Facebook!! The home of love thinkers.

Facebook!! The home of love thinkers.

Eti mtu anapost "Leo sijisikii kula" Meeeeen ukute ni wa kike angalia hizo koment sasa kurasa mbili zote ujinga ujinga tu.
Facebook tumbaka!
 
Sasa huku JF ndo usiseme kila kitu ooooooHHH magamba yaani hata vitu vya kawaida wimbo ufisadi,, yaani mfuto wa JF mashyakani maana utoto nao umehamia humu,, yaani uchuo chuo na vimbwete

Sent from my BlackBerry 8520 using JamiiForums

mkuu hapo kwenye red unamaaana gani?
 
Eti mtu anapost "Leo sijisikii kula" Meeeeen ukute ni wa kike angalia hizo koment sasa kurasa mbili zote ujinga ujinga tu.
Facebook tumbaka!

au unakuta mtu kazaliwa 1997 afu ni married.
 
mbona huku ni jf sio fb,NA JF Ukiona hautendewi haki kuna sehem ya malalamiko mi naona ungepeleka malalamiko FB kama kuna sehemu ya malalamiko hahaaaa!.kw mawazo ya mimi kuanzia sasa hivi usiingie tena huko njoo JF INAFUNZA,INABURUDISHA Ila nako mmmmmmh!!

Hapa hujasomeka hebu funguka kidogo.
 
Kwa waliosoma udsm watakua wanafahamu maana ya vimbwete. Ukienda pale 'mdegree' udsm utavikuta vimbwete then swali lako litakuwa limepata jibu

Mkuu ungetufafanulia kidogo, kwa faida ya sisi tulio mbali na udsm..
 
Back
Top Bottom