October man
JF-Expert Member
- Nov 23, 2017
- 3,632
- 5,023
Inategemea group ganiMi hata siyafagilii sana
Inategemea group ganiMi hata siyafagilii sana
Kipindi flan nilikua na magroup kama ugomv yani nilikua addicted had sio vizuri,lakini kadri siku zinavyozidi kwenda ndo nazidi kuyachukiaInategemea group gani
Kweli kabisa telegram imekuja kuondoa ukiritimba wa wasap, na kero zakeSisi wa Telegram atuna mishida ya kijinga ya namna hiyo
Kuna magroup mengine hata ukute text 500 lazma upitie zote la sivyo outMimi nina magroup jamani. Na nikiona group inaniboa natoka wala sijali. Yapo ya siasa ya marafiki wa mjini ya events ya shule chuo vikundi. Tafrani. Napenda kusoma kwahiyo wala siboeki hata nikute message nyingi kiasi gani
Una group wap wwSimu yangu mwenyewe, bando nanunua mwenyewe halafu niwe mtumwa. Sina group hata moja kwa sasa. Zamani nilikuwepo nilikuwa sichangii hoja zaidi ya kusoma tu.
Nimeulizia una group wap tofaut na wasapNaomba unionyeshe group nililopo na Screenshoot weka hapa.
Nimeulizia una group wap tofaut na wasap
Hayakuwa ya msingi ayo magrupu yako kwasababu mimi nina magrupu muhimu na maisha yanguKipindi flan nilikua na magroup kama ugomv yani nilikua addicted had sio vizuri,lakini kadri siku zinavyozidi kwenda ndo nazidi kuyachukia
Mmmh mi kwa kweli hapanaHayakuwa ya msingi ayo magrupu yako kwasababu mimi nina magrupu muhimu na maisha yangu
_ujasiriamali
_uwekezaji
_usomaji vitabu
_ufugaji
_job
_magrupu ya chuo nk
Bado nanahitaji magroup mwengine kama ya kilimo na technology sasa MTU unaposema magroup ayana umuhimu nakuona wewe sawa sawa na asiyrjua umihimu wa technology na information
Kweli kabisa, kama huna group unajifunza nn mtandaoni sasa? Zaidi ya kuuza sura tuHayakuwa ya msingi ayo magrupu yako kwasababu mimi nina magrupu muhimu na maisha yangu
_ujasiriamali
_uwekezaji
_usomaji vitabu
_ufugaji
_job
_magrupu ya chuo nk
Bado nanahitaji magroup mwengine kama ya kilimo na technology sasa MTU unaposema magroup ayana umuhimu nakuona wewe sawa sawa na asiyrjua umihimu wa technology na information
Katika app na mtandao bora kabisa uliowai kutengeneza ni WhatsApp kwa sababu inakupa mahitaji yako kwa taasusi husika iliyopo inauwa mpaka nguvu ya email sasaivi na kinachoipa nguvu zaidi WhatsApp ni feature yake ya group.Kweli kabisa, kama huna group unajifunza nn mtandaoni sasa? Zaidi ya kuuza sura tu
Ni kweli lakini nahisi hujawahi kutumia telegram ndo mana umeipa sifa wasap, magroup ni MUHIMU sana tena sana.... Lakini kwa ubora wa app karibu telegram uinjoy maishaKatika app na mtandao bora kabisa uliowai kutengeneza ni WhatsApp kwa sababu inakupa mahitaji yako kwa taasusi husika iliyopo inauwa mpaka nguvu ya email sasaivi na kinachoipa nguvu zaidi WhatsApp ni feature yake ya group.
Kingine niseme akuna mtu aliyekuwa na umuhimu na WhatsApp kama mwanafunzi wa chuo nikiona leo hii mwanachuo anaongea matapishi kuusu WhatsApp naona ajaelimika ata kidogo kwasabu WhatsApp inauwezo wa kuku update na taarifa kwa hara na muda mchache
sijanunua CM kwa ajili ya ma ,group,nina matumizi nayo mengi tuInamaana hauna ata kitu cha kujifunza duniani IT,ufugaji,upishi,kilimo,marafiki,schoolmate, nk tupa iyo simu
Umeanzia kutimia Whatsaap lini/Mwaka gani?Huu uzi unaonyesha wazi kuwa watu hawajui umuhimu wa teknolojia na taarifa wanaidhihaki nguvu ya group za WhatsApp nawakati mimi nina group la WhatsApp sasaivi linaelekea kumiliki kampuni zake kadhaa inabidi mujifunze matumizi sahihi ya internet na information