Fahamu kwa undani nadharia ya ‘Lockdown YOYO effect’ , mchezo wa kujaza maji ndoo ilitoboka

FRANCIS DA DON

JF-Expert Member
Sep 4, 2013
23,388
2,000
Majimbo mengi Marekani yameanza kurudi tena kwenye lockdown, Florida wamegoma kurudi kwenye lockdown
AD4EC4D7-5817-4A11-A3A8-BDBA615900E2.jpeg
375197C1-BA4E-43A8-8842-27AD328B9384.jpeg

A368BA13-3A6B-48DC-B561-2EBE15A5D8E8.jpeg
 
Mafiningo

JF-Expert Member
Sep 5, 2016
3,062
2,000
Takribani nchi zote za Ulaya zimeweka Lockdown yenye masharti kadhaa, baadhi zimekuwa na masharti mengi na zingine zimeyapunguza. Masharti haya huwekwa kulingana na idadi ya maambukizi inayoripotiwa kila siku.
Hizi nchi zilizoendelea zinaaamini katika kuwa logical kuliko kubahatisha. Idadi ya wagonjwa wa corona na idadi ya vifo kutokana na corona inapoongezeka mahospitalini
inaleta ugumu sana kwa upande wa maamuzi ya kisiasa.
Lockdown ni matokeo ya ushauri wa kitabibu.
Siku za weekend hasa jumapili watu wa hizi nchi hupumzika majumbani mwao, ndizo siku zenye kuripotiwa viwango vya chini sana vya maambukizi ya corona, hii ndiyo sababu huchagiza viongozi wa kisiasa kuamini katika lockdown.

Mojawapo ya sababu ya corona kuwa imara ulaya ni hali ya hewa inayosaidia kirusi hiki kustawi.
 
Tz mbongo

JF-Expert Member
Mar 12, 2015
8,154
2,000
Hizi hoja za sijui hali ya hewa ya baridi huko kwa wenzetu huwa bado hazijaeleweka vizuri maana hata huku mwanzoni tulikuwa tunasema ikifika kipindi cha baridi hali itakuwa mbaya ila hicho kipindi kikapita hali iko vilevile.
 
FRANCIS DA DON

JF-Expert Member
Sep 4, 2013
23,388
2,000
Takribani nchi zote za Ulaya zimeweka Lockdown yenye masharti kadhaa, baadhi zimekuwa na masharti mengi na zingine zimeyapunguza. Masharti haya huwekwa kulingana na idadi ya maambukizi inayoripotiwa kila siku.
Hizi nchi zilizoendelea zinaaamini katika kuwa logical kuliko kubahatisha. Idadi ya wagonjwa wa corona na idadi ya vifo kutokana na corona inapoongezeka mahospitalini
inaleta ugumu sana kwa upande wa maamuzi ya kisiasa.
Lockdown ni matokeo ya ushauri wa kitabibu.
Siku za weekend hasa jumapili watu wa hizi nchi hupumzika majumbani mwao, ndizo siku zenye kuripotiwa viwango vya chini sana vya maambukizi ya corona, hii ndiyo sababu huchagiza viongozi wa kisiasa kuamini katika lockdown.

Mojawapo ya sababu ya corona kuwa imara ulaya ni hali ya hewa inayosaidia kirusi hiki kustawi.
Sawa, hakuna aliyebisha, ila vipi kuhusu uselessness ya lockdown badala kuchukua measures za hygiene na social distancing, considering hiyo yoyo effect niliyoiweka dhahiri? Ni either uweke lockdown hadi number ifike 0 (impossible) au usiweke kabisa. Halafu pia, mbona njombe na mafinga kwenye hali ya hewa ya baridi hatuoni tofauti?
 
Mafiningo

JF-Expert Member
Sep 5, 2016
3,062
2,000
Sawa, hakuna aliyebisha, ila vipi kuhusu uselessness ya lockdown badala kuchukua measures za hygiene na social distancing, considering hiyo yoyo effect niliyoiweka dhahiri? Ni either uweke lockdown hadi number ifike 0 (impossible) au usiweke kabisa. Halafu pia, mbona njombe na mafinga kwenye hali ya hewa ya baridi hatuoni tofauti?
Hygienical measures kama kuvaa barakoa na social distancing zinasisitizwa sana na zinafuatwa.

Lockdown inaonekana ni logical kwasababu imeprove kupunguza idadi ya maambukizi chini ya nusu ya siku ambazo hazina lockdown.

Yoyo unayoitaja, chukua mfano wale jamaa walivyofanikiwa kuitokomeza malaria.
 
FRANCIS DA DON

JF-Expert Member
Sep 4, 2013
23,388
2,000
Hygienical measures kama kuvaa barakoa na social distancing zinasisitizwa sana na zinafuatwa.

Lockdown inaonekana ni logical kwasababu imeprove kupunguza idadi ya maambukizi chini ya nusu ya siku ambazo hazina lockdown.

Yoyo unayoitaja, chukua mfano wale jamaa walivyofanikiwa kuitokomeza malaria.
Hiyo kupunguza maambukizi chini ya nusu kwa siku ambazo wanaweka lockdown tofauti na siku ambazo hawaweki ni nonsensical kwa sababu mwisho madhara yake ya uchumi ni makubwa sana kiasi hufikia kipindi inakuwa haivumiliki tena na lockdown inalazimika kuondolewa ili kunusuru uchumi, sasa niambie, ipi mantiki ya kuweka lockdown wakati una wagonjwa 100, halafu unakuja kuondoa lockdown wakati unawagonjwa laki moja, 100k, ipi mantiki hapo kama sio uwendawazimu? Leo hii marekani wanagombanana na Rais wao asaini muswada wa kugawa dollar 600 au 2,000 kwa kila mtu kama njianya kuounguza makali ya maisha, sasa unazalisha tatizo kubwa la kiuchumi wakati lile la awali bado lipo na limeongezeka, mtu mwenye akili timamu anawezaje kushindwa kung’amua hili? Nashindwa kuelewa kabisa.

pia, malaria ilitokomezwa kwa lockdown au kwa pesticides? Soma hapa upate zaidi
 
FRANCIS DA DON

JF-Expert Member
Sep 4, 2013
23,388
2,000
C8CEFAB8-0E9D-49A4-95F3-4AC22F593067.jpeg

Kirusi cha Corona chabadilika muundo wake, muundo wake wa sasa una uwezo wa kusambaa kwa kasi zaidi
 
FRANCIS DA DON

JF-Expert Member
Sep 4, 2013
23,388
2,000
Baada ya kirusi cha Corona kubadilika na kuwa hatari ZaidiX UK yatangaza hatua kali zaidi za lockdown 😂😂 (Mchezo wa kujaza maji ndoo iliyotoboka)

9DA561F0-4956-4881-8351-30583BF223FF.jpeg
 
FRANCIS DA DON

JF-Expert Member
Sep 4, 2013
23,388
2,000
Kwa sasa Los Angeles kwa kila watu watano wanaopimwa mmoja ana Corona, (mchezo wa kujaza maji ndoo iliyotoboka)
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom