CCM Vs CHADEMA FACTS CHECK
[TABLE="class: MsoTableGrid"]
[TR]
[TD="width: 31, bgcolor: transparent"]SN
[/TD]
[TD="width: 150, bgcolor: transparent"]ITEM
[/TD]
[TD="width: 246, bgcolor: transparent"]CCM
[/TD]
[TD="width: 211, bgcolor: transparent"]CHADEMA
[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="width: 31, bgcolor: transparent"]1
[/TD]
[TD="width: 150, bgcolor: transparent"]Muungano
[/TD]
[TD="width: 246, bgcolor: transparent"]Serikali Mbili. So far kuna malalamiko mengi kwa pande zote mbili za Muungano
[/TD]
[TD="width: 211, bgcolor: transparent"]Serikali tatu. Itatoa uhuru zaidi kwa nchi ndani ya Muungano kujiamulia mambo yao wenyewe
[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="width: 31, bgcolor: transparent"]2
[/TD]
[TD="width: 150, bgcolor: transparent"]Mfumo wa Uendeshaji
[/TD]
[TD="width: 246, bgcolor: transparent"]Serikali kuu na Serikali za Mitaa.
Maamuzi mengi hufanywa Dar es salaam. Ucheleweshwaji wa Maamuzi ni mkubwa. fedha zinachelewa kuwafikia walengwa.
Ownership ni mdogo kwenye Rasilimali
[/TD]
[TD="width: 211, bgcolor: transparent"]Majimbo; Maamuzi kufanywa ktk level ya chini kabisa. Kutakuwa na udhibiti wa uhakika wa Rasilimali zetu
[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="width: 31, bgcolor: transparent"]3
[/TD]
[TD="width: 150, bgcolor: transparent"]Uwekezaji
[/TD]
[TD="width: 246, bgcolor: transparent"]Kuna vivutio vingi kwa wawekezaji.
Wawekezaji wana Holiday Tax Free.
Sera zinaruhusu wawekezaji kupata 99% zaidi ya serikali na wananchi
Usiri mkubwa kwenye Mikataba
Tanzania inapata chini ya 1.2% kwenye Dhahabu, Almasi, Tanzanite, Nickel, Uranium
[/TD]
[TD="width: 211, bgcolor: transparent"]Wanataka iwe 50/50 kama ilivyo kwa Botswana.
Kufuta mikataba mibovu yote.
Inasisitiza uwazi kwenye Mikataba
[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="width: 31, bgcolor: transparent"]4
[/TD]
[TD="width: 150, bgcolor: transparent"]Uadilifu
[/TD]
[TD="width: 246, bgcolor: transparent"]Wezi wa EPA wamesamehewa.
Chenge aliepiga Deal la Radar ndiye m/kiti wa maadili ya CCM
Mabilioni ya Uswis yanaiharibia.
Mabilioni kwenye TANROADS ni kashfa kubwa
Meremeta.
Deep Green.
Kagoda.
Twiga kusafirishwa
Kampuni ya CCM inayosafirisha Vipusa
Wizi ATCL
Wizi TRL
Wizi kwenye safari za Rais
Mikataba feki kwenye madini na Umeme
[/TD]
[TD="width: 211, bgcolor: transparent"]CHADEMA wamewezesha Umma kutambua wizi wa EPA, DEEP GREEN, MEREMETA, TANROADS.
Wahujumu wanashughulikiwa kikamilifu Rejea timua timua ya Dr Slaa.
Wameweza kuhimili vishawishi vya fedha kutoka kwa CCM na Wawekezaji
[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="width: 31, bgcolor: transparent"]5
[/TD]
[TD="width: 150, bgcolor: transparent"]Kilimo
[/TD]
[TD="width: 246, bgcolor: transparent"]Kilimo Kwanza.
Wananchi bado wanakopwa mazao yao.
Pembejeo duni.
Mashamba ya NAFCO, MAGEREZA na RANCH za TAIFA zimeuzwa.
Viwanda vya zana za kilimo vimekufa
Wakulima wananyimwa kusafirisha mazao yao nje ya nchi
[/TD]
[TD="width: 211, bgcolor: transparent"]CHADEMA kimeazimia kuanzisha kilimo cha kisayansi.
Magereza na Mashamba makubwa yote kufufuliwa kwa nguvu za Umma.
