wabungenjaa
JF-Expert Member
- Feb 21, 2014
- 1,782
- 337
Hizi ni ndoto za mchana
Toa hoja mkuu. Mtoa thread kajielezea vizuri kbsa kwa hoja na mifano kuntu.Uchumi wa Tz unaongoza kwa ukuaji Africa na ni wa kwanza kwa Africa Mashariki. Msijiweke mabanzi masikioni
Mkuu pangua hoja km mtoa thread alivyotoa km kweli upo kwenye wale 39% vipanga.useless
Mkuu hebu mpinge jamaa kwa hoja kuanzia point ya kwanza hadi ya mwisho ili tujue upo kwenye 61% au 39%Achana na huyo mpuuzi
hoja huwa inajibiwa kwa hoja siyo kutokwa mapovuThis is not academic analysis. It is full of guessing, bias and lack of evidence.
MKUU kuna kakitega UCHUMI kake kako Dar anaogopa watumishi wakiahamia Dodoma katakufa.kuhusu meli zimepungua nimojawapo wa WALE waliokua wanafaidika meli zikitoka bila kulipa kodi kabanwa analia.Watanyoooka tu walizoea kunyonga kuchinja hawaweziAya endelea kusubiri mkono wa fisi uanguke
Mkuu SONGOKA!!!wakati wananchi wakimshangilia Rais Magufuli kwa matamko yake yasiyoisha, wasomi wasiwasi umetujaa kwa sababu tunaona atafail vibaya ndani ya miaka mitano. Sababu ni zifuatazo
Hayo yoote ukiyajumlisha na kuangalia multiplier effect katika taifa hili na mwenendo wake ndani ya Miaka mitano, utakubaliana na mimi we are going to a hell of economic roller-coaster haijawahi tokea.
- Mapato ya nchi hayaongezeki kama alivyotegemea, ukizingatia kushuka kwa mapato ya bandari kwa hali ya juu kuwahi kutokea nchini, kupungua kwa mizigo, na kushuka kwa sekta ya Utalii ambayo ndo inaongoza kwa kuingiza fedha za kigeni (25%). Mpaka sasa sekta imeanguka kwa asilimia 5%
- Kuongezeka kwa matumizi yasiyokuwa ndani ya bajeti, (matumizi mkurupuko) kwa mfano kulazimisha serikali kuhamia Dodoma huku kukiwa hakuna hiyo bajeti. Rais kugawa fedha bila mpangilio wowote wala idhini ya bunge.
- Rais kutofuata mpango wa maendeleo wa miaka mitano uliowasilishwa na serikali yake bungeni. Wakati kilimo ikiwa bado ni sekta ya kipaumbele katika mpango huo, mpaka sasa hatujaona msisitizo wowote katika sekta husika ambayo ndo inaongoza kwa kuajiri nguvu kazi ya taifa , zaidi ya rais kusema wilaya itakayopatwa na njaa atamfukuza mkuu wa wilaya na mkurugenzi (hii inaongezaje tija ya kilimo kwa mkulima??)
- Rais kuingiza siasa katika shughuli muhimu za kitendaji, kwa mfano kuteua wakurugenzi wa wilaya na mikoa wasio weledi na makada wa ccm, wakati akitambua hawa ndo msingi wa usimamizi wa maendeleo na utaalamu katika maeneo yao, kwa
- Wahisani kujitoa katika mipango ya maendeleo, MCC ni mfano mzuri
- kufifia kwa demokrasia kwa wapinzani kuzuiliwa kufanya mikutano na shughuli za kisiasa. Ikumbukwe wapinzani wamekuwa whistle blower wazuri katika ufisadi na ubadhilifu huku skendo zote kubwa katika nchi hii kuwa ziliibuliwa na wapinzani. Kuwafunga midomo ni kuwapa mianya mafisadi kujenga syndicate mpya za kupiga pesa, lakini pia rais anayefanya kazi bila challenge huishia kujisahau na kuharibu
- Rais kuchukiwa na watumishi wa umma, ikumbukwe rais tangu aingie madarakani amekuwa akiwasema vibaya watumishi wa umma huku akiwashushia tuhuma collectively utafikiri wote ni mafisadi. Mpaka sasa preliminary observation inaonyesha rais magufuri ndo rais unpopular among public servants kuliko rais yoyote Tanzania
- Rais kukiri mbele ya wananchi kuwa angejua ugumu wa kazi hiyo asingegombea, hii inaonyesha hakujiandaa au ali underrate kiti hicho, hivyo mpaka sasa hajui namna ya kuji adjust
- washauli wa rais kugeuka washauliwa, hii utachanganua mwenyewe
- Mawaziri kuwa waoga kiasi cha kukurupuka katika kusapoti maamuzi na statement yoyote atakayosema bosi wao hata kama wanajua haifai kwa wakati husika
- Mwisho, Kutokuwa na sera ya kimataifa kama nchi,huku uhusiano wetu na nchi kubwa kiuchumi duniani ukianguka vibaya sana. hatujui mpaka sasa mlengo wetu kidiplomasia ni upi
wakati wananchi wakimshangilia Rais Magufuli kwa matamko yake yasiyoisha, wasomi wasiwasi umetujaa kwa sababu tunaona atafail vibaya ndani ya miaka mitano. Sababu ni zifuatazo

Kwani katika scenario 2 zifuatazo ipi ni nafuu:-MKUU kuna kakitega UCHUMI kake kako Dar anaogopa watumishi wakiahamia Dodoma katakufa.kuhusu meli zimepungua nimojawapo wa WALE waliokua wanafaidika meli zikitoka bila kulipa kodi kabanwa analia.Watanyoooka tu walizoea kunyonga kuchinja hawawezi
Ila kumbuka kunamsomi wa University of dar es salaam alipata hapo degree ya kwanza na ya pili ila hajui kuongea kingereza wakati masomo toka secondary school alkuwa aksoma kwa kingeleza. Je alifauluje? Na yeye yupo kati ya ao 61% au ni 39%.Utafiti umeonesha 61% ya wahitim vyuo vikuu ni ******, we ni msomi wa ile % 39 iliyobaki?
We ni nabii yupiwakati wananchi wakimshangilia Rais Magufuli kwa matamko yake yasiyoisha, wasomi wasiwasi umetujaa kwa sababu tunaona atafail vibaya ndani ya miaka mitano. Sababu ni zifuatazo