binti mapozi
Senior Member
- Mar 3, 2020
- 128
- 111
Mmmhh!Acha upopoma, wakati huku kwetu watoto wa wanaoshinda kanisani ndo wanabebwa kichawi KIRAHISI sana!!!
Kizibo
Sent using Jamii Forums mobile app
Mmmhh!Acha upopoma, wakati huku kwetu watoto wa wanaoshinda kanisani ndo wanabebwa kichawi KIRAHISI sana!!!
Kizibo
Duuh poleMuachieni mganga hilo dude la sivyo mtatumia pesa na msipate kitu, Mama angu alipofariki 2008 ndugu zangu walitumia pesa nyingi kwenye ujinga kama huohuo bila mafanikio
Sent using Jamii Forums mobile app
Hebu tuombe radhi mapropesa wa nchi hiyo.Hiyo nchi ina watu wa ajabu sana.
Huenda mkuu, yaani miaka nenda rudi akili za watu hazibadliki pamoja na watu kwenda shule hadi wanaitwa mapropesa lkn ni misukule tu.
Yesu huyuhuyu aliyeshindwa kujilinda yy mwenyewe had watu wakamkamata na kumpigilia misumar msalabani,au unamzungumzia Yesu gan?
Sent using Jamii Forums mobile app
Siwezi kuuomba radhi msukule hata kama ni propesa. 😀Hebu tuombe radhi mapropesa wa nchi hiyo.
Mtu aliyekufa na ikapita siku moja na nusu mkawa mnafanya mazishi na damu ikaendelea kutoka puani inamaanisha Nini?Mkuu huna ulijualo juu ya misukule,acha kuleta habari za kuokoteleza. Na kuwadanganya watu
Huwa iko hivi mtu baada ya kuuawa kishirikina kwa lengo la kuchukuliwa msukule huwa haendi kuzikwa kinacho zikwa huwa ni kitu eidha ya weza kuwa mbwa ,paka,punda nk, kwa watu wenye uwezo wa kuona huwa wanona live ,hata mnapo muaga marehemu huwa si yeye ni Jitu/ kitu tofauti,yeye huwa yupo sehemu kafichwa na hawezi kuongea na huwa anaona pilika zote zinavyofanyika na wakati mwingine huwaita ndugu zake lakini hawamsikii
Huwa kuna mwiko mmoja tu ambao ndugu wa marehemu kama wanahisi ndugu yao kachukuliwa kishirikina wakiufuata wachawi hushindwa kumchukua,nacho ni kutokulia,kwani katika ulimwengu wa kichawi unapomlilia mtu alochukuliwa kichawi husemekana kuwa mnashangilia na mnabariki tukio hili,so wewe mkuu unapotuambia habari za bakas huu ni uongo kabisa,I have experience with this mambos
Na kuna namna ambayo marehemu kiini macho hupakwa mafuta na huyo humfanya mtu alichukuliwa kichawi adhihilike ,maana wanachokuwa wameweka mbele pale huwa ni kiini macho tu,unaona ni binadamu kumbe ni kitu furani,ukimpaka hayo mafuta huyo mtu alichukuliwa kichawi hudhihilika live na kuonekana nini walichokuwa wameweka ,i
Sent using Jamii Forums mobile app
Mtu aliyekufa na ikapita siku moja na nusu mkawa mnafanya mazishi na damu ikaendelea kutoka puani inamaanisha Nini?
Inamaana kachukuliwa msukule au
Sent using Jamii Forums mobile app
Du noma sana aisee . Inamana mtu akifa damu inatakiwa isitoke puani yani igande baada ya muda gani.? Mana Kuna maneno nayasikia hapa
Sent using Jamii Forums mobile app
Shusha nondo mzee yani Kuna msiba ulionihusu miaka ya nyuma wa mtu wa karibu. Sasa miaka imepita sasa less than four years Kuna maneno yameanza kusikika hapa. Na wanasema kipindi damu zilikuwa zinatoka puani. Na wanasema yupo. Sijaelewa hapa nahisi tukizungukwa fake death.
Sent using Jamii Forums mobile app
Japo sina elimu kubwa juu ya hili swala lakini nikitulia nitashea machache niyajuayo. Pole sana kwa msiba japo ni muda sasa.
Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu ipo tofauti kubwa ya wazi kati ya ufufuo huu fake na wa Bwana Yesu.Katika ufufuo huu anaouigiza Shetani,unarudia jumba bovu la zamani.Katika ufufuo wa Bwana Yesu,unavikwa mwili mpya ambao haufi,Kama haya mambo ni ya kweli basi maisha ya mwanadamu ni fumbo kubwa sana hasa katika nyanja ya kuishi, kufa na (ufufuo)
Sent using Jamii Forums mobile app
Kwa mantiki hiyo inaonesha kwamba pia Shetani naye ana uwezo kiasi fulaniMkuu ipo tofauti kubwa ya wazi kati ya ufufuo huu fake na wa Bwana Yesu.Katika ufufuo huu anaouigiza Shetani,unarudia jumba bovu la zamani.Katika ufufuo wa Bwana Yesu,unavikwa mwili mpya ambao haufi,
hau-ugui,hauna damu na nyama,hausikii njaa,hauna limitations za mwili wa damu na nyama kwa maana ya kwamba unaweza kwa mfano kupita ukutani,hausikii kiu wala usingizi,una possibilities of time travel nk.nk.
Tofauti nyingine ambayo ndiyo kubwa zaidi ni kwamba nia ya ufufuo huu fake ni kumtumikia mchawi,wakati ufufuo wa Bwana Yesu nia yake ni kuurithi ufalme wa mbinguni au kupata hukumu ya milele katika jehanam ya moto.Ana heri yeye atakayefufuliwa katika ufufuo wa kwanza na kumlaki Bwana Yesu mawinguni na hatimaye kuurithi ufalme wa mbinguni.
Mshana Jr.na Bubuji mtakuwa upande gani?
Mwisho naomba niwaulize akina Mshana Jr.na Bubuji.Najua kwamba baada ya kutaabishwa sana na mchawi,hatimaye msukule anakufa.Sasa baada ya kufa,nini kinatokea kwa mwili wake?Roho najua inamrudia Mungu.
Baelezee baba yesu mzungu hana mpango kabisa! kwanza hawatakaa wamuone akirudi mawinguni! kuokoka bila Elimu ni dhambi kubwa sana, wanakariri ya wachungaji vichaa! wanao ongea na mungu wanaomjua wao tu!,Acha upopoma, wakati huku kwetu watoto wa wanaoshinda kanisani ndo wanabebwa kichawi KIRAHISI sana!!!
Kizibo
Ni kweli Shetani ana nguvu kiasi fulani,ila nguvu zake zinaishia mwilini tu,hana uwezo, wala mamlaka ya kuua roho.Halafu msukule anamtumikia mchawi,kazi ya jini ni kufanikisha tu matakwa ya mchawi kwa ujira.Kwa mantiki hiyo inaonesha kwamba pia Shetani naye ana uwezo kiasi fulani
'je kuchukua roho ya mwanadamu na kuivika mwili ili kumtumikia ni kwa hisani/uweza wa nani??
'je anayoyafanya mtu(msukule) chini ya mamlaka/utumikizi wa shetani, atakayekuja kuhukumiwa na M.Mungu ni nani?
Sent using Jamii Forums mobile app