri
3. Sipati ajali za kuanguka toka kitandani
 
mi naulizia kati ya kitanda cha mbao na cha sofa kipi ni kizuri na kinaendana na hali ya uchumi wa kati
 
Kipande changu cha mkeka is the best..
1. Kwanza nalala chali, nanyoosha uti wa mgongo,
2. ikitokea nimelibwanda(nimejikojolea usingizini) asubuhi naweza kuufua kabisa na omo ukanukia vizuri
3. Sipati ajali za kuanguka toka kitandani
Hilo neno Kulimbwanda nimeliskia kitambo sana leo ndo nakutana nalo tena
 
Back
Top Bottom