Fahamu kisa cha huyu binti kujinyonga

Fahamu kisa cha huyu binti kujinyonga

Hakuna kitu kama hicho. Bwana harusi na bibi harusi wao wana kosa gani?? Huyu kajinyonga kwa upumbavu wake mwenyewe, na kama kosa ni kuachwa na huyo bwana wake, na yeye angeendelea kusoma, kisha atafute wa kumuoa na kuanza maisha yake upya, na siyo kujinyonga na kuacha laana za kipumbavu kwa watu waliochagua kuishi.

Hata siku moja laana ya mpumbavu haimpati mtu.
Kulikuwa na sababu ya kuandika maneno makali juu ya hili
Hakuna anayesema alilolifanya lina baraka au ilikuwa sahihi
Hatuwezi kujua ni magumu mangapi alikuwa nayo
Uchungu wa mwana aujuaye mzazi . Kufiwa sikia kwa jirani lisikufike.
Maamuzi yake hayakuwa sahihi
 
Sisemi vibaya ila huyo mwanaume Mungu yupo atamuhukumia uyo dada i can imagine the pain she went through all this time hadi akaona solution ni kufa tu ! Wadada wenzangu usibebe mimba et atakupenda au atakuoa au kisa ni mume wa mtu anakupenda no way kabsa! Maumivu utakayoptia utayajua ww na baadae anaenda oa mwanamke mwngne ww unaachwa solemba sasa ya nn kuvumilia jitu ambalo hujalizaaa!
 
sometimes sie wanaume tnajitaftiaga gundu kwe maisha sie wenyewe tuu
 
Ujasiri wa kujinyonga ukanda huu ni wa kurithi au?,mana haya matukio kwa % kubwa sana yanatokea mkoa huu
 
Nadhani mnakumbuka kisa cha huyu binti ambaye kwa sasa ni marehemu RIP aliyejinyonga akiwa chuoni Iringa?
Huyu binti ni mmojawapo wa wahanga wa mimba za bahati mbaya? Mimba kabla ya ndoa... Lakini aliweza kuhimili kwa kupitia magumu yote mpaka kujifungua na hatimaye baada ya muda kuweza kuendelea na masomo yake ngazi ya chuo...
Kwa jinsi inavyosemwa mahusiano yaliyozaa mimba na hatimaye mtoto hayakuwa endelevu... Lakini binti akawa ana faraja kwa kuwa na mtoto mzuri wa kiume asiye na tatizo lolote....
Matendo ya Mungu si ya mwanadamu.... Mtoto yule mzuri akatwaliwa na Bwana mwezi March mwaka huu akiwa na miaka 3... Jiweke kwenye nafasi ya huyu binti... Uyaone maumivu yake... Lakini mbaya zaidi, baba mtoto kwa sababu zisizojulikana hakufika msibani wala hakuhudhuria mazishi ya mwanae... Ikawa ni maumivu juu ya maumivu kwa mama wa mtoto.... Ila akafarijiwa na kufarijika kuwa hili nalo litapita!

Ikiwa ni chini ya siku 40 tangu msiba... Likatokea lingine kubwa zaidi na lililomuongezea maumivu mama mtoto marehemu..... Mzazi mwenzie yule aliyeshindwa hata kufika kaburini kwa mwanae akaoa / akafunga ndoa na mwanamke mwingine tena kwa sherehe!
Kumbuka mtoto alifariki March kwahiyo kwa vyovyote baba alioa mwezi April..... Compressed inner pains were too heavy to bear.... Mama mtoto marehemu akaamua kuchukua uamuzi aliochukua
Wote hawa sasa ni marehemu.... My apology kama picha zinakwaza ama kwa namna yoyote zitaleta maumivu kwa wengine View attachment 772106View attachment 772117
Mkuu tukio limetokea Iringa au Arusha
Pia hizi ishu za kujinyonga/kujiua ziko kwa wingi sana Tz sema ndo Afrika hakuna anaejali
 
Nimeandika nmefuta nimeandika nimefuta, nimekosa hata la kusema, mapenzi mapenzi basi tu,yanaweza kukuharibia mambo mengi sana usipokuwa makini, inanikumbusha mm nliachana na mzaz mwenzang, mwezi huo huo akaoa,inauma mnooo sipati picha alivyoumia,lkn amechukua maamuzi ya haraka jamani angevumilia tu huku akijua kuwa Mungu ndo mfariji wake R.I. P dada mzuri
 
Nakumbuka Nililetaga Uzi wa Kutamani Kujiua Humu, Wapo Walionikebehi, Ila Kuna Waliosaidia Mno, Watu Wanahisi Hivi Vitu ni Kama Filamu, Ila Ni Halisi, Yanatokea, "MUNGU AWABARIKI All GREAT THINKERS'
Kama jambo halijakutokea ni vigumu kujua maumivu yake... Anayekebehi hayajawahi kumkuta
 
