Kipenzi Changu
Platinum Member
- Aug 24, 2011
- 59,581
- 139,989
Mkuu usiingie mkenge, Tujadili sera za vyama hivi viwili...
Ni kweli mkuu wangu, ila kuna boya anaki-undermine chama chetu wananchi ilihali wewe mwenyewe umekiona kina msuli wa kushindana na Magamba na ukakishindanisha turudi kwenye hoja
CHADEMA sera yetu kuhusu Elimu Bora ilikuwa Elimu bure ukizingatia kuwa Elimu ni Haki ya kila mtu, wenzetu sera yao ya elimu ni kama inavyojionesha katika picha
View attachment 93703