Fahamu kisa cha huyu binti kujinyonga

Fahamu kisa cha huyu binti kujinyonga

Yaani mtoto mzuri, na mama pia mzuri lohhh lkn shetani aliemvaa huyu binti hadi ajinyonge jamani uwiiiiii!
 
Hapa tuzungumzie mtu kuvua pichu kwa hiari yake halafu baadae kusema aasahhh bahati mbaya n.k mengine ni matokeo

Kila kitu uwa ni starehe na fraha ila kikija katika mwelekeo Asi ndo uwa tunaona ubaya wake na mwisho wake Ni kufanya maamuzi yasiyo sahihi!...Kujinyonga ni kukosa tu ushauri wa kiroho na kutuliza msongo wa mawazoooo!.Kuna Mdada mtaani kwangu kajinyonga wakati hana wiki katoka kulipiwa mahari ni huzuni mkubwaaa!!!!
 
Sure mzee, tuwapende sana watoto wetu wa kike mpk mwisho wa dunia, wanawake wanapitiaga magumu sana toka kwa baadhi ya sisi wanaume, naungana na ww mkuu, binti yangu sitaki apitie hizo stress kabisa
Aisee binti yangu ata azalishwe kila mwaka nitaendelea kumpenda tu na kulea wajukuu asije kupata stress kama izi maana inawezekana pia wazazi wa uyo binti walichangia kumuongezea mawazo

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mi naamini kitendo cha kujiua huwa ni kama kinatokea automaticaly baada ya mtu kushindwa kuhimili huku kikichangiwa na evil spirits pia
Kujinyonga iwe ni kwa sababu yeyote ile ni ujinga na upumbavu wa kupitiliza. Kila Mwanadamu anapaswa kutambua kuwa hakujileta hapa duniani kwa hiari yake mwenyewe na hivyo pia hawezi kujiondoa hapa duniani kwa hiari yake mwenyewe.

Hata kama mambo ni magumu kiasi gani, unakomaa nayo hivyo hivyo na siku ya kuondoka ikifika, basi unaondoka, lakini siyo kwa kujiua.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom