Intelligence Justice
JF-Expert Member
- Oct 23, 2020
- 3,051
- 3,495
Chato is a revolving economic center for sardine, gold, and natural resources business on the west lake zone, therefore it is a nightmare to think of closing down Chato airport as the haters propagate in the media.Yasemekana hauna abiria wa kutosha kupeleka ndege.
=====
UPDATES
======
Fact Check: Shirika la Ndege la Tanzania (ATCL) halijafuta safari zake kuelekea Geita ambapo ndege hutua katika Uwanja wa Ndege wa Chato.
Hivi karibuni kumekuwa na uvumi unaonezwa katika mitandao ya kijamii ambayo haina uthibitisho wa Tangazo wanalolisambaza. ATCL haijatoa kauli yoyote ya kufuta safari kuelekea Geita.
Tunaandika taarifa hizi tukiwa tumewasiliana na ATCL ambao wamesema safari ziko tatu kwa wiki kama ilivyokuwa awali na ndege hutua uwanja wa ndege wa Chato
Bagamoyo kuna shamaba la wanyama pori hapo Kiromo lakini hakuna anayelisemea kisa chuki binafsi; Mbeya kuna zoo ya wanyama pori huko Ifisi Mbalizi lakini hakuna mtu anayesemea kuhusiana na hilo kisa chuki binafsi. Tanza katika wilaya za Pangani na Mchinga kuna viongozi wakubwa wana mashamba ya kufuga wanyama pori lakini hakuna hata mmoja anayejitokeza kulisemea wamekazania kusema kuhusu Chato kisa chuki binafsi