jebs2002
JF-Expert Member
- Sep 3, 2008
- 11,442
- 11,413
Muda si mrefu tutapeleka wabongo mwezini! Au kuvumbuwa tatizo la umaskini wetu!Hii taaluma naona inazidi kukua wataalamu wa jadi wanaongezeka kila siku
Muda si mrefu tutapeleka wabongo mwezini! Au kuvumbuwa tatizo la umaskini wetu!Hii taaluma naona inazidi kukua wataalamu wa jadi wanaongezeka kila siku
Uchawi upo,ulikuwepo,upo na utakuwepo,kutokuamin kwako hakuwez kubadili ukwel wa mambo,kumin kwetu siyo wote tunashiriki uchw huoAngalia vile Watanzania tuko nyuma. Kuamini uchawi wakati kuna science. Bado tumelala tunangoja NGUVU za wachawi mwaka 2017. Eh MUNGU tuhurumie na tuelimishe. Upuuzi mtupu. Completely rubbish with no scientific evidence.
Mkuu mngewachunguza vizuri waliowapa hii teknolojia huenda wakawa walikuwa wahusika wa michezo yote na hivyo walikuwa wanawaandaa kisaikolojia.
NB..msini 'quote' vibaya.
Mtoa post kuna ujumbe kauficha ktk uwasilshaji wake anakusudia kuzigusa imani za baadhi ya waumini wa dini fulani kwa kuwatumu kuwa wana majini na wachawi ndio maana hawarubusu ugugaji wa mbwa isipokua kwa mashalti magumuMbwa ni mwana haramu.
Kumbuka Mbwa ni najisi.
Itakuwa anakuonaga..Mbwa ni mwana haramu.
Kumbuka Mbwa ni najisi.
Kwani we umeudhika?Mtoa mada aliekufundisha kuhusu najisi ya mbwa hajakumalizia, haishii kuwa najisi tu neno likaishia hapo tu. Neno linasema mmbwa ni najisi na kila kitu chake, ipokuwa mmbwa aliefundishwa kuwinda. Umeona kumbe waislam hawajakatazwa kumtumia umbwa, bali amewekewa mipaka, na hii mipaka haijaishia kwa mbwa tu, nitoe mfano wa kitu kinachotumiwa ni dini zote na kimewekewa mipaka. Kufanya mapenzi (tendo la ndoa) kufanya mapenzi nje ya ndoa haramu ila mkioana ni halali kufanya tendo hilo. Nilirudi kwako mtoa mada tafadhari leta mada unazozifahamu vizuri, na zenye kujenga kuliko za kuudhi wengine.