Export ndzi mbichi

kasopa

JF-Expert Member
Aug 29, 2010
302
56
WAKU NA WEHESHIMIWA POLENI NA PIRIKA ZA UCHAGUZI

Nahitaji ushauri na maarifa kwenu wana JF mimi nafkiri kuanzisha biashara ya kusafirisha ndizi za bukoba nje ya nchi lakini sifaham utaratibu wa kusafirisha na kodi zake nikimanisha vibali

NATOA HOJA

shukrani wakuu
 
Wakuu mmeathiriwa na uchaguz mbona hapa jamvini sikawaida yake hata mmja kutoa mchango
 
WAKU NA WEHESHIMIWA POLENI NA PIRIKA ZA UCHAGUZI

Nahitaji ushauri na maarifa kwenu wana JF mimi nafkiri kuanzisha biashara ya kusafirisha ndizi za bukoba nje ya nchi lakini sifaham utaratibu wa kusafirisha na kodi zake nikimanisha vibali

NATOA HOJA

shukrani wakuu

Sidhani kama kuzisafirisha nje itakuwa wazo zuri.Kutafuta maswala ya vibali yatakukatisha tamaa ndugu yangu.Mbona hapa home tuna soko kubwa tena zuri tu?Kilimanjaro tunalima ndizi sana lakini ndizi 4 ni sh.300 hadi 200 ukiomba sana.Huoni kwamba kama wewe ukizitoa hapo BK ukizipeleka kama Mwanza(nahisi huko ndizi moja ni 200.Tehe,tehe) au mkoa mwingine wenye population ya kutosha uta make cash ya maana?Maswala ya kutoa nje kuna complication kibao,mara mipaka kufungwa,gari kuharibika,wizi,barabara,hongo kwa askari n.k.Si bora nyumbani?Otherwise unaweza ku master mambo yote hayo.Just tryin' to help.
 
Fuata Charles Kuelekeza. mfuatilie, emails, pm anajua anachekisema. Ila Uwe Mkweli, maana tatizo letu sisi ni waongo sana! tafadhali tuwe wakweli. biashara bila ukweli na adhabu ya dunia. Good Luck. Its a lot of besiness in Africa Period.
 
Mkuu wewe unaonyesha unaifaham visuri biashara hii maana umpaka bei zake mijini unazo mpe njia mwenzetu
 
Mziba nimekuelewa kaka nimkweli na muaminif kwahilo najiamini na ntamcheki vizuri huyu nduguyangu tupeane mwanga
Ubarikiwe mkuu
 
Kutuma ndizi hasa nchi za European Union ni kasheshe sana maana kuna akina Chiquita bananas, wanazimwaga ndani ya EU nzima na huko USA ndiyo usiseme. Jamaa wana ndizi na mashamba makubwa hadi wamekuwa wakilaaniwa huko South America.

Kuna tetesi kuwa Wabeba unga wanatumia pia kuweka madawa kwenye ndizi na hivyo huwa hawajali sana bei yake kama wanapata hasara au faida so longer that kwenye madawa wanapata hela nzuri zaidi. Hawa wanafanya bei ya kutupa hadi wachuuzi wadogowadogo huwa wanalia.

Nakubaliana na wanaosema kuwa tafuta soko la ndani na utapata hela nzuri bila pressure ya kushindwa kuuza nje ya nchi au nje ya Africa. Labda utafute uwezekano wa nchi kama Russia, Ukraine, Izrael nk ambako hakuna ndizi ingawa nina wasiwasi kuwa nchi kubwa kama hizo akina Chiquita wameshaweka mizizi. Jamaa hadi wanafanya Matangazo ya Biashara, looooo. Ona moja hili hapa chini:

Last edited by a moderator:

Nakubaliana na wanaosema kuwa tafuta soko la ndani na utapata hela nzuri bila pressure ya kushindwa kuuza nje ya nchi au nje ya Africa. Labda utafute uwezekano wa nchi kama Russia, Ukraine, Izrael nk ambako hakuna ndizi ingawa nina wasiwasi kuwa nchi kubwa kama hizo akina Chiquita wameshaweka mizizi. Jamaa hadi wanafanya Matangazo ya Biashara, looooo. Ona moja hili hapa chini:Juzi nimekutana na mama mmoja Mzungu mzaliwa wa Zimbabwe,anasema wamehamia Tz,pamoja na mambo mengine ndizi watalima kwa kumwagilia huko Morogoro. Soko wanalenga la ndani kwanza na baadae nje. Nakubaliana na wanaosema soko la ndani ni muhimu kwanza kisha soko la nje lifuate. Nje kuna ushindani usio-fair hasa kwa bidhaa toka ktk nchi zetu hizi, sababu za tatizo hilo ni nyingi.
 
Last edited by a moderator:
Juzi nimekutana na mama mmoja Mzungu mzaliwa wa Zimbabwe,anasema wamehamia Tz,pamoja na mambo mengine ndizi watalima kwa kumwagilia huko Morogoro. Soko wanalenga la ndani kwanza na baadae nje. Nakubaliana na wanaosema soko la ndani ni muhimu kwanza kisha soko la nje lifuate. Nje kuna ushindani usio-fair hasa kwa bidhaa toka ktk nchi zetu hizi, sababu za tatizo hilo ni nyingi.

Mkuu malila pole na uchaguzi na hisi umekuchukua kiasi flani ulikuwa haupo janvini nashukuru kwa ushauriwako na sasa nahisi furaha kukuona hapa nilikuwa nashanga kwa ukimya wako nafaham siomchoyo wa fikira na maarifa, mkuu niliwahi kufanya uchunguzi Dubai walaji ni wengi kaka mimi shughuli zangu ni hukuu na ndizi zilizopo hapa sio za kiwango mkuu waganda wanazigandisha kwenye mafriza, nikifika ntakutafuta mkuu ili nihuzurie vikao vyenu,
ubarikiwe Mkuu
 
Kutuma ndizi hasa nchi za European Union ni kasheshe sana maana kuna akina Chiquita bananas, wanazimwaga ndani ya EU nzima na huko USA ndiyo usiseme. Jamaa wana ndizi na mashamba makubwa hadi wamekuwa wakilaaniwa huko South America.

Kuna tetesi kuwa Wabeba unga wanatumia pia kuweka madawa kwenye ndizi na hivyo huwa hawajali sana bei yake kama wanapata hasara au faida so longer that kwenye madawa wanapata hela nzuri zaidi. Hawa wanafanya bei ya kutupa hadi wachuuzi wadogowadogo huwa wanalia.

HTML:
Nakubaliana na wanaosema kuwa tafuta soko la ndani na utapata hela nzuri bila pressure ya kushindwa kuuza nje ya nchi au nje ya Africa. Labda utafute uwezekano wa nchi kama Russia, Ukraine, Izrael nk ambako hakuna ndizi ingawa nina wasiwasi kuwa nchi kubwa kama hizo akina Chiquita wameshaweka mizizi. Jamaa hadi wanafanya Matangazo ya Biashara, looooo. Ona moja hili hapa chini:

Skonge asante kwa ushauri wako kaka nimekuelewa na ntaazakulifanyia stad hilo sijawahi kuchunguza soko letu la ndani nilipata changamoto ya kusafirisha nchi za warabuni baada yakuona katika supra maketi zao ndizi mbichi walizonazo sizakupika lakini zinatumiwa kwa kupika na Dubai niliwahi kula ndizi kwa waganda flani nikawa wapeleleza wanazipataje nligundua soko lipo kubwa hasa dubai kwakuwa waswahili ni wengi nimanisha wakenya waganda na watanzania kwakua shughulizangu sana nakuwa Dubai ningeweza kuiendesha
Ubarikiwe mkuu
 
