Jerrymsigwa
JF-Expert Member
- Jun 23, 2012
- 14,084
- 8,406
Mbona hili tatizo kama liko selective vilee
Mkuu bado una experience tatizo? P
Mbona hili tatizo kama liko selective vilee
Whatssap ndio nini hicho?
Ni application ya simu inayowezesha kutumiana picha, video na ujumbe wa maandishi
Whatssap ndio nini hicho?
WhatsApp wanacharge $1 kwa mwaka, ila sisi wabongo mara nyingi wanatusamehe na kutupa 1 year free kila mwaka. Ila sidhani kama facebook wamewanunua kwa ajili ya kukusanya direct profit kihivyo, sitashangaa ikiwa bure kabisa tena bila matangazo kama fb messenger.
zaidi wanataka info za watu wanaongelea nini ili kuweza kuwatarget vizuri na ads kwenye facebook na aps/websites zengine. Facebook wamelaunch mobile ads kama Admob ya Google na Im sure watalaunch website ads kama Adsense yao. Fikiria unaongelea kununua gari kwenye chat yako WhatsApp kisha unaenda site yenye Facebook Ads na kuona Ads za wauza magari eneo ulipo.
navyofikiri mimi ni kuwa wataweka some sort of joint account ya number yako na fb yako (kama hangouts on 4.4 Kit Kat) kwamba unaweza tumia kutxt fb friends na whatsapp. lazima fb iingilie whatsapp. Damn
Whatssap ndio nini hicho?
hivi unaweza kitumia simu kama haina pesa au mb kuchati.??????
Telegram ndo habar y mujin.......
Ndo nn maana nasikia tu
ni messenger mpya hii ni kiboko unatuma mpaka documents
Telegram, nilimsikia tu mange kimambi akiongelea kuwa ni matapeli, sasa sina uhakika ni telegram au tele nn ,ila ni hii hii sasa sijui uo utapeli wanaufanyaje
ni messenger kama whatsapp na viber na unaidownload play store mi natumia na sijaona utapeli wowote
Telegram, nilimsikia tu mange kimambi akiongelea kuwa ni matapeli, sasa sina uhakika ni telegram au tele nn ,ila ni hii hii sasa sijui uo utapeli wanaufanyaje