Kutakuwa na uhakika wa soko la mazao ya wakulima
[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="width: 31, bgcolor: transparent"]6
[/TD]
[TD="width: 150, bgcolor: transparent"]Madini
[/TD]
[TD="width: 246, bgcolor: transparent"]CCM wameruhusu madini yetu kuchukuliwa bure.
Wachimbaji wadogo wanafukuzwa kwenye maeneo yenye madini mengi .
Wananchi wanauawa kwenye madini yao
Uchafuzi mkubwa wa mazingira na vifo vya vioumbe kutokana na uchimbaji wa makampuni makubwa huko Nyamongo, Geita, buzwagi nk
Ndege zinasomba madini yetu pasi na udhibiti
[/TD]
[TD="width: 211, bgcolor: transparent"]Madini ya Watanzania kuwanufaisha Watanzania kwanza.
Mikataba itakuwa ya uwazi na 50/50 kwa pande zote mbili
Pato la madini litapelekwa moja kwa moja kugharamia Elimu, Afya nk.
[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="width: 31, bgcolor: transparent"]7
[/TD]
[TD="width: 150, bgcolor: transparent"]Maliasili na Utalii
[/TD]
[TD="width: 246, bgcolor: transparent"]Uwindaji holela.
Tembo wanaangamia.
Wageni ndiyo wanaofaidika na sekta ya utalii wakiwemo wa Kenya na Wataliano huko Zanzibar.
Wananchi wanahamishwa kwa nguvu kupisha wawekezaji wasiolipa kodi
Wawekezaji wamejenga viwanja vya ndege kwenye hifadhi kwaajili ya kusafirisha wanyama wetu
[/TD]
[TD="width: 211, bgcolor: transparent"]Kuboresha sekta ya utalii nchini.
Prof Lipumba anasema kuwa Mhe Ndesamburo ni guru la mambo ya utalii, taifa linashindwa kumtumia.
CDM inaokoa Tembo wanaoangamizwa
[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="width: 31, bgcolor: transparent"]8
[/TD]
[TD="width: 150, bgcolor: transparent"]Elimu
[/TD]
[TD="width: 246, bgcolor: transparent"]Wanafunzi wanafeli kwa zaidi ya 60%
Elimu inatolewa kwa kundi la watu wachache
Hakuna mahitaji muhimu ya kufundishia.
Shule hazina madawati wala vitabu na maabara.
Waalimu hawalipwi stahili zao kwa wakati pamoja na mishahara kuwa duni
CCM wanaficha ripoti muhimu ya kusaidia kutatua tatizo la elimu.
Hakuna Mitaala ya elimu Tanzania.
Elimu inazalisha wataalam bomu
[/TD]
[TD="width: 211, bgcolor: transparent"]CHADEMA imeazimia kutoa elimu ya bure kwa kila Mtanzania mwenye kustahili kupata elimu.
Itafanya utafiti wa kina ili kupata mitaala itakayozalisha wataalam bora.
Waalimu kulipwa mishahara minono.
Vitendea kazi vitakuwa vya kutosha.
[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="width: 31, bgcolor: transparent"]9
[/TD]
[TD="width: 150, bgcolor: transparent"]Afya
[/TD]
[TD="width: 246, bgcolor: transparent"]Hakuna vitendea kazi.
Madaktari wanalipwa mishahara duni
Gharama za matibabu ni kubwa kwa wananchi.
Viongozi wanatibiwa nje ya nchi
[/TD]
[TD="width: 211, bgcolor: transparent"]Chadema imezamiria kuboresha Huduma za Afya ikiwa ni pamoja na Mishahara kwa watumishi.
[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="width: 31, bgcolor: transparent"]10
[/TD]
[TD="width: 150, bgcolor: transparent"]Ufugaji
[/TD]
[TD="width: 246, bgcolor: transparent"]Mashamba makubwa ya NAFCO na RANCH za Taifa zimeuzwa kinyemela.
Kiwanda cha kuchakata nyama na mazao yake imehujumiwa na kuzikwa.
Wafugaji wanataabika nchi hii.
