Executive Agencies Act No 30 inaelekeza Mtendaji Mkuu wa Tanroads kuteuliwa na Waziri wa Ujenzi na sio Rais

Katiba yenyewe ilitungwa na warioba alikuwa keshapata kinywaji pendwa
Aisee, pamoja na uzee wake kapendekeza iliyo bora.

Kweli hapa sasa amejifunza makosa aliyoyafanya
 

Kikwete aliwahi kuambiwa asiteue mkurugenzi Tanesco ni kazi ya Bodi..
Bodi ikamteua Mhando..
Halafu Kikwete akaja teua replacement ya Mhando ambae ni Mrambana Magufuli akaja teua Replacement ya Mramba

So utaona hii Rais kuteua au la hainaga mashiko kiihivyo ..
Kwenye nchi kuna sheria..halafu kanuni
Halafu kuna utaratibu mliojiwekea kama mazoea..
 
Aisee, pamoja na uzee wake kapendekeza iliyo bora.

Kweli hapa sasa amejifunza makosa aliyoyafanya
Halafu kuna wapuuzi eti wanataka kariba ya warioba, alishindwa kutengeneza nzuri akiwa kijana leo kachoka itakuwaje nzuri
 
Mbona NAO ipo ndani ya Executive lakini bajeti yake inapita kwa kamati ya bunge na sio kupangiwa kutoka serikali kuu direct??? Na hata Rais anakua hana namna ya kumtumbua mpaka muda wake wa miaka 5 upite??

Unaweza ukawepo executive lakini bado mamlaka yakatapanywa ili kuwepo na uwajibikaji zaidi
 
Hii ni hatari kubwa na inaonyesha jinsi nchi inayoendeshwa kienyeji. Sijui ofisi ya mwanasheria mkuu wa serikali inafanya kazi gani hasa!!!
Mwanasheria mkuu na Waziri wa katiba huwa siwaelewi hata wakiwa bungeni sheria zinapokanyagwa wao wapo tu.
Hoja ya mtendaji mkuu yawezekana hata Waziri mwenye dhamana hajui hadi umemkumbusha
 
Tukiwaambia tunahitaji katiba mpya huwa tunamaanisha siyo utani utani.

Sasa hivi nchi iko chini ya watu ambao hata taratibu za uongozi hawajui na kama wanazijua basi hawaziheshimu.
 
akiteuliwa n a Rais ni kosa kwasababu Waziri yupo juu ya Rais au vipi, mbona hamueleweki. hivi pamoja na yote, mnamjua boss wenu namba moja hapa nchini ni nani? ambaye hata ukiteuliwa na Rais akiamua kukufukuza anakufukuza dakika?
Issue hapa ni kwa nini Sheria hazifuatwi
 
akiteuliwa n a Rais ni kosa kwasababu Waziri yupo juu ya Rais au vipi, mbona hamueleweki. hivi pamoja na yote, mnamjua boss wenu namba moja hapa nchini ni nani? ambaye hata ukiteuliwa na Rais akiamua kukufukuza anakufukuza dakika?
Unatia huruma na hasira ,mwenyewe unaona umejibu hoja hapo
 
Sikilizeni!! Mama ndo kila kitu! Kwani waziri wa ujenzi amelalamika? Akilalamika anatenguliwa fasta!! Mama anataka mtu atakayeendana naye!! Ameona huyu aliyekuwepo mambo hayaendi!! Barabara ya mbezi kibaha (njia sita) imesimama wakati kabla ya machi ujenzi ulikuwa unafanyika usiku na mchana! Kambi kubwa ya ujenzi huo hapo gogoni imefungwa!! Mitambo yote kimyaaaa!!! Halafu watu wanamlaumu mama eti kasimamisha ujenzi huo wakati siyo! Baada ya mabadiliko haya tegemeeni kuona miradi lukuki ya ujenzi wa barabara ikifufuka kwa kasi ya ajabu !!
 
Huyo aliyekuwepo yupi tena? Kuna Boss wa Tanroads ametumbuliwa na Mheshimiwa Rais?

Amandla...
 
Sheria imefuatwa ?
 
Hiyo provision hapo uliyoweka sijaona,

Ila inaelekea powers za kuanzisha zipo limited kwakua lazima apate approval.

Hivyo kama kuanzisha taasisi lazima apate approval basi itakua hata kwenye appointment ya wakurugenzi,

Taking into consideration kwamba Rais ndiye mwajiri namba moja.
 
Zamu yetu sasa .....hivi kibanda maiti tunajenga nini ? Vipi mbuga ipo huko tuwaletee viboko na big 5
 
Nssf waliweka uanachama wa hiari, kimfumo hautofautiani sana na wazo lako. Ilikuwa na mafao mengi kwa mwanachama. Nahisi serikali haikuliunga mkono, mafao ya afya yakaondolewa na wanachama wengi wa hiari wakasusa. Malipo kwa wazee au haya ya Tassaf wangelipiwa wanachama wa hiari kama 10% ya mchango wa mwajiri, wengi wangehamasika kujiunga. Ni bahati mbaya mambo mengi nchini yanakwenda au kufanywa bila kufuata katiba.
 
Hii ni hatari kubwa na inaonyesha jinsi nchi inayoendeshwa kienyeji. Sijui ofisi ya mwanasheria mkuu wa serikali inafanya kazi gani hasa!!!
Unaweza kuta huyo mwana sheria hahusushwi, nae kesha kata tamaa na kuacha bora liende. Ni aibu na fedheha kuendesha nchi bila kufuata sheria. CAG mmoja alietimuliwa aliwahi kusema 60% ya watendaji wa serikali hawana weledi, japo hakugusia idadi ya viongozi wa juu waliomo kwenye hilo kundi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…