Fahamu kuhusu msukule

Fahamu kuhusu msukule

Kuna maza angu mdogo alichukuliwa msukule.. kuna mtaalamu alifanikiwa kumrescue ila kumfanyia reverse transcription to condition yake ya awali na kumuachia uraiani ndo imekuwa mziki mwaka wa pili unakatika sasa

JE KUNA WATAALAMU WANAOWEZA KUREVERSE ENGINEER PROCESS NZIMA NA KUMCONVERT HUYO MTU KATIKA HALI YAKE YA KAWAIDA NA SOUL YAKE???

Sent using Jamii Forums mobile app
Unataka kusema alikufa kuzikwa kisha akarejeshwa??

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hajarudi home mkuu... inasemekana mtaalamu alimtoa yuko nae kuna ndugu walikuwa wanaenda kumuona ila process ya kumalizia conversion ndyo imekuwa mziki, hata sijafuatilia tena waliishia wapi maana ni bado hawakuweza kumrudisha uraiani ila walishaweza kumkomboa alikofichwa
Mkuu mnaweza mkawa mnaishi na jitu ambalo hata siyo huyo ndugu yenu munayemdhania kwa kawaida shetani hawezi kumtoa shetani mwenzie

Sent using Jamii Forums mobile app

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Yah ndugu walishasoma mchezo kuna wichdoctor aliweza kuratibu akaenda kumuiba alikowekwa , yupo nae kwake akiendelea kupata matibabu ili aweze kuzinduliwa , ila process inaonrkana kama inazidi kuwa nzito zaidi i awezekana walifanya mambo walishafanya damage kubwa kwa host...
Unataka kusema alikufa kuzikwa kisha akarejeshwa??

Sent using Jamii Forums mobile app

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Acha upumbavu wewe, Mungu hunena wazi kuwa "yeye pekee ndiye mwenye mamlaka ya kutoa Watu roho wala si Mwanadamu.

Mathayo 10:28. "28 Msiwaogope wauuao mwili, wasiweze kuiua na roho; afadhali mwogopeni yule awezaye kuangamiza mwili na roho pia katika jehanum."

Sent using Jamii Forums mobile app
Ww Ni mpumbavu namba 1.

Mchawi Ni Mungu?? Mbona anaua? Au na huyo Mungu Ni mchawi anashurikiana na hao wanaowatoa watu misukule?

Kizibo
 
Watu wanachangia riwaya kama vile kweli! Kwa ufaham wenye matege unaweza kukuta anayejifanya kuroga, anayehis kurogwa, wote wanafanya na kuamini visivyowezekana
 
Acha upopoma, wakati huku kwetu watoto wa wanaoshinda kanisani ndo wanabebwa kichawi KIRAHISI sana!!!

Kizibo
Wanashinda kanisani kama ulivyosema lkn huenda wakawa hawana Yesu ndani yao.
Usisahau watumishi fake wa Mungu ni wengi sana.

Waombe au kuombewa kwa IMANI na KWA KUMAANISHA. Kuomba kwa mazoea hakuwezi kumzuia shetani na majeshi yake kukudhuru.
 
Sasa tupe Mbinu ya kuiona misukule tu

Sent using Jamii Forums mobile app
Kuna dawa ukipaka unamuona ,

Mimi nilibahatika kumuona msukule , huyu alikuwa anaonekana na kila mtu baada ya baba yake kukosea masharti

Alikuwa amekufa kama miaka 5, kumbe alichukuliwa msukule , alipopatikana eti serikali kwakuwa haiamin uchawi wakampeleka milembe

Baada ya muda Ikabid wamruhusu arud na mzee wake Makete

Siku moja naelekea mafinga nikapanda gari ,huyo had siti ya mwisho kuna nafas watu wanaikimbia ,yupo baba na mwanae(misukule) mm sijui , japo taarifa nilikuwa nazo kuhusu kupatikana kwa msukule kwa mzee baba kukosea masharti.