[/TD]
[TD="width: 211, bgcolor: transparent"]CHADEMA imeazimia kuboresha sekta ya mifugo ikiwa ni pamoja na kuanzisha viwanda vya kuchakata nyama, kurejesha Ranch za Taifa na kufufua viwanda vya nyama
[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="width: 31, bgcolor: transparent"]11
[/TD]
[TD="width: 150, bgcolor: transparent"]Uvuvi
[/TD]
[TD="width: 246, bgcolor: transparent"]Meli zinavua kwa baruti karibu na Ikulu.
Hakuna udhibiti wa Meli za kigeni zinazovua kwenye bahari yeu.
Mawaziri wanakula rushwa kiasi kwamba meli hazikati leseni ya uvuvi.
Viwanda vya samaki mwanza vinawanufaisha wachache na hawalipwi kodi.
Wavuvi wadogo wanaonewa na wakati mwingine wana uawa wakati viwanda vya vyavu zinajulikana
[/TD]
[TD="width: 211, bgcolor: transparent"]Chadema imedhamiria kudhibiti uvuvi haramu unaofanywa na Makampuni makubwa kwenye bahari yetu.
Pato la Uvuvi litaongezeka kwa 500%
Wavuvi wadogo kulindwa.
Viwanda vitafunguliwa kwaajili ya kuwasaidia wavuvi wadogo
[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="width: 31, bgcolor: transparent"]12
[/TD]
[TD="width: 150, bgcolor: transparent"]Michezo
[/TD]
[TD="width: 246, bgcolor: transparent"]Michezo Imekufa Tanzania
[/TD]
[TD="width: 211, bgcolor: transparent"]Chadema Kufufua michezo kwa kuwa michezo ni zaidi ya ajira.
Tanzania kushiriki World Cup 2018
[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="width: 31, bgcolor: transparent"]13
[/TD]
[TD="width: 150, bgcolor: transparent"]Mishahara
[/TD]
[TD="width: 246, bgcolor: transparent"]Mishara chini ya CCM ni duni haizingatii gharama za maisha wala mfumuko wa bei.
Wafanyakazi wanalipa kodi nyingi sana kwa kila manunuzi anayoyafanya hata yale yanayohusiana na kazi
Wafanyakazi wenye ujuzi wanalipwa fedha kiduchu kwenye migodi wakati wenzao wanalipwa dolla nyingi
[/TD]
[TD="width: 211, bgcolor: transparent"]Chadema kufanya marekebisho makubwa kwenye mishahara kwa kuwalipa wafanyakazi mishahara yenye kukidhi mahitaji halisi.
Wafanyakazi kwenye MNCs nao watalipwa mishahara sawa waliotoka kwenye parent company isipokuwa baadhi ya allowances
[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="width: 31, bgcolor: transparent"]14
[/TD]
[TD="width: 150, bgcolor: transparent"]Kodi
[/TD]
[TD="width: 246, bgcolor: transparent"]Kodi inamkandamiza Mfanyakazi wan chi hii.
Wigo wa kukusanya kodi ni mdogo sana.
Wengi wanakwepa kodi haswa MNCs
Mashirika ya Simu yanazidiwa na yale ya nchini Rwanda kwa ulipaji kodi (Refer Makamba Jr)
[/TD]
[TD="width: 211, bgcolor: transparent"]CHADEMA kutanua wigo wa kukusanya kodi hadi kwenye madini , Makampuni ya simu, Utalii na uvuvi baharini.
[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="width: 31, bgcolor: transparent"]15
[/TD]
[TD="width: 150, bgcolor: transparent"]Ardhi
[/TD]
[TD="width: 246, bgcolor: transparent"]CCM wanasema ardhi yote ni mali ya serikali wakati huo huo wanawapa wawekezaji kwa miaka 99 jambo linalowafanya Wananchi kwenda kukodi mashamba yao wenyewe.
CCM imeuza viwanja vyote vya wazi.
Wawekezaji sasa wanapewa malaki ya ardhi nzuri kwa kilimo wakati wananchi wanatimuliwa kupisha uekezaji.
[/TD]
[TD="width: 211, bgcolor: transparent"]Ardhi itakuwa ni mali ya watanzania. Uekezaji wowote lazima uwashirikishe wananchi na wapewe hisa za kutosha.
Sera ya majimbo itasaidia uporwaji wa ardhi.
