Dejane
JF-Expert Member
- Jan 1, 2014
- 51,112
- 72,577
Kuvuta,kujifukiza au kupika kama mboga majani yake au kusaga mbegu zake na kuunga kwenye chai
Unaipika kama mchicha
Mbegu zake jaman isijekuwa sumu
Kuvuta,kujifukiza au kupika kama mboga majani yake au kusaga mbegu zake na kuunga kwenye chai
We humuoni akivuta akiingia pindi anakua mbiiiishiiWewe Adam wewe bangeee sana wewe
Lazma tutambue kuna baadhi ya watu wanatumia bangi inawapeleka viba kama kufanya matendo ya kiovu bila aibu.bila Shaka hapo ndo wanafanya bangi isiruhusiwe
inaliwaje tofauti na kuvuta? Na nini tofauti kati ya anaevuta na anaekula?wewe unakula au unavuta?mie kete moja baada ya kazi niko shwali kabisa.Kitu kingine bange hunifanya kuchelewa kufika kileleni wife huwaga anajua.
Bangi inaoneonekana kilevi cha hovyo. Kutokana na asilimia kubwa ya wavutaji hapa Tz kuwa , mateja
Nakubali na ninaushahidi tena kwenye familia yetu kaka Yangu utotoni alikua na tatizo la sikio kutoa usaha kwa ushahidi wa mama alitumia bangi akaisaga na kumwekea mpaka Leo cjackia akilalamilka cikioSiku moja mwanangu alikua analia huku anashika sikio kumbe ilikua linauma na kutoa usaa hikamkamlia bange mpaka leo sijaona akiumwa.
Hata ww mtoto wa kike unavuta bangi??Kwangu ni tofauti. Usingizi kibao nikijiendekeza naweza lala siku nzima
Hlf nikiwa mbali na home siikumbuki kabisa..maisha yanakuwa kawaida tu.
Amini hilo yaani tafuta mbegu za bangi zisage then zitumie kama majani ya chaiUnaipika kama mchicha
Mbegu zake jaman isijekuwa sumu
Dawa haichagui jinsiaHata ww mtoto wa kike unavuta bangi??
Bangi inayotuliza maumivu ni hii hii ninayoijua mie au ni aina ya dawa iliyochanganywa na bangi?
Uko sahihi mkuuCORRECTION: BANGI HAINA UTEJA NA MVUTA BANGI HAWEZI KUWA TEJA. MATOKEO YA UNGA NDO UTEJA
Almost 5 yrs now, ila haijawahi niponyesha maumivu
Alafu anatoka mpuuzi mmoja ananiambia eti niache kuvuta.
Siwezi sahau uji wa bangiNa sio lazima uivute, unaweza hata kuiweka kwenye vitu kama keki na ukapata manufaa, huwa nashangaa sana watu ambao hawatumii bangi wanavyojiona wamepatia maisha kumbe wanapitwa na mambo mazuri yenye faida nyingi.
Ilikufanyia nn mkuu?Siwezi sahau uji wa bangi
Kuna raha hazielezek had ufanyeIlikufanyia nn mkuu?
Kwahyo unatushauri tuitumie kwa wingi?Kuna raha hazielezek had ufanye
Hao wengine waangalie tu hawajui hata maana ya uteja wanachojua kuropokaTeja sio mvuta bangi, ni mtumiaji wa Cocaine na Heroin. Ukienda mikoa kama Arusha Meru na Mara ambao ndio vinara kwa matumizi huwezi kukuta mateja mitaani kama Walioko Dar (Big Bon Kariakoo, Manzese na Manyanya)
Tumia kwa nafas yako sio kwa wingiKwahyo unatushauri tuitumie kwa wingi?
Kama bangi huleta ukichaa America, Canada, Amsterdam wasingeruhusu wanachi wao watumie
Tatizo ni kutumia kwa kiasi na kujua kutumia kwa wakati gani hapo ndio wengi hawajui hence huchangia kuleta matatizo mengine.