Tajiri wa Magomeni
JF-Expert Member
- Aug 21, 2019
- 4,274
- 2,941
kipindi kinalegea haraka kati ya cha chuma na mbao?
We ni mpumbavu kila din na misingi yakeMiti yote hii kwanini uhangaike na Furniture za Chuma hata hao wanaotumia furniture za vyuma ni kwa vile tu ya shortage ya mbao maeneo waliopo sasa na sisi tuna iga eti, Ni kama leo Waislamu wanavyozika wapendwa wao bila majeneza wanasahau huo utamuduni ulikuwa kwa waarabu kwa vile kule miti ya mbao ni shida sasa Bongo hapa Mbao kibao utashindwa vipi kumstiri mpendwa wako katika jeneza
Inategemea mkuu, hivo vya laki 2 au 3 vinapiga kelele na havipendezi. Bora nichukue cha mbao laki 3 kuliko cha chuma laki 3. Mimi nazungumzia vya bei hiyo maana uwezo wa kulalia kima cha kati cha mshahara sina.huwa vinapiga kelele?
Hujaona hizo ngazi hapo?uyo anaelala juu anapandaje??
Plz naomba bei ya kitanda cha chuma 5*6 kwa darFaida
*Havishambuliwi na wadudu waaribifu mf: mchwa
*kinapangika vizuri ktk gari wakati wa kuhama
*kinakupa chaguzi ya rangi upendayo
*hii ni moja ya sex tool makini kikifungwa kiumakini
*KUNGUNI hatagi ktk chuma. kunguni hawapendelei vitanda hivi na kama watakuwepo ni simple kuwateketeza kwani watakaa ktk godoro tu.
*hudumu kwa muda mrefu ukilinganisha na mbao kwa gharama ya kitanda husika
HASARA
*Ku conduct umeme kama kitakuwa na waya ziko uchi na kugusa sehemu ya kitanda
* kushika kutu. Hii ni kwa wale wanaokaa nyumba zinazovuja. Au waliotegesha vitanda dirishani hasa msimu wa mvua,
*kinadumu sana , hakiharibiki.
Wadau ongezeeni.
duuh nimeona il sio kwa ngaz izo ngaz Chuma chake cha mvilingo mtoto ataweza kupanda hapoHujaona hizo ngazi hapo?
Kinacho bonyea ni godoro au ni chaga?Wadau naandika hapa kutaka kujua changamoto ya vitanda vya chuma (faida au hasara zake) maana hiki kitanda changu cha mbao kina changamoto sana kila mara kinabonyea katikati.
Nabadili chaga baada ya muda kinarudi hivyo hivyo kiasi kwamba imekua kero kubwa na imenisababishia maumivu ya mgongo sasa nataka nibadili style ya kitanda je kuna mwenye uzoefu navyo anijuze tafadhari?
kitanda kama icho cha 5kwa6 napata kwa shingap?Kitanda cha chuma ni babu kubwa sana, faida za ziada hakifugi kunguni, check Cha kwangu hichoView attachment 1551508
Mmesahau! 1.5 trillion zilitafunwa na majizi CCM
Vitanda vya chuma ni vizuri sanaa, pia ni imara
Kitanda cha chuma ni babu kubwa sana, faida za ziada hakifugi kunguni, check Cha kwangu hichoView attachment 1551508
Mmesahau! 1.5 trillion zilitafunwa na majizi CCM
Vitanda vya chuma havifai chumbani kwasababu ya temperature (c°)Natumia kitanda Cha chuma ni kizuri kuliko Cha mbao maana Kiko juu vizuri una enjoy, na hakilii kwichi kwichi Sana ka Cha mbao, pia easy kudeki mvunguni
Kumbe kwa daslam kizuri hikiVitanda vya chuma havifai chumbani kwasababu ya temperature (c°)
Wataalamu wa hotels & Other comfortable rooms wanasema kitanda na materials mengine ya mbao ni nzuri sana vyumbani kwasababu havipati baridi na haibadilishi atmosphere ya chumbani.
Ndio maana materials yote ya Mbao ni ya gharama sana kuanzia Europe mpaka Afrika.
In Health point of view, inashauriwa kama chumbani kwako kuna tiles basi ukitumia kitanda cha chuma kutakuwa na baridi inayokuathiri kifua ukiwa usingizini hata kama huifeel.
Usiku chuma inapata baridi sana na kama upo usingizini ukageuka unaweza kugusa kitanda usingizini ukaishia hapo mbaya zaidi kwa watoto wadogo.
In short, ''Wooden things are always best furniture than Metal ones''
Vitanda vya chuma tumelalia tangu secondary Hadi chio kikuu hamna kibaya kilichotupata, kwanza zamani wazee walilalia ngozi na tukazaliwa sembuse sasa hiviVitanda vya chuma havifai chumbani kwasababu ya temperature (c°)
Wataalamu wa hotels & Other comfortable rooms wanasema kitanda na materials mengine ya mbao ni nzuri sana vyumbani kwasababu havipati baridi na haibadilishi atmosphere ya chumbani.
Ndio maana materials yote ya Mbao ni ya gharama sana kuanzia Europe mpaka Afrika.
In Health point of view, inashauriwa kama chumbani kwako kuna tiles basi ukitumia kitanda cha chuma kutakuwa na baridi inayokuathiri kifua ukiwa usingizini hata kama huifeel.
Usiku chuma inapata baridi sana na kama upo usingizini ukageuka unaweza kugusa kitanda usingizini ukaishia hapo mbaya zaidi kwa watoto wadogo.
In short, ''Wooden things are always best furniture than Metal ones''
Kwa Daslam na Khartoum za chuma sawa, ila kwa Kilimanjaro, Iringa, mbeya, Njombe kule kwetu, Ulaya n.k hapanaKumbe kwa daslam kizuri hiki
Nitanunua cha chuma mimi hili joto la Dar sio kabisa
Mashuleni wanaweka vya chuma kwasababu ya Uimara, vitanda vinalaliwa na watu wengi na miparangano ni mingi ila hawazingatii mambo ya kumcomfort mtuVitanda vya chuma tumelalia tangu secondary Hadi chio kikuu hamna kibaya kilichotupata, kwanza zamani wazee walilalia ngozi na tukazaliwa sembuse sasa hivi
Good luck....!Nitanunua cha chuma mimi hili joto la Dar sio kabisa