Fagio hili la Form Six wa miaka ya nyuma kwenda Elimu ya Juu

noel oga

JF-Expert Member
Oct 20, 2015
265
208
Ndugu zangu kwa hizi tetesi ninazozisikia ya kuwa div one na two form six wa mwaka huu ndio wataochaguliwa kwenda elimu juu.

Hivyo endapo jambo hili litafanyika basi form six wa miaka ya nyuma 2010-2013 waliopata div three ambao walikuw wakidahiliwa hawatapata nafasi ya kuchaguliw kwa kuwa kuna mfumo mpya.

Hebu wataalamu tujuzane kama hawa form six wa miaka ya nyuma kutokana na sababu mbalmbal hawakuomba vyuo na watahitaj kuomba mwaka huu.

Je hili fagio litawafagia? Ahsanteni
 
Mbona wahusika washakanusha hizo taarfa kwamba sio wao..ni watu tu wamejitungia..taarifa kama hizo mpaka ziandikwe kwnye website yao...nenda ata website ya bodi ya mikopo ukasome nao wameeleza..nao wamekanusha..tusipende kuchukua taarifa jf na kuiamin moja kwa moja..
 
Wewe Mwenyewe Umeshaita tetesi, Sasa itakaua na Maana Gani sisi kujadili tetesi (Unconfirmed News)??
Sisi hapa tuletee Uzi wa Facts ili tujadili na sio Rumours zisizo na Source of information.
 
Ahsante kwa kunielemisha
 
Wewe Mwenyewe Umeshaita tetesi, Sasa itakaua na Maana Gani sisi kujadili tetesi (Unconfirmed News)??
Sisi hapa tuletee Uzi wa Facts ili tujadili na sio Rumours zisizo na Source of information.
Sawa ndugu yangu nimeelewa
 
Mbona watu mnapenda kuzusha mambo hivyo au kisa nyie mmesha toboa
 
Mnajadili mambo ambayo hayapo...ikitokeo ivo vitivo vingi vya science na kozi zake, vitakufa wasikurupuke kwenye hili. Division three kwa advance amekaza pia sio kwamba hajui kituu
 
Huu ni uzushi tu. Lingekuwapo ungemsikia mama akilizunngumzia kama swala la kisera.
 
Ndugu zangu kwa hizi tetesi ninazozisikia ya kuwa div one na two form six wa mwaka huu ndio wataochaguliwa kwenda elimu juu.

Hivyo endapo jambo hili litafanyika basi form six wa miaka ya nyuma 2010-2013 waliopata div three ambao walikuw wakidahiliwa hawatapata nafasi ya kuchaguliw kwa kuwa kuna mfumo mpya.

Hebu wataalamu tujuzane kama hawa form six wa miaka ya nyuma kutokana na sababu mbalmbal hawakuomba vyuo na watahitaj kuomba mwaka huu.

Je hili fagio litawafagia? Ahsanteni
Sio tetesi za kweli,na kama ni kweli wangesema kwenye guidebook ya nacte,hivyo hayapo hayo unayoyasema.
 
Ndugu zangu kwa hizi tetesi ninazozisikia ya kuwa div one na two form six wa mwaka huu ndio wataochaguliwa kwenda elimu juu.

Hivyo endapo jambo hili litafanyika basi form six wa miaka ya nyuma 2010-2013 waliopata div three ambao walikuw wakidahiliwa hawatapata nafasi ya kuchaguliw kwa kuwa kuna mfumo mpya.

Hebu wataalamu tujuzane kama hawa form six wa miaka ya nyuma kutokana na sababu mbalmbal hawakuomba vyuo na watahitaj kuomba mwaka huu.

Je hili fagio litawafagia? Ahsanteni
We vipi bwana acha kuzingua na msiwatie presha watoto wa watu wenye nia ya kuingia vyuo vikuu waachieni TCU watafanya kazi yao sio kila siku tujadili hizo tetesi zenu
 
Back
Top Bottom