Fahamu kwa undani nadharia ya ‘Lockdown YOYO effect’ , mchezo wa kujaza maji ndoo ilitoboka

Kwa hio kilichotusaidia bongo ni usafi?ambao hayo mataifa yameshindwa?
Hapana, kilichotusaidia bongo ni kuiacha miili yetu itengeneze kinga ya asili yenyewe , unapovaa mask na kukaa ndani lockdown unauzuia mwili wako kupata nafasi ya kuambukizwa na kutengeneza kinga. Una lingine ungependa kuuliza?
 
Laki hii sio fact ni mawazo yako tu, unless uthibitishe kwamba watanzania tuna kinga.
 
Laki hii sio fact ni mawazo yako tu, unless uthibitishe kwamba watanzania tuna kinga.
Kipi sio fact, kwamba mwili wa binadamu huwa hautengenezi kinga baada ya kukutana na kirusi na kupambana nacho? Au kwamba Watz tuna kinga?
 
Laki hii sio fact ni mawazo yako tu, unless uthibitishe kwamba watanzania tuna kinga.
4F3FB6FD-9DF7-4A93-8447-4E0DF37D05A6.jpeg
 
India wanafikiria kurudi tena kwenye Lockdown baada ya wao kuwa ndio kitovu cha Corona duniani kwa sasa
 
376AB6B9-9E44-4EFD-97CB-7D666B108782.jpeg

Wanaanza tena kuondoa lockdown , Yoyo effect , 😂😂😂, hakyanani walahi, mijaa mibishi hii, kila siku tunaimba kwamba lockdown sio solution, hapa wakiease hizi lockdown, basi wiki 2 baadae wanarudi tena lockdown, hii mijimaa sijui ni mitaahira!

Pumzika kwa amani JPM
 
Uingereza wanaendelea na zoezi lao la kuruhsu watu wachache wachache waliopata chanjo kukutana hadi watu 8, hivi hii Corona ipo kweli, mbona karikakoo ni mwaka wa pili huu kuna nyomi kila siku na hamna chochote?
 
13 Reactions
Reply
Back
Top Bottom