Bavaria
JF-Expert Member
- Jun 14, 2011
- 53,109
- 53,626
Mbali na hela kibao pia kapewa share za Facebook za kutosha ,,, ni win win
duh, ngoja niende silicon valley
Mbali na hela kibao pia kapewa share za Facebook za kutosha ,,, ni win win
Hajapewa share bna, kapewa tu ajira kusimamia Whatsapp kama independent company inayomilikiwa na Facebook thats all.. Hakuna share za bure..Mbali na hela kibao pia kapewa share za Facebook za kutosha ,,, ni win win
Hajapewa share bna, kapewa tu ajira kusimamia Whatsapp kama independent company inayomilikiwa na Facebook thats all.. Hakuna share za bure..
Jamaa walichomoa dili la google la dola bilioni kumi now imekuwa neema kwao
So tutegemee nini kwa hii deal kuwa finalised????
WhatsApp is no more secure mkuu. Wala sio Ad free tena. Yaani kitasanuka matangazo na kuibiwa info sio kitoto.
WhatsApp is no more secure mkuu. Wala sio Ad free tena. Yaani kitasanuka matangazo na kuibiwa info sio kitoto.
Kuna ukweli sana kwenye hilo, unaweza check hii documentary: Watch online Terms and Conditions May ApplySidhani kama Mark is dumb enough kuinvest $16B kwenye app hiyo, anataka kuweka nini, matangazo?!!! I smell LE behind it! fuq FBI!
So tutegemee nini kwa hii deal kuwa finalised????
itaendelea kuwa bure kiaina au itakuwa bure kabisaaa. na itakuwa haina matangazo... fb walikuwa wanawataka tu wateja. obvious watafanya integration ya fb insta na whatsapp
hilo la integration hata mimi nimelihisi lakini sijajua itakuwa kivipi nimejaribu kufikiria sijapata ila coz wao ndio wataalamu tusubiri tuone by the way kwa jinsi nnavyojua kila mwenye whatsap ana account ya fb ila sio kila mwenye fb ana account ya whatsapp
Nashangaa watu hamuelewi kua hiyo hela jamaa haipati yote.. Hela ambayo inalipwa in cash ni $4Billion peke yake, nyingine inaenda kwenye stocks... Msikae mkadhani jamaa anaweka hela yote hiyo mfukoni, na hiyo 4 bado wataigawanya hali mtu moja..
Hiyo statement sijaitoa...sasa $4 billion wewe unaona ndogo