Nimekuja kujua nimekaa na msukule baada ya minong'ono ya abiria ndan ya gari kuoneshana .
 
Kuna maza angu mdogo alichukuliwa msukule.. kuna mtaalamu alifanikiwa kumrescue ila kumfanyia reverse transcription to condition yake ya awali na kumuachia uraiani ndo imekuwa mziki mwaka wa pili unakatika sasa

JE KUNA WATAALAMU WANAOWEZA KUREVERSE ENGINEER PROCESS NZIMA NA KUMCONVERT HUYO MTU KATIKA HALI YAKE YA KAWAIDA NA SOUL YAKE???

Sent using Jamii Forums mobile app
Anaongea au walishamkata ulimi?
 
Haya mambo yapo kuna watu niliwahi kuwaona ambao tayari wanasemekana wamekufa nimewaona Kwa macho yangu mawili wala sijahadithiwa lakin mpaka Leo nimekaa kimya natamani kupata ujuzi wa kutatua hili tatizo kwani sehemu nilipowaona mwenye nyumban anatajirika kila kukicha

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mkuu huna ulijualo juu ya misukule,acha kuleta habari za kuokoteleza. Na kuwadanganya watu

Huwa iko hivi mtu baada ya kuuawa kishirikina kwa lengo la kuchukuliwa msukule huwa haendi kuzikwa kinacho zikwa huwa ni kitu eidha ya weza kuwa mbwa ,paka,punda nk, kwa watu wenye uwezo wa kuona huwa wanona live ,hata mnapo muaga marehemu huwa si yeye ni Jitu/ kitu tofauti,yeye huwa yupo sehemu kafichwa na hawezi kuongea na huwa anaona pilika zote zinavyofanyika na wakati mwingine huwaita ndugu zake lakini hawamsikii

Huwa kuna mwiko mmoja tu ambao ndugu wa marehemu kama wanahisi ndugu yao kachukuliwa kishirikina wakiufuata wachawi hushindwa kumchukua,nacho ni kutokulia,kwani katika ulimwengu wa kichawi unapomlilia mtu alochukuliwa kichawi husemekana kuwa mnashangilia na mnabariki tukio hili,so wewe mkuu unapotuambia habari za bakas huu ni uongo kabisa,I have experience with this mambos

Na kuna namna ambayo marehemu kiini macho hupakwa mafuta na huyo humfanya mtu alichukuliwa kichawi adhihilike ,maana wanachokuwa wameweka mbele pale huwa ni kiini macho tu,unaona ni binadamu kumbe ni kitu furani,ukimpaka hayo mafuta huyo mtu alichukuliwa kichawi hudhihilika live na kuonekana nini walichokuwa wameweka ,i

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mkuu ina weze kana upo sahihi kwenye maelezo yako kwa kiwango flan,lakin hapo kwa jini anae itwa bakas juu ya kutumika kwenye kitendo hiki ni sawa maana nakumbuka marehem sheikh Yahya husein aliwai kumzu ngumzia kazi zake kipind kile anafanya nyota zenu pale channel ten "

Mkuu kumbe unaleta habar za sheikh yahya Mimi naongelea uzoefu
Mkuu ina weze kana upo sahihi kwenye maelezo yako kwa kiwango flan,lakin hapo kwa jini anae itwa bakas juu ya kutumika kwenye kitendo hiki ni sawa maana nakumbuka marehem sheikh Yahya husein aliwai kumzu ngumzia kazi zake kipind kile anafanya nyota zenu pale channel ten "

Sent using Jamii Forums mobile app

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kinachonishangaza ni kwamba uchawi hauna faida yoyote kwa taifa.

Natamani tungeutumia uchawi hata kuishusha dollar ya marekani. Yani iwe 1Tsh = 3000 USD

#Bagwell
 
Back
Top Bottom