Last edited by a moderator:
WAKU NA WEHESHIMIWA POLENI NA PIRIKA ZA UCHAGUZI Nahitaji ushauri na maarifa kwenu wana JF mimi nafkiri kuanzisha biashara ya kusafirisha ndizi za bukoba nje ya nchi lakini sifaham utaratibu wa kusafirisha na kodi zake nikimanisha vibali NATOA HOJA shukrani wakuu
Kama hujawahi kuifanya, anza na ndani huku ugain xperience
 
Kasopa, kama unauwezo wa kusafirisha kupeleka nje search kwenye internet utakuwa inf za kutosha saana. Hao wanaosema soko la ndani ni wazo zuri lakini kwanini watu wanaonatatizo kuwaza nje. Kuna kipindi fulani nilikuwa UK kwa miaka kama minne hivi. Yaani hizo ndizi za Bukoba zipo na zinauzwa ghali saana wanaita matoke ya Uganda. Nina hakika inawezekana hebu jipange maana hata viazi utasikia vya Carebean (jamaica) na Uganda.
 
Mkuu malila pole na uchaguzi na hisi umekuchukua kiasi flani ulikuwa haupo janvini nashukuru kwa ushauriwako na sasa nahisi furaha kukuona hapa nilikuwa nashanga kwa ukimya wako nafaham siomchoyo wa fikira na maarifa, mkuu niliwahi kufanya uchunguzi Dubai walaji ni wengi kaka mimi shughuli zangu ni hukuu na ndizi zilizopo hapa sio za kiwango mkuu waganda wanazigandisha kwenye mafriza, nikifika ntakutafuta mkuu ili nihuzurie vikao vyenu,
ubarikiwe Mkuu

Nilipotea kwa muda,nilikuwa porini huko kuona fursa zaidi. Ukiwa dar huwezi kujua kinachoendelea huko porini. Karibu sana tujumuike pamoja, nina project ya kuwa na shamba la migomba 5000, nimeshafika Mbingu( kuna ndizi balaa) kutafuta eneo, nimekwenda Kihansi( Bukoba inastawi balaa) pia na nimeuliza habari za Uchindile. Mgomba ukipata shamba zuri unalipa vizuri. Nitakupa habari zaidi kadiri ninavyopata ili hatimaye sote tufanikiwe.

Kama huko uliko,kuna soko la uhakika,hakuna sababu ya kusubiri sana soko la ndani. Anza na hilo la nje kama lipo vizuri.
 
Jamani soko la ndani kweli lipo lakini huo mfumo wake utachemsha mwenyewe, ningumu sana kuifanya kwa mfumo uliopo ukapata mafanikio mazuri,
biashara za ndizi, matunda, nyanya, vitungu,viazi nk wenyewe wanaita zakuoza kibongo unaweza ukapata ugonjwa wa moyo ghafla ukafa bure.
Na tatizo ni who is buyer?
Kwa nje utaona wateja wengi na bei nzuri, ingia ndani utakutana na mfumo wa kishenzi sijapata ona
unanatakiwa ufanye utafiti wa kina kabla ya kuingia.
Unajua waganda na wakenya wanapeleka sana ndizi uk na arabuni? Nakuhakikishia ukifanikiwa kupta order toka nje vibali sio issue sana na nibora kuliko kuifanyia bongo
 
Tuendeleze soko letu la ndani, soko la nje (hasa EU, Canada na USA) tayari limeshaimarika na wamelijenga kiasi hakuna nafasi ya kuingia pale. Tukumbuke kuwa mbali na Amerika ya Kusini, Visiwa vya Canary vinazalisha ndizi nyingi kukidhi mahitaji ya EU. Wao Canary Islands wanalia kwa uvamizi wa Amerika ya Kusini.
Suluhisho la kulinda soko letu ni kuunda Umoja/Jumuiya/Vikundi vya Ushirka vya Wakulima wa Ndizi Tanzania, ambalo litapanga bei na kudhibiti soko, kwani tusipojihadhari, Waganda wataingia humu. Ni muhimu tu kuhakikisha kuwa wajanja hawajipenyezi kama wanavyofanya kwa kahawa, korosho, pamba n.k. Vikundi hivi vinaweza kuundwa pia mazao mengine ya chakula ili kuwalinda wazalishaji na walaji.
 
