Faida 23 za bangi ambazo labda haujajua

Faida 23 za bangi ambazo labda haujajua

[emoji124][emoji124][emoji124]
Mchomvu anatumia bangi?
Screenshot_20200803-160948.jpg


Sent from my SM-G928F using JamiiForums mobile app
 
Sasa hiyo bangi inatumikaje ili iweze kuleta manufaa kiafya? Ni kwa kuvuta au kula kama mboga??
 
Hapa Teteme wavuta bangi wote niwachafu wezi, wanapiga roba za mbao ni hatari tupu that's way ndo tunaamua kutovuta bangi ili kujikeep safe.
Haya ni maoni yako tu na ninayaheshimu, lakini kiuhalisia huwezi kuvuta bange maisha yakakushinda ni lazima utakuwa risk taker otherwise uwe na tatizo jingine la kiafya.

Una ajira yako au sehemu ya kukuingizia kipato, una familia yako, una uwezo wa kuipata bila tatizo huko kukabana utakufanyia wapi au utakuwa mchafu muda gani?
 
Bange haiwezi kutengeneza mteja hata siku moja, bange inaweza kukusababishia uende Mirembe kirahisi.

Kama bangi huleta ukichaa America, Canada, Amsterdam wasingeruhusu wanachi wao watumie
Tatizo ni kutumia kwa kiasi na kujua kutumia kwa wakati gani hapo ndio wengi hawajui hence huchangia kuleta matatizo mengine.
 
Kuna mtu anavuta kuongea alone ndo zake..amepata na halucination..mh sijui
Huyo ana depression na hiyo itampelekea ajikute Mirembe.

Bange ukiivuta sana unaizoea na ina replacements kibao za muda kabla hujaipata tena hivyo si rahisi kukuathiri kiasi cha kuongea mwenyewe.

Jambo baya kabisa ambalo Bange inaweza kukufanya ni kusanuka miaka yako imeenda na huna ulilofanya la maana haki ya mama unawehuka au unakuwa jambazi.
 
Means unakua kichaa kwa matumizi ya bangi sio?
Hakika, matumizi ya muda mrefu ya Bange yanasababisha ukosefu wa usingizi na ukikosa usingizi huna pesa lazima upate depression.

Jambo jingine ni pale unapoikosa kwa muda mrefu inatia hasira za hovyo hovyo na endapo hutopata replacement ya kuondoa alosto kwa muda mfupi basi itasababisha mengine. (Si lazima uwe ukichaa)
 
Back
Top Bottom