mizarb
JF-Expert Member
- Feb 15, 2013
- 1,402
- 1,290
Mkuu mngewachunguza vizuri waliowapa hii teknolojia huenda wakawa walikuwa wahusika wa michezo yote na hivyo walikuwa wanawaandaa kisaikolojia.Hii hata mimi mama alinifunza hivyo, na zaid akasem pia kama nyumban, au jiran kuna mgonjwa na mmbwa akalia kwa mlio huo basi tambua mgonjwa atafariki tu.....alielezea zaidi kuwa huo ni UCHURO.
Na nimeshuhudia hili kwa vifo vya ndugu zang weng, maan tunafuga mmbwa.
NB..msini 'quote' vibaya.
mbwaa anao uwezo wa kuona msiba katika mtaa usika ndan ya week mbili hadi mwezi mbele kwa kutoa mlio huu kwa mda wa dk kadhaa mlio huo ni huu hapa jaribu kukamata melod nadhan unaujua kishavufanye utafit uuuuuuuuuuooowh uuuuuuuuooooouuuuhw uuuuuuuuuuhw nilijchunguza hii tokea nikiwa mdogo nomethibitisha ni kweli bibi yangu ndio alirnieleza hii kitu nikaifanyia tafit