Fahamu kisa cha huyu binti kujinyonga

Fahamu kisa cha huyu binti kujinyonga

Huyu binti inawezekana alikuwa na uwezo mdogo katika kuhimili mikikimikiki ya dunia, ni kweli wakati mwingine umri unaweza kuwa kigezo cha MTU kukabiliana na complex social/personal problems lakini pia kuna uwezo binafsi Personal maturity katika kupambana na matatizo mazito na mepesi. Kusema kwamba nilimpenda Sana mtoto wangu kunahitaji logical thinking, mzazi Kama mzazi hakuna asiyempenda mtoto wake awe na sura mbaya au nzuri, awe mgonjwa au mzima mzazi hatochoka kumpenda mtoto wake, vinginevyo kumpenda mtoto Kama ilikuwa ni replacement ya kuachwa au kukosa support toka kwa baba wa mtoto, yalikuwa ni mapenzi batiri kwa mtoto. Binti kujinyonga ni kosa la uhaini dhidi ya nafsi yake mbele ya wanadamu na mungu,
 
Inasemekana huyu binti ni yatima,so inawezekana ugumu wa maisha na jamii inayomzunguka,vilevile kitendo cha mwanaume aliezaa nae kususia msiba wa mwanae na baada ya mwezi jamaa akaoa unahitaji roho ya paka kuvumilia hayo maumivu,alikosa faraja kwakweli solutions akaona ni awafuate wapendwa wake waliomtangulia
Kwa uyatima wake alipaswa a- concentrate kwenye shule.

Uyatima hauhalalishi binti kupewa mimba.

Kwani yeye ndo alikuwa yatima wa kwanza duniani??

Anyway, liwe fundisho kwa mabinti wote
 
Mtu anamke then binti unaenda kuipeleka bila haya.

Huyo mke wake wa ndoa kama aligundua unadhani alikuwa akiomba nini kimpate huyo binti????

Mke /mme ya mtu ni zaidi ya sumu.

Huyo binti kavuna alichopanda

Kama huyo jamaa alimbaka hapo si sawa lakini kama alimpelekea akamvulia and then akaenjoy basi hayo ndo matokeo.

Nenda pale udsm uone vibinti vinavyokutolea macho ya kingono ngono utadhani havijui vilienda kufanya nini.

Mabinti someni kwanza, acheni NGONO.
 
Mi nashauri mtu ukitaka /kujiua nenda kwanza hospital katembelee na kuwaona wagonjwa wanavoteseka wengine hawana miguu /mikono lkn bado wanataka kuishi je ww uliyetimia viungo vyote.



Baada ya hapo carry on..
 
Mtu anamke then binti unaenda kuipeleka bila haya.

Huyo mke wake wa ndoa kama aligundua unadhani alikuwa akiomba nini kimpate huyo binti????

Mke /mme ya mtu ni zaidi ya sumu.

Huyo binti kavuna alichopanda

Kama huyo jamaa alimbaka hapo si sawa lakini kama alimpelekea akamvulia and then akaenjoy basi hayo ndo matokeo.

Nenda pale udsm uone vibinti vinavyokutolea macho ya kingono ngono utadhani havijui vilienda kufanya nini.

Mabinti someni kwanza, acheni NGONO.
Anayehitajika kwenda soma ni wewe kasome kwanza kisha urudi kusoma Mshana alichoandikaa.....
na uwe na ubinadamu ndani yako.
 
Anayehitajika kwenda soma ni wewe kasome kwanza kisha urudi kusoma Mshana alichoandikaa.....
na uwe na ubinadamu ndani yako.
Kajinyonge ndo utajua ubinadamu.

Maisha matamu hivi unaenda kujinyonga????

For what?????
 
Kujinyonga iwe ni kwa sababu yeyote ile ni ujinga na upumbavu wa kupitiliza. Kila Mwanadamu anapaswa kutambua kuwa hakujileta hapa duniani kwa hiari yake mwenyewe na hivyo pia hawezi kujiondoa hapa duniani kwa hiari yake mwenyewe.

Hata kama mambo ni magumu kiasi gani, unakomaa nayo hivyo hivyo na siku ya kuondoka ikifika, basi unaondoka, lakini siyo kwa kujiua.

Tunaambiwa Mkwawa, shujaa wetu alijinyonga.
Hilo unaliongeleaje??
Uondo wa Ngoma ingia ucheze.
Jambo usilolijua ni kama usiku wa kiza
Ukisikia umezoea vya kujinja ... Vya kunyonga huviwezi jua penye kunyonga pans zaidi ya ujasiri. Usichukulie poa
 
X

Mapenzi ni ugonjwa!
Masikini binti hakuwa na mshauri wa kimaisha.
Ila huyo bwana kajipalia makaa ya moto.
Karma itamuwinda.
Kwa kipi hasa? huyo jamaa alishajitoa mapema tu hakua na sababu b yeyote ya kumhusisha na chochote kajiua kwa zake sio aliempa mimba
 
Back
Top Bottom