Faida na hasara ya vitanda vya chuma

ton11

Member
Apr 8, 2019
63
125
Wadau naandika hapa kutaka kujua changamoto ya vitanda vya chuma (faida au hasara zake) maana hiki kitanda changu cha mbao kina changamoto sana kila mara kinabonyea katikati.

Nabadili chaga baada ya muda kinarudi hivyo hivyo kiasi kwamba imekua kero kubwa na imenisababishia maumivu ya mgongo sasa nataka nibadili style ya kitanda je kuna mwenye uzoefu navyo anijuze tafadhari?
 
reyzzap

JF-Expert Member
Oct 3, 2014
5,265
2,000
Chaga unazochukua ni nyepesi mzee, na pengine unatumia 6*6 ft.
Chuma sijawahi kukielewa, hata hivi vya Ma sofa sivielewi, basi angalau Sehemu kubwa iwe mbao ila full sofa hapana.
Nahitaji mbao, tena cha boks
Screenshot_20200824_215543~2.jpg
FB_IMG_15964959050697916.jpg
 
Boaziwaya

JF-Expert Member
Oct 21, 2019
752
1,000
Wadau naandika hapa kutaka kujua changamoto ya vitanda vya chuma (faida au hasara zake) maana hiki kitanda changu cha mbao kina changamoto sana kila mara kinabonyea katikati.

Nabadili chaga baada ya muda kinarudi hivyo hivyo kiasi kwamba imekua kero kubwa na imenisababishia maumivu ya mgongo sasa nataka nibadili style ya kitanda je kuna mwenye uzoefu navyo anijuze tafadhari?
kitanda kitanda tu punguza purukushani, mechi zingine badili kiwanja na kuota unakimbia pia uache bila hivyo ata cha zege hakitokufaa
 
AgentX

JF-Expert Member
Mar 7, 2015
1,521
2,000
Faida
*Havishambuliwi na wadudu waaribifu mf: mchwa
*kinapangika vizuri ktk gari wakati wa kuhama
*kinakupa chaguzi ya rangi upendayo
*hii ni moja ya sex tool makini kikifungwa kiumakini
*KUNGUNI hatagi ktk chuma. kunguni hawapendelei vitanda hivi na kama watakuwepo ni simple kuwateketeza kwani watakaa ktk godoro tu.
*hudumu kwa muda mrefu ukilinganisha na mbao kwa gharama ya kitanda husika

HASARA
*Ku conduct umeme kama kitakuwa na waya ziko uchi na kugusa sehemu ya kitanda
* kushika kutu. Hii ni kwa wale wanaokaa nyumba zinazovuja. Au waliotegesha vitanda dirishani hasa msimu wa mvua,
*kinadumu sana , hakiharibiki.Wadau ongezeeni.
 
barafuyamoto

JF-Expert Member
Jul 26, 2014
29,461
2,000
Wadau naandika hapa kutaka kujua changamoto ya vitanda vya chuma (faida au hasara zake) maana hiki kitanda changu cha mbao kina changamoto sana kila mara kinabonyea katikati.

Nabadili chaga baada ya muda kinarudi hivyo hivyo kiasi kwamba imekua kero kubwa na imenisababishia maumivu ya mgongo sasa nataka nibadili style ya kitanda je kuna mwenye uzoefu navyo anijuze tafadhari?
Weka tofali mbili chini mkuu kusapoti chaga. Hutajuta
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom