Fahamu umuhimu wa kuhonga katika mahusiano ya mapenzi

Haha tena ile ya kuhongwa bila kuomba ndo huaga tamu,yan mi najionaga likichwa limekua kuubwa kama boga la kiangazi
Na nikiona hizo nkonkooo ulizovaa kwenye avatar hahahhaha

Mwendo wake sasa balaaaa
 
Hili somo lako la kuhonga, haujalisasambua likasasambuka vizuri. Katika maelezo yako ya msingi, umeegemea upande mmoja tu wa shilingi.
Ina maana sasa wa kuhonga pale ni mwanamume tu na wa kuhongwa ni mwanamke tu!
Kama hiyo umeiweka kama 'conclusion' yako, basi tuichambue hiyohiyo hongo ya upande huo mmoja yaani toka kwa 'me' kwenda kwa 'ke'.
Hongo ikipokelewa nijuavyo mimi, huwa ni ishara za kukubaliwa ombi la mwanamme amtakaye kimapenzi mwanamke.
Halafu hongo zuri ni lile la kutakiwa na mwanamke na si kujikadiria mwenyewe.
Kmf:
Mwanamke: 'Wee baba, nimekwambia mimi ninamchumba wangu na sikuhitaji na sikupendi' 'lakini hausikii unazidi tu kunifuatafuata'!
Mwanaume:
'kama nimekosa nitajitoza faini'.
Mwanamke: 'sitaki'.
Mwanaume: 'Nisaidieee'
Mwanamke: Utajitoza faini gani?'
Mwanaume: 'Tatoa laki'
Mwanamke: 'Laki kitugani hela ya nyanya hiyo, hata saluni haitoshi?'
Mwanaume: 'unataka sh ngapi?'
Mwanamke: 'milion'.
Mwanaume: 'milion sina, tatoa laki2'
Mwanamke: 'Laki2 sitaki'.
Mwanaume: 'Laki3 basi'.
Mwanamke: 'Laki3 kampe mamako mzazi'.
Mwanaume: 'Nisaidieeee!'
Mwanamke: Huku akiwa kamkazia macho jamaa, 'Nikusaidie nini?'
Mwanaume: 'Laki5 tatoa'
Mwanamke: 'Kwani umetoa hizo laki5 nikakataa?'
Mwanaume:_'kama unadhania mimi muongo, ingiza mkono mfukoni mwangu uchukue'
Teh teh teh.
Tayari hapo mtu kaenda na maji. Punda afe mzigo ufike.
Faida ya hongo ya kinyanyasaji, inamhamasisha mwanaume 'akazie' na afanye mapenzi kwa kujituma, maana akifanya mchezo, hela yake imekwenda bure.
Alione penzi lina thamani halisi ya pesa.
Pia inamsaidia mwanamke kupima 'geji' ya penzi lililopo kifuani pa mwanaume.
Penzi la mnada ni tamu kuliko penzi la burebure ama penzi la gharama ndogo.
 
3. HONGO INALETA NYEGE
Yaaani hata kama huna mpango ila papuchi ikiona pesa au kijizawadi inaanza kulowa ....... walaaaah hiyo siku utapewa uno la hatari, style zote mtoto yumo hii siku hata ukiamua kumkunja kunja kumbinua binua mtoto anakunjika hayo mahaba sasa !!!!Tena vizur mtu akiwa anaangilia ulichompa inazidi kumnyegesha utashangaa mnaweza gongana siku nzima na papuchi bado inataka.......
Hongo na iheshimiwe na watu wote maana inafanya penzi liwe jipyaaaaaa ,poleni saana mijanaume(mijitu) mibahili isiyojua kutoa (kumtreat/spoil)mdada mnakosa mengi aiseee.
hii kweli kabisa binti finnest...

ndio maana ukirusha ka buk teni bila hata kuombwa unaambiwa asante mingi na unaambiwa umemisiwa....na hapo game mnapeana tu kwa raha sana yani mwanamke anakupa kwa moyo mmoja...angalizo honga kulingana na uwezo wako ewe kidume mwenzangu
 
Back
Top Bottom