Ettore Bugatti
JF-Expert Member
- Aug 28, 2017
- 4,123
- 8,253
Punguza kushiba sana.Wadau naandika hapa kutaka kujua changamoto ya vitanda vya chuma (faida au hasara zake) maana hiki kitanda changu cha mbao kina changamoto sana kila mara kinabonyea katikati.
Nabadili chaga baada ya muda kinarudi hivyo hivyo kiasi kwamba imekua kero kubwa na imenisababishia maumivu ya mgongo sasa nataka nibadili style ya kitanda je kuna mwenye uzoefu navyo anijuze tafadhari?
Au badilisha location ya migegedo sometime tumia sofa au chini kwenye carpet.