Masiya
JF-Expert Member
- Apr 2, 2012
- 7,578
- 7,281
Nimesha elezea sababu kuu ya kuweka lockdown whether partial or total ni kupata reproductive number chini ya moja na sio kuwa na zero incidence. Na hicho ndio ulicho andika hapo juu. Ahsante.Nani kabisha kwamba kuna elements nyingi za lockdown hatujazitumia? Somo hoja iliyo kwenye uzi kabla ya kucomment. Tunasema kwamba Lockdown (au total lockdown kama unavyopenda) ina maana kama tu itawekwa hadi kufikia 0 patients(which is practically impossible), hayo mengine hakuna aliyebisha?