Kasopa, kama unauwezo wa kusafirisha kupeleka nje search kwenye internet utakuwa inf za kutosha saana. Hao wanaosema soko la ndani ni wazo zuri lakini kwanini watu wanaonatatizo kuwaza nje. Kuna kipindi fulani nilikuwa UK kwa miaka kama minne hivi. Yaani hizo ndizi za Bukoba zipo na zinauzwa ghali saana wanaita matoke ya Uganda. Nina hakika inawezekana hebu jipange maana hata viazi utasikia vya Carebean (jamaica) na Uganda.
PHP:
Anfaal nashkuru kwa ushauri mkuu
 
PHP:
Tuendeleze soko letu la ndani, soko la nje (hasa EU, Canada na USA) tayari limeshaimarika na wamelijenga kiasi hakuna nafasi ya kuingia pale. Tukumbuke kuwa mbali na Amerika ya Kusini, Visiwa vya Canary vinazalisha ndizi nyingi kukidhi mahitaji ya EU. Wao Canary Islands wanalia kwa uvamizi wa Amerika ya Kusini.
Suluhisho la kulinda soko letu ni kuunda Umoja/Jumuiya/Vikundi vya Ushirka vya Wakulima wa Ndizi Tanzania, ambalo litapanga bei na kudhibiti soko, kwani tusipojihadhari, Waganda wataingia humu. Ni muhimu tu kuhakikisha kuwa wajanja hawajipenyezi kama wanyana avyofanya kwa kahawa, korosho, pamba n.k. Vikundi hivi vinaweza kuundwa pia mazao mengine ya chakula ili kuwalinda wazalishaji na walaji.
mkuu tumekuelewa kwa ushauri wa vikund lakini kwanini tuliogope soko la nje nalo ndolenye faida nzuri kwanini tusijipange kuhimili vishindo mimi ficrazangu ni tofauti kidogo malighafi wanazo zalisha markani na ulaya ni vilimo vya madawa sisi hatujaanza kutumia kemikali kwakilimo na nichangamoto kwa masoko ya nje kuwa mazao yetu hayana kemikali
 
PHP:
Jamani soko la ndani kweli lipo lakini huo mfumo wake utachemsha mwenyewe, ningumu sana kuifanya kwa mfumo uliopo ukapata mafanikio mazuri,
biashara za ndizi, matunda, nyanya, vitungu,viazi nk wenyewe wanaita zakuoza kibongo unaweza ukapata ugonjwa wa moyo ghafla ukafa bure.
Na tatizo ni who is buyer?
Kwa nje utaona wateja wengi na bei nzuri, ingia ndani utakutana na mfumo wa kishenzi sijapata ona
unanatakiwa ufanye utafiti wa kina kabla ya kuingia.
Unajua waganda na wakenya wanapeleka sana ndizi uk na arabuni? Nakuhakikishia ukifanikiwa kupta order toka nje vibali sio issue sana na nibora kuliko kuifanyia bongo

Asante mkuu soko la warabuni nimeliona kaka ndonilikoanzia huko lakini kinanipa wasisi huu muundo wetu wa kodi na vibali lakini soko lipo na nilisha wahi kufanya miting na meneja masoko wa carfor aknipa ahadi ntakapokua tayari nionanenae ila kitu kimoja malipo yao kaka sisiwenye mitaji midogo malipo nibaada ya siku tisini
 
Back
Top Bottom