facial expression..

TANMO

JF-Expert Member
Apr 12, 2008
11,501
11,232
Ipe maelezo hii Picha.

14.jpg
 
Attachments

  • 14.jpg
    14.jpg
    30.9 KB · Views: 113
weweee mwanamke mwenzangu mbona unaninyanya wakati kazi yako iko tayari? Au kwasäbabu ya hili lizungu lako
 
huyo mzungu alivyokaa,he doesnt want to get involved in a cat fight!
 
Mokoyo, haya maoni yako ni 100% off side bcos huyu mwenye nguo nyeusi ni mwamvita na huyo mzungu ni husband wake. : as you were, if you dont mind.

weweee mwanamke mwenzangu mbona unaninyanya wakati kazi yako iko tayari? Au kwasäbabu ya hili lizungu lako
 
Mokoyo, haya maoni yako ni 100% off side bcos huyu mwenye nguo nyeusi ni mwamvita na huyo mzungu ni husband wake. : as you were, if you dont mind.

huyo sio mwamvita makamba labda kama ni mwamvita mwengine
 
...." Jamani niwaongeze vinywaji?, naona Meza nyeupe. Mama utakuwa unakunywa White wine Sio???"
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom