Tomaa Mireni
JF-Expert Member
- Sep 8, 2015
- 2,451
- 2,464
Hahaaaaaaa..... Mimi labda kwa nisiyemjuaKila nikiunganishwa ktk Group na EXIT
Akiendelea mara mbili au tatu kuniunga anakula Block
Hii ndio sera yangu[emoji1321]
Hahaaaaaaa..... Mimi labda kwa nisiyemjuaKila nikiunganishwa ktk Group na EXIT
Akiendelea mara mbili au tatu kuniunga anakula Block
Hii ndio sera yangu[emoji1321]
Sawa mkuuNi kweli lakini nahisi hujawahi kutumia telegram ndo mana umeipa sifa wasap, magroup ni MUHIMU sana tena sana.... Lakini kwa ubora wa app karibu telegram uinjoy maisha
[emoji23] [emoji23] [emoji23] kwaiyo mfano sie tukiokuwa umu jf tumenunua simu kwaajiri ya jfsijanunua CM kwa ajili ya ma ,group,nina matumizi nayo mengi tu
Hili swali lina mantiki ganiUmeanzia kutimia Whatsaap lini/Mwaka gani?
We nijibu nina maana yangu kukuuliza hivyo.Hili swali lina mantiki gani
Nilianza kutumia WhatsApp mwaka 2015We nijibu nina maana yangu kukuuliza hivyo.
Hapo sawa mkuu bado ugeni upo kiasi,kuna wengine walianza miaka ya nyuma kidogo kabla hata ya whatsaap kwa hio mitandao ilishawachosha.Nilianza kutumia WhatsApp mwaka 2015
Hakuna hoja wala mantiki uliyo andika ya maana zaidi ya kuandika kama mtu tu wa mtaani usiojua nini technology, information, networkHapo sawa mkuu bado ugeni upo kiasi,kuna wengine walianza miaka ya nyuma kidogo kabla hata ya whatsaap kwa hio mitandao ilishawachosha.
Na wala si intend to offence you but maana yangu ni kwamba baada ya muda flani utaichoka hio mitandao na hayo ma group yatakufa "natural death" mkuu.
Umrete=UmleteHakuna hoja wala mantiki uliyo andika ya maana zaidi ya kuandika kama mtu tu wa mtaani usiojua nini technology, information, network
Soma hoja niliyoandika mimi hata umrete mtu gani dunia mzima lazima akubali sasa wewe unaandika nini apa nahisi jf upo kwa baati mbaya
Niko hapa na naweza kusimama na wewe kokote hivi umepitia nilichokiandika au unaandika andika, rejelea nini nimekieleza kuusu umuhimu wa group za WhatsApp au hauna uwezo wa kuchambua logic ukaelewa nahisi ujawai kufika chuo kwasababu ungefika ungejua WhatsApp ni nini watu wanakosa Quiz kisa ajapata taarifa, mwanafunzi anakosa taarifa muulize mwanachuo unayeishi naye akwambie WhatsApp ni kitu gani kama ataongea upuuzi na yeye ata kuwa mpuuzi tuUmrete=Umlete
Apa=Hapa
Baati=Bahati
Sawa mimi ni mtu wa mtaani na niko hapa JF kwa bahati mbaya.
Ila wewe "MSOMI" jifunze kwanza kuandika vizuri lugha adhimu ya Kiswahili then njoo tena tuendelee na mazungumzo.
Kwa kujiunga kwako jf eshima tosha kwamba unajua kutumia mtandao kwa matumizi yenye faida ila ulichokiandika hapa sijaona umuhimu wa wewe kuwa ata humu jf itakuwa unafuatia udaku tuUmrete=Umlete
Apa=Hapa
Baati=Bahati
Sawa mimi ni mtu wa mtaani na niko hapa JF kwa bahati mbaya.
Ila wewe "MSOMI" jifunze kwanza kuandika vizuri lugha adhimu ya Kiswahili then njoo tena tuendelee na mazungumzo.
