Ben Zen Tarot
JF-Expert Member
- Dec 13, 2014
- 3,907
- 6,700
1) Ukikaaa kwa dakika 15 bila kutikisika lazima ulale..
2) Mara nyingi mtu anapolia hukumbuka matukio ya nyuma ndio yanamuongezea kilio.
3) Kwa sekunde 3 baada ya kuamka kutoka usingizini binadamu huwa hakumbuki jambo lolote.
4) Watu wenye aibu ndio watu wenye akili zaidi na waaminifu.
5)Binadamu anapokuwa na huzuni huamini kuwa watu wote wengine wanafuraha.
6) Penda kusimama mbele ya kioo na kujihamasisha, kujihimiza, kujiencourage mwenyewe maana huifanya akili yako kuwa imara zaidi.
7) Binadamu anaweza kufa kwa sababu ya uoga....Kwasababu unapooga mwili hutoa kiasi kikubwa cha adrenaline ambacho Inaweza kuwa sumu