Mkuu huna ulijualo juu ya misukule,acha kuleta habari za kuokoteleza. Na kuwadanganya watu
Huwa iko hivi mtu baada ya kuuawa kishirikina kwa lengo la kuchukuliwa msukule huwa haendi kuzikwa kinacho zikwa huwa ni kitu eidha ya weza kuwa mbwa ,paka,punda nk, kwa watu wenye uwezo wa kuona huwa wanona live ,hata mnapo muaga marehemu huwa si yeye ni Jitu/ kitu tofauti,yeye huwa yupo sehemu kafichwa na hawezi kuongea na huwa anaona pilika zote zinavyofanyika na wakati mwingine huwaita ndugu zake lakini hawamsikii
Huwa kuna mwiko mmoja tu ambao ndugu wa marehemu kama wanahisi ndugu yao kachukuliwa kishirikina wakiufuata wachawi hushindwa kumchukua,nacho ni kutokulia,kwani katika ulimwengu wa kichawi unapomlilia mtu alochukuliwa kichawi husemekana kuwa mnashangilia na mnabariki tukio hili,so wewe mkuu unapotuambia habari za bakas huu ni uongo kabisa,I have experience with this mambos
Na kuna namna ambayo marehemu kiini macho hupakwa mafuta na huyo humfanya mtu alichukuliwa kichawi adhihilike ,maana wanachokuwa wameweka mbele pale huwa ni kiini macho tu,unaona ni binadamu kumbe ni kitu furani,ukimpaka hayo mafuta huyo mtu alichukuliwa kichawi hudhihilika live na kuonekana nini walichokuwa wameweka ,i
Sent using
Jamii Forums mobile app