Mauza uza vile vi mbwa vya Ulaya vinalelewa Kama watu Kwa hiyo havi bweki ila vina lia kama Watu.Mbona mbwa wa ulaya hawabweki??
Snoop Doggy Dogg....... Whats my name?
Lodi dodi
Tha Shiznit
Gz up hoes down
Anavuta bange 24/7 mchawi gani atamtumia?
Hata jichawi anamuogopa
Ni kweli kabisa,nimeshudia hayoHiyo haina ubishi kwanza anabweka sanaa na mwisho analiaaa ujue nje huko hakupo salama kuna wachawi
Yale yaleeee, wabongo hawawezi kueleza kitu mpaka ajihusishe na black Americans. Yaani nyie watu mngejuwa jinsi mnavyo dharauliwa na hawa watu, basi tu.
Aiseee....!Mtoa post sio mshana Jr lakini. Huyu atakuwa mwanafunzi wake...!!!
Hii hata mimi mama alinifunza hivyo, na zaid akasem pia kama nyumban, au jiran kuna mgonjwa na mmbwa akalia kwa mlio huo basi tambua mgonjwa atafariki tu.....alielezea zaidi kuwa huo ni UCHURO.mbwaa anao uwezo wa kuona msiba katika mtaa usika ndan ya week mbili hadi mwezi mbele kwa kutoa mlio huu kwa mda wa dk kadhaa mlio huo ni huu hapa jaribu kukamata melod nadhan unaujua kishavufanye utafit uuuuuuuuuuooowh uuuuuuuuooooouuuuhw uuuuuuuuuuhw nilijchunguza hii tokea nikiwa mdogo nomethibitisha ni kweli bibi yangu ndio alirnieleza hii kitu nikaifanyia tafit
Hata mmbwa wa ulaya wanabweka pindi waonapo mchawi, na vinavyofanana au jamii hyo hubweka.Mbona mbwa wa ulaya hawabweki??
Nilimpa nyama na maziwa.Ulimpa zawadi gani huyo paka?
Jamani si utani tu!!! Mbona hapa bongo watu wanaudharau liana sana tu.Hata usiende mbali humu JFYale yaleeee, wabongo hawawezi kueleza kitu mpaka ajihusishe na black Americans. Yaani nyie watu mngejuwa jinsi mnavyo dharauliwa na hawa watu, basi tu.
ChihuahuaHata mmbwa wa ulaya wanabweka pindi waonapo mchawi, na vinavyofanana au jamii hyo hubweka.
Sisi tuna Mexican dog(ingaw co ulaya lkn ni nnje ya bara letu) "gule gummbwa gudogogudogo gweupe" na huwa anabweka pindi aonapo hao majamaa ya ucku.
Wanabweka kizungu wewe full shibe.Mbona mbwa wa ulaya hawabweki??