Fahamu kisa cha huyu binti kujinyonga

Fahamu kisa cha huyu binti kujinyonga

Hakuna kitu kama hicho. Bwana harusi na bibi harusi wao wana kosa gani?? Huyu kajinyonga kwa upumbavu wake mwenyewe, na kama kosa ni kuachwa na huyo bwana wake, na yeye angeendelea kusoma, kisha atafute wa kumuoa na kuanza maisha yake upya, na siyo kujinyonga na kuacha laana za kipumbavu kwa watu waliochagua kuishi.

Hata siku moja laana ya mpumbavu haimpati mtu.
Huo mstari wa mwisho ni wachache sana watakaokubaliana nawe mkuu. Lakini ndio ukweli wenyewe.
 
Lucy kajinyonga mkuu?? Nimesoma nae tution alikuwa rafiki wa sister sana...
jamaa kamfanyia umafia sana....
 
Daa pole yake sana,yawezekana jamaa alikuwa hana uhakika kwamba mtoto ni wa kwake,love is blinds
 
Sometym tukikuta maiti imetelekezwa huwa tunasingizia watu wasiojulikana lakn wengine huwa wanauawa kwa hali kama hizi...umemzalisha mtoto wa watu na umeenda kuoa mwanamke mwingine that is stupidity!
 
Mapenzi ya ujanani hayana tafakuri ya matokeo na yajayo.... Na wengine hudanganywa ama kudanganyika... Dhana ya bahati mbaya ni matokeo ya kufanya kitu bila kupanga
Ujana maji ya moto.
 
hya mambo yasikie tu kama story kwa mwingine sio kwako,mwenyewe nilikuaga nasema anaye jiua mwenyewe au kuua mwi ngine sababu ya mapenzi ni ujinga.yalipo nikuta ndio nilijua uchungu wake!
 
Kwa ujumla ni upumbafu, sisi wazazi hatuwezi kukataa watoto ila hilo ni fundisho kwa wengine pamoja na mwisho wake kuwa mbaya.

Mm nilikutana na single mom mmoja yy alikutana na jamaa yake chuoni. Mapenzi yakawa moto moto. Baada ya kushika mimba jamaa aliikataa akadai aitoe na akampa hela ya kutolea mimba. Mwanamke akachukua kisha akaenda kununulia mahitaji mtoto. Mpaka amejifungua, na analea. Jamaa hajawahi kumuona wala kumsikia mtoto
 
Dah inasikitisha
Support system ya familia,ndugu jamaa na marafiki ni muhimu sanaa kwny maisha
Mapenzi mhh Mungu atusaidie
 
hya mambo yasikie tu kama story kwa mwingine sio kwako,mwenyewe nilikuaga nasema anaye jiua mwenyewe au kuua mwi ngine sababu ya mapenzi ni ujinga.yalipo nikuta ndio nilijua uchungu wake!



Pole mkuu. Ulitaka kujiua au kuua?
 
Jamani she was too cute yeye na mwanawe!

Daahh!wanaume wanaumiza jamanii
 
Saa nyingine wanawake huwa hawaeleweki,mimi nimekaa na msichana miaka miwili na mapenzi moto moto,tunapata mtoto,baadae anabadilika tabia na kuniambia eti nina kibamia!Inaweza kuwa ni kweli lakini ni kwa nini avumilie muda wote huo?Au huwa wanadhani ni mmea kwamba utakuwa siku moja na kulingana na uchi wao?
 
Back
Top Bottom