Rejelea=RejeaNiko hapa na naweza kusimama na wewe kokote hivi umepitia nilichokiandika au unaandika andika, rejelea nini nimekieleza kuusu umuhimu wa group za WhatsApp au hauna uwezo wa kuchambua logic ukaelewa nahisi ujawai kufika chuo kwasababu ungefika ungejua WhatsApp ni nini watu wanakosa Quiz kisa ajapata taarifa, mwanafunzi anakosa taarifa muulize mwanachuo unayeishi naye akwambie WhatsApp ni kitu gani kama ataongea upuuzi na yeye ata kuwa mpuuzi tu
Usomi ni nini wewe usiniambie kuhusu usomi mie unazungumzia usomi kwa maisha ya sasahiviRejelea=Rejea
Kuusu=Kuhusu
Ujawai=Hujawahi
Ajapata=Hajapata
Ata=Hata.
Kwanza nakubali unaweza kusimama popote na mimi na ukanishinda kwa kila kitu yaani inshort wewe kwangu nakuchukulia unajua kila kitu kuhusu technology&information BIG UP SANA BOSS.
By the way mimi hata chuo sikufika mkuu wangu so naomba uendelee kunipa ma "QUIZ" ya huko chuoni kwenu nijue ni kitu gani hicho unaongelea mkuu.
Lkn wewe Msomi wa "CHUO na ma QUIZ" unawaangusha sana wasomi wenzio.
Sisi huku wa mtaani/tusiowasomi tunashangaa unaandika nini mkuu.
Huko kwenye mitandao mnafundishwa kuandika kiswahili cha aina hii?
Kumbe nabishana na baraza la kiswahili tanzania sikujuaRejelea=Rejea
Kuusu=Kuhusu
Ujawai=Hujawahi
Ajapata=Hajapata
Ata=Hata.
Kwanza nakubali unaweza kusimama popote na mimi na ukanishinda kwa kila kitu yaani inshort wewe kwangu nakuchukulia unajua kila kitu kuhusu technology&information BIG UP SANA BOSS.
By the way mimi hata chuo sikufika mkuu wangu so naomba uendelee kunipa ma "QUIZ" ya huko chuoni kwenu nijue ni kitu gani hicho unaongelea mkuu.
Lkn wewe Msomi wa "CHUO na ma QUIZ" unawaangusha sana wasomi wenzio.
Sisi huku wa mtaani/tusiowasomi tunashangaa unaandika nini mkuu.
Huko kwenye mitandao mnafundishwa kuandika kiswahili cha aina hii?
Bwana mdogo wengine wameanza kutumia simu humu enzi za Java OS,Symbian OS wewe umeanza kujifunza kutumia simu enzi hizi za android,lkn bado unajiona mjanjaaaKwa kujiunga kwako jf eshima tosha kwamba unajua kutumia mtandao kwa matumizi yenye faida ila ulichokiandika hapa sijaona umuhimu wa wewe kuwa ata humu jf itakuwa unafuatia udaku tu
Eshima=HeshimaKwa kujiunga kwako jf eshima tosha kwamba unajua kutumia mtandao kwa matumizi yenye faida ila ulichokiandika hapa sijaona umuhimu wa wewe kuwa ata humu jf itakuwa unafuatia udaku tu
Arafu=HalafuNimejaribu kuku pinia baadhi tu ya group zangu zenye uwezo wa kukaa kwenye screenshot moja sasa wewe ambaye unashinda kwenye magrupu ya udaku na umbea arafu ni matatizo yako arafu unakuja kuisema WhatsApp uwo ni uboya
Nina mkubali sana ONTARIO kuna usemi wake anasema information na network ni kila kitu kama ujasiriamali ili uweze utimize Marengo yako sasa nashangaa mtu unajiita great thinker unaandika ujinga apa kama unaamini katika taarifa na network unawezaje ku undermine power ya WhatsApp, jamiiforums,Google
NB: you have long way to go nakwambia ukiwa umeniuzi apa ungekuwa karibu yangu ningekukata kibao
View attachment 712486
Hahah unakana usomi wako na hizo sijui mnaita 'QUIZ",hahahUsomi ni nini wewe usiniambie kuhusu usomi mie unazungumzia usomi kwa maisha ya sasahivi