NullPointer
JF-Expert Member
- Feb 7, 2011
- 3,461
- 2,284
Watu mnakera sana mnavopondea matangazo, sasa mnataka hela wao watoe wapi???
Software hamjawahi lipia hata kumi, hamtaki kuzinunua, bado mnataka zisiwe na matangazo, hizo data zinazopita kwenye server za jamaa mnajua wanalipa kiasi gani kuendesha? Wafanyakazi wao wale wapi? Midude mingine bna, kwani wewe tangazo linakupunguzia nini kulitazama? Hutaki kuona tangazo hata kama ni la dawa itakayomponya bibi yako anayekaribia kudanja kwa kukosa matibabu??