[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="width: 31, bgcolor: transparent"]16
[/TD]
[TD="width: 150, bgcolor: transparent"]Nyumba na Makazi
[/TD]
[TD="width: 246, bgcolor: transparent"]Chini ya CCM kumekuwa na makazi holela hakuna mipango miji.
Wananchi wanabeba mizigo mikubwa kujijengea makazi
[/TD]
[TD="width: 211, bgcolor: transparent"]Material za ujenzi kutokulipiwa kodi. Kila mwananchi atakuwa na uwezo wa kuwa na nyumba.
Viwanja vyote vya wazi kurejeshwa.
Mipango miji kufuatwa na kusimamiwa
[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="width: 31, bgcolor: transparent"]17
[/TD]
[TD="width: 150, bgcolor: transparent"]Uwezeshaji
[/TD]
[TD="width: 246, bgcolor: transparent"]Ni mdogo ama hakuna. Mabilioni ya JK hayajulikani yako wapi ingawa aliekuwa anaratibu sasa hivi ni waziri wa fedha!
Misaada ya vyandarua ni JANGA litakalo lipuka muda si mrefu. Wananchi wameachwa wanachakura kama kuku wa kienyeji
[/TD]
[TD="width: 211, bgcolor: transparent"]Wananchi kuwezeshwa kikamilifu. Sera za uwekezaji zitawanufasha wazawa zaidi kama ilivyo kwa nchi zilizoendelea. Graduates kuwezeshwa
[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="width: 31, bgcolor: transparent"]18
[/TD]
[TD="width: 150, bgcolor: transparent"]Rasilimaliwatu
[/TD]
[TD="width: 246, bgcolor: transparent"]Watanzania hawaandaliwi tena. Hakuna sera ya kitaifa inayowaandaa wataalam.
Wasomi hawatumiwi rejea Netgroup Solution
[/TD]
[TD="width: 211, bgcolor: transparent"]Kutakuwa na sera ya kuwaandaa wataalam wa fani mbali mbali. CDM kuwatumia wasomi wetu kwa maendeleo yetu.
[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="width: 31, bgcolor: transparent"]19
[/TD]
[TD="width: 150, bgcolor: transparent"]Ulinzi na Usalama
[/TD]
[TD="width: 246, bgcolor: transparent"]Kwa kiasi kikubwa CCM wamefanikiwa katika hili ila kwa sasa kuna chokochoko nyingi za mauaji ya waandishi wa habari, kutekwa na kuteswa kwa Dr Ulimboka na chokochoko za kidini zilizopandikizwa na kulelewa na CCM yenyewe imeanza kutuletea balaa
[/TD]
[TD="width: 211, bgcolor: transparent"]CDM inapinga aina zote za ubaguzi na mauaji. CHADEMA itahakikisha ulinzi na usalama wa Raia ikiwa ni pamoja na mipaka yetu itarejeshwa kwenye misingi imara iliyoasisiwa a baba wa Taifa
[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="width: 31, bgcolor: transparent"]20
[/TD]
[TD="width: 150, bgcolor: transparent"]Mambo ya Nje
[/TD]
[TD="width: 246, bgcolor: transparent"]Sera zetu za mambo ya nje imeendelea kuwa nzuri kwa kiasi Fulani ingawa kunawakati tulihama kutoka kutofungamana na upande wowote na kuhamia magaharibi. Move ya JK kuihusisha China kwenye siasa zetu inamaana tumerejea kwenye mstari.
Membe kiongozi dhaifu ameshindwa kumaliza issue ya Malawi kirahisi wakati hakuna cha kujadiliana. JK aliwapiga Mkwara Burundi once n for all.
[/TD]
[TD="width: 211, bgcolor: transparent"]HApa nitaomba CHADEMA wanisaidie kidogo bado sijajua vizuri msimamo. Ila kwa kushirikiana nan chi za Scandinavia basi itakuwa inafuata mrengo wa kati.
[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="width: 31, bgcolor: transparent"]21
[/TD]
[TD="width: 150, bgcolor: transparent"]Ubinafsishaji
[/TD]
[TD="width: 246, bgcolor: transparent"]CCM wanauza kila kitu
[/TD]
[TD="width: 211, bgcolor: transparent"]CDM itapitia zoezi lote la ubinafsishaji kwa maslahi mapana ya wananchi
[/TD]
[/TR]
[/TABLE]