Wadau! Kule fb kila kitu kimechange, mambo yanakera aisee! Nikiingia posts zinaonekana its all about love (zilizo nyingi) na picha za ajabu ajabu + matusi..fb ya 2009 na yasasa 2013 ni tofauti kabisa!! kwasasa usitegemee kuingia fb kujifunza...
Fb the home of fakefaces
JF is the best community network in Tz now more than Fb!!
Source; tofauti kubwa iliyopo kati ya threads za JF na Posts za Fb na michango ya wachangiaji (comments).
refer ur reply...u chagga!! kumbe kuna wachagga vilaza??