china waliimalizajeKwa sasa Los Angeles kwa kila watu watano wanaopimwa mmoja ana Corona, (mchezo wa kujaza maji ndoo iliyotoboka)
China juzi tu wamerudisha lockdown kali, nani kasema wamemaliza, ona video hiyoHebu tuelekeze
china waliimalizaje
Kwa hio kilichotusaidia bongo ni usafi?ambao hayo mataifa yameshindwa?China juzi tu wamerudisha lockdown kali, nani kasema wamemaliza, ona video hiyo
Hapana, kilichotusaidia bongo ni kuiacha miili yetu itengeneze kinga ya asili yenyewe , unapovaa mask na kukaa ndani lockdown unauzuia mwili wako kupata nafasi ya kuambukizwa na kutengeneza kinga. Una lingine ungependa kuuliza?Kwa hio kilichotusaidia bongo ni usafi?ambao hayo mataifa yameshindwa?
Laki hii sio fact ni mawazo yako tu, unless uthibitishe kwamba watanzania tuna kinga.Hapana, kilichotusaidia bongo ni kuiacha miili yetu itengeneze kinga ya asili yenyewe , unapovaa mask na kukaa ndani lockdown unauzuia mwili wako kupata nafasi ya kuambukizwa na kutengeneza kinga. Una lingine ungependa kuuliza?
Kipi sio fact, kwamba mwili wa binadamu huwa hautengenezi kinga baada ya kukutana na kirusi na kupambana nacho? Au kwamba Watz tuna kinga?Laki hii sio fact ni mawazo yako tu, unless uthibitishe kwamba watanzania tuna kinga.
Laki hii sio fact ni mawazo yako tu, unless uthibitishe kwamba watanzania tuna kinga.