ilboru1995
JF-Expert Member
- Oct 4, 2007
- 2,329
- 269
- Thread starter
- #101
Mkuu ZeMarcopolo, Kwanin CCM huwa mnakwepa kunadi sera zenu, Mipango Mkakati mliyonayo? Kwanini hamtakiwa kuwaeleza watanzania utekelezaji wa Ilani mmefikia % ngapi katika utekelezaji? Sera zenu zinasemaje kuhusu Rasilimali zetu, afya, Elimu nk?...Hiyo muulize aliyezitoa kwa sababu yeye ndio anajua mahesabu aliyopiga ya kufuta kodi na kuongeza matumizi. Huwezi kujua labda ameoteshwa muujiza wa kikombe kujaza pipa.