Faida na hasara kwenye makundi ya WhatsApp

Faida na hasara kwenye makundi ya WhatsApp

Bwana mdogo wengine wameanza kutumia simu humu enzi za Java OS,Symbian OS wewe umeanza kujifunza kutumia simu enzi hizi za android,lkn bado unajiona mjanjaaa

Enzi hiyo watu wako bize na Yahoo,Hi 5,The Grid,Peperonite,Ze utamu etc nadhani wewe bado wazazi wako walikua wanakulipia school fees ya primary standard 3 labda au ulisoma zile shule za ada bure?

Take a Chill Pill,still an underdog...
Tupa iyo simu yako bora uwe na batani tu atakama ulianza kutumia tokea duniani imeumbwa
 
Arafu=Halafu
Uwo=Huo
Apa=Hapa
Marengo=Malengo

We chalii utakuja kukata makofi baba zako huku kwenye mitandao,hebu subiri QUIZ na LOAN BOARD ikuweke hela ukanunue bando ucheki hayo ma group yako.
Hata kama mzee nakukata makofi tu haiwezekani uwe na smartphone usijue matumizi yake nakukata mpaka akiri ikukae sawa
 
Kumbe nabishana na baraza la kiswahili tanzania sikujua
Ndio boss,sasa tatizo mbona haufahamu Kiswahili wala Kiingereza?

Kwenye ma group huko mna chat kwa kutumia KINDENGEREKO nini?
 
Hapo sawa mkuu bado ugeni upo kiasi,kuna wengine walianza miaka ya nyuma kidogo kabla hata ya whatsaap kwa hio mitandao ilishawachosha.

Na wala si intend to offence you but maana yangu ni kwamba baada ya muda flani utaichoka hio mitandao na hayo ma group yatakufa "natural death" mkuu.
flani=Fulani
,kuna= , kuna
Whatsaap=WhatsApp
 
[emoji276] [emoji276] wazee wanashida
Sana,QUIZ ulipata ngapi nikutumie hela ya bando ukacheki msg zako kwenye lile group lako la UMOJA WA VIKUNDI VYA WAKINAMA WAPAMBANAJI.

Maana nimeliona kwenye Screenshot uliyoiweka pale juu.
 
Sana,QUIZ ulipata ngapi nikutumie hela ya bando ukacheki msg zako kwenye lile group lako la UMOJA WA VIKUNDI VYA WAKINAMA WAPAMBANAJI.

Maana nimeliona kwenye Screenshot uliyoiweka pale juu.
Duu bishi
 
Back
Top Bottom