Alikuwa yatima sawa lakini tayari alikuwa ni over 18, mtu aliyezaa naye ni someone's husband.. Sio mchumba nimefafanua hilo
Nani alisema miaka 18 ni Umri wa Mtu Mzima..!?
Kiasi kwamba mkaupa thamani ya binadamu kuweza kujiamulia alionalo sahihi, kwa kuwa Eti keshakomaa.!?
Nionavyo ni Umri wa kibinadamu Unaotumika kuhukumia watu wao, na ni dhana ya kimagharibi Tu.
Nyinyi kama Ma GT sioni sababu ya kutumia kama Fimbo ya hukumu, kwa kuwa ni kipimo Dhaifu cha Kuhukumia Mtu.
Binadamu hata awe na Mvi mpaka kusikojulikana.Kama hajaumbika Upya ndani Yake na kuruhusu ile Nguvu ya ndani kutenda Kazi ni sawa na Bure.
Alilofanya siwezi Kuribariki wala Kulitolea hukumu.Ni kama Tu wafanyavyo na wengine ila kwa Mitindo tofauti.
Ila kosa nijualo Ambalo wengi wetu hulitenda, ni kupokea Utamaduni wa ulimwengu wenye ulaghai Bila Tashwishi na Baadae ukishakutafuna na kukumaliza ladha na kukutema kama Big G, wale imara huyumba na wengi Kupotea kabisa.
Na Hii tabia ya kudandia Gari hujui linapotoka na wala linakoelekea na wala Hujiulizi na wala kuuliza, ni kwanini iwe hivi na wala isiwe Vile.!? Kweli haijawahi acha watu salama.