kasopa
JF-Expert Member
- Aug 29, 2010
- 302
- 56
- Thread starter
- #21
[PHP][/PHP]
Ubarikiwe mkuu tunakutegemea, nimekuelewa kaka wiki hii nategemea kuja dar nikifika mkuu ntakufata popote ulipo ili tupeane habari nakujuana mkuuNilipotea kwa muda,nilikuwa porini huko kuona fursa zaidi. Ukiwa dar huwezi kujua kinachoendelea huko porini. Karibu sana tujumuike pamoja, nina project ya kuwa na shamba la migomba 5000, nimeshafika Mbingu( kuna ndizi balaa) kutafuta eneo, nimekwenda Kihansi( Bukoba inastawi balaa) pia na nimeuliza habari za Uchindile. Mgomba ukipata shamba zuri unalipa vizuri. Nitakupa habari zaidi kadiri ninavyopata ili hatimaye sote tufanikiwe.
Kama huko uliko,kuna soko la uhakika,hakuna sababu ya kusubiri sana soko la ndani. Anza na hilo la nje kama lipo vizuri.