Extra miles
JF-Expert Member
- Apr 18, 2018
- 3,331
- 4,365
Sawa mkuu, nimekupataUamuzi unategemea na Malengo ya Hiyo Kampuni Mpya na Shughuli zinazaofanywa na hiyo kampuni ya Zamani.Kwa Tanzania hatuna mfumo wa LLP.Ulijadiliwa ila haukufikia Muafaka.Ili kukupa ushauri mzuri ningependa kufahamu zaidi kuhusu malengo ya kampuni ya sasa na Malengo ya kampuni Mpya.