Mwenzetu
JF-Expert Member
- Dec 16, 2010
- 550
- 193
nimekaribia mwenzangu ila ctaki kuvimba kifua kama nimepigwa ngumi ya mgongo au kujifanya paka wa mpishi kujua kila msosi
HI
...................kukaribia tuu hakutoshi,uwe paka au umevimba kifua kwa sababu yoyote iwayo,...........sitosita kukujuza kuwa ukiona vyaelea ujue.....................,mgeni siku ya kumi...................,nikutakie siku njema na karibu tena jamvini......