Nakumbuka Nililetaga Uzi wa Kutamani Kujiua Humu, Wapo Walionikebehi, Ila Kuna Waliosaidia Mno, Watu Wanahisi Hivi Vitu ni Kama Filamu, Ila Ni Halisi, Yanatokea, "MUNGU AWABARIKI All GREAT THINKERS'
So sad
Nini kilisababisha kifo cha mtoto?
Bwana harusi na Bibi harusi mpya yanayokuja mbele yao ni magumu
Roho ya mtu hunena kama ulimi unenavyo
We are all part n parcel of great thinking.... In this case great thinkers.... Penye kasoro lazima parekebishwe huku msingi wa kasoro ukibaki vile vile ile kuweza kuleta uhalisia na ulinganifu wa masahihisho husika....

Mlengwa katika mada hii alikuwa ni mwanachuo Arusha... Sio Iringa na alikuwa yatima... Background yake ya kuwa yatima sio muhimu sana hapa
Tangu baada ya kifo cha mwanae alishafanya majaribio mawili ya kujiua akiwa nyumbani Moro... Yote mawili yalifeli ama kwa kuokolewa ama vinginevyo... Jaribio la tatu lililofanikiwa ni hili la kujinyonga chuoni
Mimba iliyozaa mtoto aliyekuja kufariki ilikuwa ya mume wa mtu ambaye hata hivyo aliikana na hata mazishi hakuhudhuria... Walikuwa wanaishi mtaa mmoja.... Na hili la baba mtoto allilifanya siri mpaka mtoto alipofariki....
Nimeona ni vema kuweka ufafanuzi huu kwa nia njema na kutenda haki
Pakawa angalia hiyo update
 
Katika haya maswala nishashindwa kujiua kabisa navyoogopa kifo hapana hata nibaki duniani peke yangu au mi na G tu kamwe sijiui

Ningekuwa huyo dada ningeendelea na maisha yangu tu na huwezi jua angekuja kupata bonge la bwana tatizo ni kumpenda sana huyo mwanaume na kuhisi hakuna kama yeye wakati si ukweli huwezi jua Alipangiwa nini kujiua ni kujikatisha maisha tu
 
Katika haya maswala nishashindwa kujiua kabisa navyoogopa kifo hapana hata nibaki duniani peke yangu au mi na G tu kamwe sijiui

Ningekuwa huyo dada ningeendelea na maisha yangu tu na huwezi jua angekuja kupata bonge la bwana tatizo ni kumpenda sana huyo mwanaume na kuhisi hakuna kama yeye wakati si ukweli huwezi jua Alipangiwa nini kujiua ni kujikatisha maisha tu

Lakini tukiwa wakweli katika makuzi ni nani ambaye hajawahi kufikiria kujiua? Wengine kwa kudra tu walibatilisha uamuzi dakika za mwisho kabisa na leo hii wakikumbuka wanaweza wakawa wanajutia mno kitendo hicho... Wengine waliokolewa wakikaribia kukata roho.
 
Aisee binti yangu ata azalishwe kila mwaka nitaendelea kumpenda tu na kulea wajukuu asije kupata stress kama izi maana inawezekana pia wazazi wa uyo binti walichangia kumuongezea mawazo
Inasemekana huyu binti ni yatima,so inawezekana ugumu wa maisha na jamii inayomzunguka,vilevile kitendo cha mwanaume aliezaa nae kususia msiba wa mwanae na baada ya mwezi jamaa akaoa unahitaji roho ya paka kuvumilia hayo maumivu,alikosa faraja kwakweli solutions akaona ni awafuate wapendwa wake waliomtangulia
 
Inasemekana huyu binti ni yatima,so inawezekana ugumu wa maisha na jamii inayomzunguka,vilevile kitendo cha mwanaume aliezaa nae kususia msiba wa mwanae na baada ya mwezi jamaa akaoa unahitaji roho ya paka kuvumilia hayo maumivu,alikosa faraja kwakweli solutions akaona ni awafuate wapendwa wake waliomtangulia
Alikuwa yatima sawa lakini tayari alikuwa ni over 18, mtu aliyezaa naye ni someone's husband.. Sio mchumba nimefafanua hilo
 
mpaka sasa sijaona sababu iliyomfanya binti ajinyonge
 
Sipendi kabisa binadamua kujiua ila ukweli kuna wakati sisi wanaume tunaleta madhara sana kwa wanawake na hawa mabinti. Tujichunguze kabla ya kulaumu. Hata iweje inakuwa mtu unaacha msiba tena unajuhusu? Huyu mwanaume atakuwa na maisha mabaya sana sana.
 
Back
Top Bottom